Watu wa sheria mtusaidie hapa

Kuna tatizo lipo hankufuata uataratibu tokea awali,huyo mtoto anatakiwa kurithi kwa baba yake,kwa kuwa hicho kiwanja mlurithi kwa baba yenu,yeye ni alien tuu kwenye familia yenu.isipokuwa kama nyie ni Moslem.
 
Hahaha wacha tu mkuu tumpe haki yake maana haya mambo ya mirathi yanasumbua sana ikitokea mmoja kakengeuka
 
Uhakika mkuu shea yake atapewa, sema anataka kujikoroga asije akakosa kabsa
Hapana ndugu zake wana moyo mzuri si umeona amesema wanataka kuuza halafu wagawe kwa watoto wote akiwemo mama yake ambaye ni marehemu, so atapata cha mama
 
Imeniuma sana yaani mali ya baba yenu, yeye anababa yake tena kutoka ukoo mwingine halafu anakuja kuwapangia, wewe na ndugu yako mmestaarabika sana .
 
Hapana ndugu zake wana moyo mzuri si umeona amesema wanataka kuuza halafu wagawe kwa watoto wote akiwemo mama yake ambaye ni marehemu, so atapata cha mama
Jamaa wana roho nzuri sana, mimi Mjomba wangu hakunipa hata shilingi baada kuuza shamba la marehemu bibi,japokua marehemu Mama yangu nae alikua mrithi, na tena yeye kauza kibabe bila hata ya kufungua mirathi kisa kabaki mrithi peke yake baada Mama kufariki!!
 
Pole sana mkuu binadamu ndio walivyo
 
Mjomba wako ni mwizi
 
Huyuu mfikishien kwa mama ke alipo Wala hana nguvu yoyotee nahisi anataka kumfikia MAMAKE alipo mapema
 
Huyuu nahisi kachoka kuishi hana jipya anachokitafuta atakipata

Kifupi majukuuu n pimbi kwenye mali za Babu yake

Huyuu mpeni dosi akakae mloganzila wiki

Akirudi ANAKUTANA na mgaoo simple

Ilaaa KUNA kitu hapa nakihisiii

KUNA tabia ya nyie Ndugu kusema huyu mtoto tutamwekea pesa zake akikuaa atapewaa hakiyakee

Hii hali imetesa sana KUNA kesi tumetoka kuwaliza NDUGU msoma majuzi....

NDUGU anangangania mtoto hawezi kaa na mali wao ndio washikilie mali za mtoto wakaulizwa mkifa JE hawakujibu

Huyuu mtoto naamini mkimweka wazi kabla ya kuuzwa kiwanja mgao ukoje na pesa yake inaenda
Bank hawezi lalamikaaaaaaaa

Onto

Msithubutu kumdhulumu
Kama mamayake angekuwa hai mngegawa wote sawa na hivyohivyoo haki ya mamake apewe sawa

Else mtamfwata mamake alipo...
Nikokwa wakala
 
samahani mimi nauliza kama mzazi alifariki mwanzo kabla ya mtoto mjukuu anayohaki ya kurithi pamoja na wajomba au baba zake
 
Upo sahihi mkuu, mimi binafsi ndo nampambania ili apate mgao sawa pamoja na sisi. Pesa yake ikae kwenye fixed account kwa miaka atakayopenda yeye na sio pesa ikae mikononi kwa ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…