Watu wa Tanga badilikeni. Tuko karne ya 21

Mkuu usipoteze muda wako, wameshaingiza udini...hutatoboa.


Huyu mleta uzi labda humjui tu umeuvamia uzi wake au labda ni watu mnaofanana so unatetea mada yake. Huyu ni mtu Islamophobe na ana chuki kali dhidi ya Uislam na Waislam na watu wa Pwani.


So usishangae anapigwa spana yeye na wenzie hapa. Wengine tunamjua.
 
Wengine wote wanatamaduni bora mno kiasi kwamba wameendelea kuliko watu wa Pwani na Zanzibar mpaka mnawasakama watu wa Pwani na Zanzibar? Kama sio chuki za kidini na ukabila wa kijinga ni nini?!

Ona sasa ushaingiza udini na Ukabila 😃
Umeichukulia maada too personal.
 
Ona sasa ushaingiza udini na Ukabila 😃
Umeichukulia maada too personal.


Udini na ukabila ndio lengo la mleta uzi na ndio imejaa katika mada yake. Wewe huoni hilo? Umeona kwetu tunaomjibu tu sio? Sishangai, kwa baadhi yenu "udini" mnauona kwa Waislam tu, ila kwenu hamuoni au mtateteana, ila Waislam wakijibu tu mnaproject maradhi yenu kwao.

Sishangai kabisa mnapokuwa hamuoni chuki zake huyu mleta uzi. Sijui kwanini kabisa sishangai.

Na yes, Dini yangu inaposhambuliwa na watu wa Dini yangu wanaposhambuliwa I take that VERY Personal.
 
Tukutane posta nikusilimishe chap
 
Simple life ya kijima hapana. Sasa smart phone unayotumia ya nini? Kaa na kiswaswadu chako as long as unawasiliana.
 
Sehemu mwarabu alipotawala ndio ugoro anaowaachia waliomkubali. Umesahau kufuga majini a.k.a ngombe za mwarabu, uchawi , uchafu na majungu
 
Kwa kweli kobaz kwenye kifo na harusi wako vizuri, ila mtu akifa wanhekuwa wanasubiri hata siku moja ipite maana unaweza kufukiwa kabla hata pumzi haijamalizikia, kwenye ndoa wajitahidi pia mtu asioe au kuolewa zaidi ya mara mbili.
 
Kwa kweli kobaz kwenye kifo na harusi wako vizuri, ila mtu akifa wanhekuwa wanasubiri hata siku moja ipite maana unaweza kufukiwa kabla hata pumzi haijamalizikia, kwenye ndoa wajitahidi pia mtu asioe au kuolewa zaidi ya mara mbili.
Ndoa sia adhabu au kifungo ukiona mmeshindwa kuendana achaneni kuliko kunganganiana ili mwisho wa siku mchinjane.
 
Hizo jamii zingine zimeleta utajiri kwa kufuata tamaduni zipi? hizo jamii zinapatikana wapi? zimeleta utajiri wa aina gani kwa kufuata hizo tamaduni zao?
Mkuu umaskini sababu zke zinatokea sehem mbili tu
1. Muundo wa jamii
2. Utamaduni wa jamii

Hizi sabab mbili ndo zinazaa chochote kinachoelezewa kuwa kinapelekea umaskin wa watu. Muundo ndo unaangalia aina za kazi wanazofanya watu wa tabaka la chini, utawala mbovu, ufisadi

Ila utamaduni unahusika pakubwa nao kuna s3h3m utamaduni unahusiana na uchawi, hasadi na umimi na kuendekeza au kutukuza mila ambqzo hazina manufaa tenq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…