Watu wafupi nchini 'Wajukuu wa Samia' (Mr Pimbi, Tausi) watua Bungeni, wakaribishwa kwa makofi mazito

Watu wafupi nchini 'Wajukuu wa Samia' (Mr Pimbi, Tausi) watua Bungeni, wakaribishwa kwa makofi mazito

Wana kuza majina kuwa Makubwa halafu haya endani na uhalisia.. Wa maisha yao.. "Sanaa isiwe Daraja la kutengeneza Maskini wenye majina makubwa"...
 
Bunge la Tanzania 😂😂. Yaani bora nikashinda pale shivazi naangalia wauza mbumbusi kuliko kupoteza muda kuangalia matahira ya ccm.
 
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Kumbe Samia naye ni M-congo. Maana hawa watu wafupi maarufu kama Vibwengo asili yao ni Congo.

Ndo watoto wa Abdul hawa???. Ukiona anafanya haya yote kwa mgongo wa siasa ni wazi ametepeta.

Kwa lugha rahisi anatapatapa ili aonekane ni mtu mwenye upendo kwa watu ambao ni "Low privileged" ili hali katuonyesha kuwa ni katili aliyevuwa vipimo vya ukatili. Ndiyo maana anaita wananchi wake ni mashetani hadharani bila hofu na bila aibu na chawa wake wanashangilia na kupiga makofi.

Yeye akiitwa Shetani hadharani itakuwaje. Kuambiwa tu kashindwa kuthibiti utekaji, mauaji na kupotezwa kwa watu kafura. Kitu ambacho kiko wazi. Mbaya zaidi anadiriki kusema mbele ya hadhara kuwa Kifo cha kibao ni cha kawaida tu. No body could expect the head of state to be arrogant to such an extent.

Hata mwendazake siku za mwisho mwisho alikuwa anaropoka maneno hadi tunashika midomo, kumbe ndo alikuwa ndo yuko kwenye ukingo wa bahati kabla hajazama. Je, na huyo yuko mwisho mwisho kabla hajazama??
 
Eti wajukuu wa samia duuh hii nchi ngumu sana, ujukuu huu utadumu mpaka november then wanakuwa siyo wajuu tena,
Misuse of less privileged Dwarfs in the name cheap politics,
😂😂😂😂😂😂😂😂💋
 
Na Hawa nao Kuna baadhi ya watu watawaonea Wivu kwa kuingia bungeni.

Hongera zao
 
Semseme Mbulikimo tu kwa jina lao mana wameyataka hawa sio wajukuu wengine ni wadogo zake mana niwatu wazima kabisa ila wamekosa michongo yakufanya wameamua ku push # kwakua ndio kuna ulaji na vikiumwa visije public kutia huruma
 

Attachments

  • FB_IMG_1749139137988.jpg
    FB_IMG_1749139137988.jpg
    34.5 KB · Views: 34
Wajukuu wa samia
Samia cup
Serengeti samia festival
Chawa wa mama
Kizimkazi festival
....you name it

Lakini unaweka zuio la viongozi wa chadema kusafiri nje ya nchi
Unateka watu
Unaamua kuwa jezebel
N.k n.k
 
Back
Top Bottom