dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,753
- 18,781
Hakika wsaislamu kwenye eneo hili wananikosha sna faster kuoa na kuachika na kuzikwa faster bin vuu tayari wako vzr snaWatu huwa mna-complicate sana maisha. Kati ya vitu ninavyowaonea wivu Waislamu na wenye tamaduni hizi unazozilalamikia ni urahisi wao katika mambo ya msingi kama ndoa na kifo. Huhitaji mamilioni ndiyo eti utoe mahari na kufanya liharusi likubwa lisilo na mantiki kisa tu uwaonyeshe watu.
Ukifa leo asubuhi mchana saa saba ushazikwa - hakuna michango ya jeneza la bei mbaya, sare za wanakwaya, mashada ya maua, mahotuba marefu ya kinafiki kutoka kwa mitume na manabii feki na upumbavu mwingine. Simple life yaani dah!
Pamoja na haya maelezo yako ambayo nakubaliana nayo ila maswali yangu bado hayajapata majibu kwa niliyemuuliza coz kuna jamii nyingi tz na kila jamii zina tamaduni zao,kwa vile yeye kaponda tamaduni za Tanga ndio maana nikamuuliza hayo maswali ili tufanye comparison na hizo jamii zingine nje ya Tanga.Mkuu umaskini sababu zke zinatokea sehem mbili tu
1. Muundo wa jamii
2. Utamaduni wa jamii
Hizi sabab mbili ndo zinazaa chochote kinachoelezewa kuwa kinapelekea umaskin wa watu. Muundo ndo unaangalia aina za kazi wanazofanya watu wa tabaka la chini, utawala mbovu, ufisadi
Ila utamaduni unahusika pakubwa nao kuna s3h3m utamaduni unahusiana na uchawi, hasadi na umimi na kuendekeza au kutukuza mila ambqzo hazina manufaa tenq
Hawataki Haki wanataka AmaniWakazi wa Tanga hasa Tanga Mjini achaneni na vitu vya kijima
Kila mahali ni harusi kuanzia Alhamisi, Ijumaa, Jmosi mpaka Jpili.
Harusi ya hema moja nje ya nyumba, chai ya rangi , andazi 2 na wali wa maharage
1. Mahari binti anachagua godoro!
2. Elimu kuu ni madrasa
3. Uvivu wa kutokufanya kazi
4. Kuuza shamba kununua samaki mkubwa, kucheza harusi, unyago na upuuzi mwingine kama huo!
Mnachelewa sana😁🙌Achana na Ndoa na Kifo.
Swala la kuzingatia Elimu na Kufanya kazi lazima tusanuane, mikoa mingi ya pwani iko nyuma sana.
Same tu Zanzibar kuko nyuma sana kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja.
😂😂😂😂😂🤣😂Kufata fata yasiyo kuhusu, utajikuta una ingiziwa upepo mkali
😭😭😭😭😭♻️♻️♻️♻️😭😭😭😭Waarabu waliwaachia laana ya umasikini
Hao wanaosema znz hawajapafika🙌,,Zanzibar ipi acha uongo, nenda kajionee maisha bora ya kila Mzanzibar
Bro muhimu amani. Mbona unataka vita na sisi wanaTanga.Wakazi wa Tanga hasa Tanga Mjini achaneni na vitu vya kijima
Kila mahali ni harusi kuanzia Alhamisi, Ijumaa, Jmosi mpaka Jpili.
Harusi ya hema moja nje ya nyumba, chai ya rangi , andazi 2 na wali wa maharage
1. Mahari binti anachagua godoro!
2. Elimu kuu ni madrasa
3. Uvivu wa kutokufanya kazi
4. Kuuza shamba kununua samaki mkubwa, kucheza harusi, unyago na upuuzi mwingine kama huo!
Waache watu waishi maisha yao yanayowapa furaha.Wakazi wa Tanga hasa Tanga Mjini achaneni na vitu vya kijima
Kila mahali ni harusi kuanzia Alhamisi, Ijumaa, Jmosi mpaka Jpili.
Harusi ya hema moja nje ya nyumba, chai ya rangi , andazi 2 na wali wa maharage
1. Mahari binti anachagua godoro!
2. Elimu kuu ni madrasa
3. Uvivu wa kutokufanya kazi
4. Kuuza shamba kununua samaki mkubwa, kucheza harusi, unyago na upuuzi mwingine kama huo!
Kufanya kazi ngumu ni sifa?Lindi na Mtwara ni majanga
cc. Ndege John
Vijana hawataki kufanya kazi ngumu, wao wenyewe ni chai maharage
Wakristo hata kwenye misiba Wana complicate mambo ...Hadi makamera kwenye misibaWatu huwa mna-complicate sana maisha. Kati ya vitu ninavyowaonea wivu Waislamu na wenye tamaduni hizi unazozilalamikia ni urahisi wao katika mambo ya msingi kama ndoa na kifo. Huhitaji mamilioni ndiyo eti utoe mahari na kufanya liharusi likubwa lisilo na mantiki kisa tu uwaonyeshe watu.
Ukifa leo asubuhi mchana saa saba ushazikwa - hakuna michango ya jeneza la bei mbaya, sare za wanakwaya, mashada ya maua, mahotuba marefu ya kinafiki kutoka kwa mitume na manabii feki na upumbavu mwingine. Simple life yaani dah!
Nyau kweli weee😁,, aisee ukweniTanga wachapa kazi ni wasambaa tu hao wengine usiwasanue ,tuzidi kupata viwanja vya laki Tano.
Kwani nasema uongo lakin?Nyau kweli weee😁,, aisee ukweni
KAZI wanafanya bhana,,viwanja vya laki tano unataka kujenga au jina TU una kiwanja😁Kwani nasema uongo lakin?
Wasambaa tu ndio wachapa kazi ,.KAZI wanafanya bhana,,viwanja vya laki tano unataka kujenga au jina TU una kiwanja😁
We are just toooooo proud of you mkuu.Udini na ukabila ndio lengo la mleta uzi na ndio imejaa katika mada yake. Wewe huoni hilo? Umeona kwetu tunaomjibu tu sio? Sishangai, kwa baadhi yenu "udini" mnauona kwa Waislam tu, ila kwenu hamuoni au mtateteana, ila Waislam wakijibu tu mnaproject maradhi yenu kwao.
Sishangai kabisa mnapokuwa hamuoni chuki zake huyu mleta uzi. Sijui kwanini kabisa sishangai.
Na yes, Dini yangu inaposhambuliwa na watu wa Dini yangu wanaposhambuliwa I take that VERY Personal.
Tanga ulikua mji mkubwa tu kabla ya dar kwa miaka mingi,manispaa ya kwanza TanzaniaWasambaa tu ndio wachapa kazi ,.
Viwanja vya laki Tano mbona vipo vingi , huko handeni kama unatokea mvomero watu wanajifekea tu kwakujipimia , tatzo lenu hamsemi.
Maisha Sio magumu ukilegeza ubongo na kuwa na subra
Hiyo kabla ya dar haikujengwa na localsTanga ulikua mji mkubwa tu kabla ya dar kwa miaka mingi,manispaa ya kwanza Tanzania
Utajengaje mji mkubwa bila kufanya kazi?..au kazi ni kulima na kupasua mbao tu!?
Haikujengwa na locals vipi?..mimi Babu yangu alitoka tabora kwenda tanga 1955,na alikuta mji mkubwa tu kuliko tabora kuliko mji wowote tz,kasoro dar may be imagine mzee wangu sekondari usagara akitoka kwao ni 7-8km toka kwaoHiyo kabla ya dar haikujengwa na locals