Watu wafupi nchini 'Wajukuu wa Samia' (Mr Pimbi, Tausi) watua Bungeni, wakaribishwa kwa makofi mazito

Wana kuza majina kuwa Makubwa halafu haya endani na uhalisia.. Wa maisha yao.. "Sanaa isiwe Daraja la kutengeneza Maskini wenye majina makubwa"...
Joh makini
 
Wakipataga shida wanawakumbuka wananchi kuwaomba wawachangie inabidi files zao ziwe zinatunzwa ili kikiwatokea tuwakumbushe walishindwa kusimama na wananchi na isitokee kuleta ubinadamu
 
Write your areply...kutafuta ugali wa familia ni vita.wengine majambazi wengine wanasiasa akina heche wengine machawa akina mwijaku wengi waaskofu wengine mashekhe hao wote wanapigania matumbo yao yajae
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Yaani ni kwamba kuna bwege mmoja anagawa hela balaa,kinachohitajika ni kutumia fursa ya kutengeneza kakikundu kanachoendana na nyiyi,hamkosi kuvuta posha
Ndio kinachoendelea, juzi kulikua na hawa wanajiita 'Wasusi wa mama' yaan wahudumu wa saloon za kike eti nao wakafanya maandamano, hii nchi noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…