Watu wafupi nchini 'Wajukuu wa Samia' (Mr Pimbi, Tausi) watua Bungeni, wakaribishwa kwa makofi mazito

Watu wafupi nchini 'Wajukuu wa Samia' (Mr Pimbi, Tausi) watua Bungeni, wakaribishwa kwa makofi mazito

Oneni vituko
Eti wanajiita wajukuu wa Samia.

Screenshot_20250610_095424_Instagram.jpg
 
Wakipataga shida wanawakumbuka wananchi kuwaomba wawachangie inabidi files zao ziwe zinatunzwa ili kikiwatokea tuwakumbushe walishindwa kusimama na wananchi na isitokee kuleta ubinadamu
 
Write your areply...kutafuta ugali wa familia ni vita.wengine majambazi wengine wanasiasa akina heche wengine machawa akina mwijaku wengi waaskofu wengine mashekhe hao wote wanapigania matumbo yao yajae
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Yaani ni kwamba kuna bwege mmoja anagawa hela balaa,kinachohitajika ni kutumia fursa ya kutengeneza kakikundu kanachoendana na nyiyi,hamkosi kuvuta posha
Ndio kinachoendelea, juzi kulikua na hawa wanajiita 'Wasusi wa mama' yaan wahudumu wa saloon za kike eti nao wakafanya maandamano, hii nchi noma sana
 
Back
Top Bottom