Watu waanza kurudi kwenye majumba yao Gaza ya kaskazini huku majeshi ya Israel yakiondoka kwa kasi.

mmeachiwa mnaanza kelele na muda si mrefu mtachokoza tena itafika dunia itawatema tu , na wayaud watawanyona makalio
Nimpuuzi tu na mjinga aliekua anadhania kwamba israhell wataweza kuifuta hamas pale ghaza

Toka awali nilikua nawaambieni suala la hamas kufutwa pale ghaza musahau musahau musahau

Israhell haitakomboa mateka hata mmoja na wala haitaifuta hamas

Njia pekee anayoweza kuitimiza israhell nikuvunja majengo na kuua watoto wasiokua hata na manati
 
Kwaio Hamas kashinda vita hii akili za ovyo kabisa,mtu yupo chumbani kwako anakunyoa afu unadai umeshinda

Hamas ni akili kubwa sana waalitumia 7 Oktoba.

Walishajuwa haya mapoyoyo yatakuja kwa nguvu, wao wameshajiandaa na Ghaza metro yao.

Wakija na mabomu ya ndege nba drone, Hamas hawapo, wakija vifatru na majesi yao Hamas hawapo, halafu mara tu wanadonyolewa na watu wasioonekana. Hiyo tu imeawatia wazimu askari wa uvamizi 9,000 kwa ushahidi kabisa. Na waliofinywa 5,000 kwa hesabu za ukweli, siyo za longolongo.

Hawajashindwwa tu mazayuni? Lengo lao liliwaingiza Ghaza kwa nguvu lipi walilotimiza? Kubomoa majumba? kubomowa mahos[itali? kuuwa watoto na wagonjwa?

Nyie watumwa wa wazungu mnanishangaza sana, hivi ikiwa hamuoni na hamsikii basi hata kutumia akili zenu kidogo mnashindwa?
 
Kwaio Hamas kashinda vita hii akili za ovyo kabisa,mtu yupo chumbani kwako anakunyoa afu unadai umeshinda
Kwaio Hamas kashinda vita hii akili za ovyo kabisa,mtu yupo chumbani kwako anakunyoa afu unadai umeshinda
Hamas ni akili kubwa sana waalitumia 7 Oktoba.

Walishajuwa haya mapoyoyo yatakuja kwa nguvu, wao wameshajiandaa na Ghaza metro yao.

Wakija na mabomu ya ndege nba drone, Hamas hawapo, wakija vifatru na majesi yao Hamas hawapo, halafu mara tu wanadonyolewa na watu wasioonekana. Hiyo tu imeawatia wazimu askari wa uvamizi 9,000 kwa ushahidi kabisa. Na waliofinywa 5,000 kwa hesabu za ukweli, siyo za longolongo.

Hawajashindwwa tu mazayuni? Lengo lao liliwaingiza Ghaza kwa nguvu lipi walilotimiza? Kubomoa majumba? kubomowa mahos[itali? kuuwa watoto na wagonjwa?

nie watumwa wa wazungu mnanishangaza sana, hivi ikiwa hamuoni na hamsikii basi hata kutumia akili zenu kidogo mnashindwa?
Kwa watu kama wewe si asa naanza kuelewa kwanini nchi yenye utajiri wa rasilimali kama Tanzania watu wake wanakuwa masikini.
 
Na tuwakumbushe tu mazayuni kwamba kuna kipigo kinakuja miaka kumi mbele yaani wajiandae na kufutwa

Maana kwasasa mazayuni yashajulikana ukiyabananisha wapi yanakua hayafurukuti unajipigia tuuuu

Hakuna jeshi bovu na la kawaida kama la mazayuni
 
Mimi naamini tarehe 7 Oktoba ni maanzo wa mwisho wa mazayuni, wamarekani waovu na vibaraka wao wa mashariki ya kati.
 
Huku kesi dhidi ya Israel iliyofunguliwa ICJ na Afrika kusini ikinguruma kule Gaza ya kaskazini wananchi wameanza kurudi majumbani mwao kutoka kila upande walikokimbilia
Hayo yanatokea wakati hakuna hata lengo moja la vita lililowekwa na Israel ambalo limetimizwa.
Zaidi ya hayo kuna hali inayoitia kizunguzungu Israel kwani hali zilizobadilika baada ya miezi mitatu katika vita imelazimisha jeshi la IDF kurudisha askari nyumbani.
Kwenye mahakama ya kimataifa juu ya jinai za kivita Afrika kusini imeendelea kuichachafya Israel na kuiacha bila majibu.
Katika baadhi ya paragrafu za jalada la kesi zinaihoji Israel kwa kutaja baadhi ya majina ya watoto waliouliwa katika vita hivyo ikiuliza .Hawa walikuwa kwenye hema wakipigwa na baridi na katikati ya wazazi wao jee walihusikaje na vita mpaka wakauliwa.Jee walirusha kombora dhidi ya IDF ?

