Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Nimpuuzi tu na mjinga aliekua anadhania kwamba israhell wataweza kuifuta hamas pale ghazammeachiwa mnaanza kelele na muda si mrefu mtachokoza tena itafika dunia itawatema tu , na wayaud watawanyona makalio
Toka awali nilikua nawaambieni suala la hamas kufutwa pale ghaza musahau musahau musahau
Israhell haitakomboa mateka hata mmoja na wala haitaifuta hamas
Njia pekee anayoweza kuitimiza israhell nikuvunja majengo na kuua watoto wasiokua hata na manati