Duh hauelewi mimacho maanisha naona tuishie hapaHaikujengwa na locals vipi?..mimi Babu yangu alitoka tabora kwenda tanga 1955,na alikuta mji mkubwa tu kuliko tabora kuliko mji wowote tz,kasoro dar may be imagine mzee wangu sekondari usagara akitoka kwao ni 7-8km toka kwao
Na mote kuna nyumba za wadigo na wanyamwezi
Legeza ubongo ukajenge huko.Wasambaa tu ndio wachapa kazi ,.
Viwanja vya laki Tano mbona vipo vingi , huko handeni kama unatokea mvomero watu wanajifekea tu kwakujipimia , tatzo lenu hamsemi.
Maisha Sio magumu ukilegeza ubongo na kuwa na subra
Tungeenda wote mawaaLegeza ubongo ukajenge huko.
Mie Nina kiwanja changu chini ya bahari ya Hindi,sema legeza kichwa nikukatie kakipande😁Tungeenda wote mawaa
Kichwa kipi mawaa?Mie Nina kiwanja changu chini ya bahari ya Hindi,sema legeza kichwa nikukatie kakipande😁
Chenye masikio😁Kichwa kipi mawaa?
Bila kusahau waarabu waliwaachia ilmu ya uchawi na kufuga majini.Nyie wazungu waliwachia utajiri gani?
Ingekua wazungu waliwaachia utajiri msingekua mnahangaika mpaka leo kuuziana udongo,chumvi,mafuta na maji ya upako ili muwe matajiri bila kufanya kazi.
Mabwana zako waarabu wakiguswa lazima uje kukata mauno kuwatetea.Nyie wazungu waliwachia utajiri gani?
Ingekua wazungu waliwaachia utajiri msingekua mnahangaika mpaka leo kuuziana udongo,chumvi,mafuta na maji ya upako ili muwe matajiri bila kufanya kazi.
Hapo kwenye Elimu, hivi ni kweli kuwa huko 'Tanga' hakuna Serikali ya kusimamia au kuhamasisha elimu ya kukuza uchumi, kupunguza umasikini na kuleta maendeleo?Wakazi wa Tanga hasa Tanga Mjini achaneni na vitu vya kijima
Kila mahali ni harusi kuanzia Alhamisi, Ijumaa, Jmosi mpaka Jpili.
Harusi ya hema moja nje ya nyumba, chai ya rangi , andazi 2 na wali wa maharage
1. Mahari binti anachagua godoro!
2. Elimu kuu ni madrasa
3. Uvivu wa kutokufanya kazi
4. Kuuza shamba kununua samaki mkubwa, kucheza harusi, unyago na upuuzi mwingine kama huo!
Wewe punguani msaidie mumeo kujibu swali nililomuuliza,naona amekimbia na akakutuma wewe Mama watoto wake.Mabwana zako waarabu wakiguswa lazima uje kukata mauno kuwatetea.
Nyie endeleeni kupelekeshwa na wazungu.Bila kusahau waarabu waliwaachia ilmu ya uchawi na kufuga majini.
maisha ya zanzibar hayanausawa, usawa uko kwa mbali sana kule kuona maskini sana na tajiri sana ni kawaida tofauti na watu wa kanda ya ziwa. Yaani iko hivi maskini zanzibar kujenga ni gumu tofauti na maskini akiwa bara atajenga?Zanzibar ipi acha uongo, nenda kajionee maisha bora ya kila Mzanzibar
Hapo kweli kuzalisha uhuni na umalaya tu hakuna faida kabisa, naunga mkono hoja mkuu?Hivi vigodoro na visherehe vya kijinga kijinga ndio vinaongoza kuzalisha vijana machoko na watoto wa mitaani jamii ikemee huu upuuzi
Ni kweli tena sehemu nyingi tu nchini sio pwani tu?Tamaduni zingine hazifai na zinaleta umasikini kwenye jamii na Taifa kiujumla so inatakiwa tuziache
Sio ukabila wa udini ila mila na tamaduni tunazoona hazifai zinatakiwa kumewa na kupinga hazifai na zinaleta utegemezi kwa mfano ukienda kibiti rufiji mpaka lindi utakuta vitoto vidogo vikimaliza tu drs la 7 vinazalishwa vinakua single mother ww unaona hyo ni sawa?Wengine wote wanatamaduni bora mno kiasi kwamba wameendelea kuliko watu wa Pwani na Zanzibar mpaka mnawasakama watu wa Pwani na Zanzibar? Kama sio chuki za kidini na ukabila wa kijinga ni nini?!
Zozote zisizofaa including ukeketaji wanatakiwa waziacheNi kweli tena sehemu nyingi tu nchini sio pwani tu?