Netanyahu condemns ICJ genocide case; Gazans return to wasteland in north

Lengo mojawapo ilikuwa kubomoa majumba
 
Hujaona video ya maelfu ya watoto na raia wa Palestina wanaokufa .
Afrika kusini inasema hata kama kweli kuna watu walikufa Israel lakini haihalalishi mauwaji ya makusudi na uharibifu mkubwa uliofanywa Gaza.
Video uliyoiona wewe nadhani ni ile ya Hollywood ambayo hata waziri mkuu wa Spain aliipuuza.
Kwa hiyo hiyo Africa kusini iliunga mkono vitendo vya Hamas vya October 7? Mbona havilaani anaangalia upande wa Israel kiukweli Africa kusini imeonyesha unafiki na chuki dhidi ya Israel
 
Hamas ni akili kubwa sana waalitumia 7 Oktoba.

Walishajuwa haya mapoyoyo yatakuja kwa nguvu, wao wameshajiandaa na Ghaza metro yao.

Wakija na mabomu ya ndege nba drone, Hamas hawapo, wakija vifatru na majesi yao Hamas hawapo, halafu mara tu wanadonyolewa na watu wasioonekana. Hiyo tu imeawatia wazimu askari wa uvamizi 9,000 kwa ushahidi kabisa. Na waliofinywa 5,000 kwa hesabu za ukweli, siyo za longolongo.

Hawajashindwwa tu mazayuni? Lengo lao liliwaingiza Ghaza kwa nguvu lipi walilotimiza? Kubomoa majumba? kubomowa mahos[itali? kuuwa watoto na wagonjwa?

nie watumwa wa wazungu mnanishangaza sana, hivi ikiwa hamuoni na hamsikii basi hata kutumia akili zenu kidogo mnashindwa?
Kwa watu kama wewe si asa naanza kuelewa kwanini nchi yenye utajiri wa rasilimali kama Tanzania watu wake wanakuwa masikini.
Wee faiza hv kweli unaamini hivyo vigaidi uchwara vinaweza kuua askari 9000 wa IDF embu acha story za wauza alkasusu hapo masjid
 
Screenshot_20240112-191659_X.jpg
 
Tafadhali wana jukwaa tukitoa habari ni vyema pia tukaweka na link ya chanzo cha habari ili kuleta weledi kwenye jukwaa....
 
Huku kesi dhidi ya Israel iliyofunguliwa ICJ na Afrika kusini ikinguruma kule Gaza ya kaskazini wananchi wameanza kurudi majumbani mwao kutoka kila upande walikokimbilia
Hayo yanatokea wakati hakuna hata lengo moja la vita lililowekwa na Israel ambalo limetimizwa.
Zaidi ya hayo kuna hali inayoitia kizunguzungu Israel kwani hali zilizobadilika baada ya miezi mitatu katika vita imelazimisha jeshi la IDF kurudisha askari nyumbani.
Kwenye mahakama ya kimataifa juu ya jinai za kivita Afrika kusini imeendelea kuichachafya Israel na kuiacha bila majibu.
Katika baadhi ya paragrafu za jalada la kesi zinaihoji Israel kwa kutaja baadhi ya majina ya watoto waliouliwa katika vita hivyo ikiuliza .Hawa walikuwa kwenye hema wakipigwa na baridi na katikati ya wazazi wao jee walihusikaje na vita mpaka wakauliwa.Jee walirusha kombora dhidi ya IDF ?

Netanyahu condemns ICJ genocide case; Gazans return to wasteland in north

Wejamaa nakufananisha na watangazaji wa mpira redioni kipindikile wakati tv hazijasambaa kila mahali.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Mimi naamini tarehe 7 Oktoba ni maanzo wa mwisho wa mazayuni, wamarekani waovu na vibaraka wao wa mashariki ya kati.
Na ndio ukweli mchungu ambao hata wenyewe wanaujua ila kuusema tu ndio hawawezi
 
Huku kesi dhidi ya Israel iliyofunguliwa ICJ na Afrika kusini ikinguruma kule Gaza ya kaskazini wananchi wameanza kurudi majumbani mwao kutoka kila upande walikokimbilia
Hayo yanatokea wakati hakuna hata lengo moja la vita lililowekwa na Israel ambalo limetimizwa.
Zaidi ya hayo kuna hali inayoitia kizunguzungu Israel kwani hali zilizobadilika baada ya miezi mitatu katika vita imelazimisha jeshi la IDF kurudisha askari nyumbani.
Kwenye mahakama ya kimataifa juu ya jinai za kivita Afrika kusini imeendelea kuichachafya Israel na kuiacha bila majibu.
Katika baadhi ya paragrafu za jalada la kesi zinaihoji Israel kwa kutaja baadhi ya majina ya watoto waliouliwa katika vita hivyo ikiuliza .Hawa walikuwa kwenye hema wakipigwa na baridi na katikati ya wazazi wao jee walihusikaje na vita mpaka wakauliwa.Jee walirusha kombora dhidi ya IDF ?

Netanyahu condemns ICJ genocide case; Gazans return to wasteland in north

Eti lengo halijatimia[emoji28][emoji28]
 
Tunabishania Mambo yasiyotuhusu wakati huku bei ya sukari imepaa ndani ya wiki mbili toka 2800 mpaka 5,000 and still counting.
Nauli Dar BKB 120,000 wakati Bei ya mafuta imeshuka mwezi huu. Haya mnaona poa na matozo mengine kibao, umeme ukiendelea kukatika katika nchi in a miaka 63 ya Uhuru.
 
Back
Top Bottom