Watu wakimya (introverts) mnapataje marafiki wa kawaida ukubwani?

Watu wakimya (introverts) mnapataje marafiki wa kawaida ukubwani?

Kiukweli mkuu tunahitaji kuongea na watu hata kama ni introv...

Kutokufanya hivyo kutaleta shida sana ya kisaikolojia.
It doesn't work like that kwa introvert recharging ya mind yake inahtaj utulivu na sio purukushan,,,, kuwa introvert sio kwamba ndo mtu haongei au hawez socialize,,, its just they can't argue more kama kukiwa na marumbano coz it's not their style
 
Tafta hela broo ukiwa na pesa hao marafiki watakuja wenyewe!
 
Kama umeniona siku hiz pozi langu ni kaunta tu, mbaya zaidi zaidi hata wale niliosoma nao wote urafiki uliisha..
Sina marafiki wapya na mtu hawez kunizoea kirahisi.. Ila ndo hivyo tunaishi humo humo.
Hujisikii upweke sometimes?
 
Being introvert doesn't mean you can't socialize,, tofautisha introvert na anxiety
Hapana anxiety ni hali ya wasiwasi uliopitiza ni ugonjwa wa akili. Kuwa introvert ni tabia ya upole na ukimya wa asili sio waongeaji na pia hawana mazoea sana na watu. Anxiety hata extrovert wanapata kwasbabu ni tatizo la kisaikolojia linalotibika lakini kuwa introvert au extrovert ni nature huwezi ibadili.
 
mi kwangu wamebaki wa kwenye simu tu tena ni ile salam kitaa niko mwenyewe na family tu.Na inatosha
Huwa hujumuiki au hujisikii kujumuika na marafiki hata mara moja moja?
 
Natamani sana kuwa na marafiki wengi, naweza kuvutiwa na mtu tena wa jinsia yangu na nikatamani awe rafiki, Ila kuconnect inakuwa ngumu. Kwa sasa Nina marafiki wa nne tu, na tunaishi mbali,wote nilikutana nao shule. O level mmoja, A level mmoja, chuo wawili.Natamani sana kujichanganya Ila nafail, cjui ni nini hiki ata!!!
 
Natamani sana kuwa na marafiki wengi, naweza kuvutiwa na mtu tena wa jinsia yangu na nikatamani awe rafiki, Ila kuconnect inakuwa ngumu. Kwa sasa Nina marafiki wa nne tu, na tunaishi mbali,wote nilikutana nao shule. O level mmoja, A level mmoja, chuo wawili.Natamani sana kujichanganya Ila nafail, cjui ni nini hiki ata!!!
Itakuwa unafanana na baba yako au umechukua sura ya mjomba wako ndo maana marafiki wanakukimbia
 
kama wewe ni introvert hauwezi kusumbuliwa na mawazo ya kuwa mpweke binafsi napenda sana kufanya mambo yangu mwenyewe lakini sina aibu wala uoga wa kuishi na watu tena kuna muda mimi ndio huwa naitwa nichangamshe genge la story , nikitoka hapo mazoea na urafiki wetu unabaki hapo hapo wachache sana kwenye hilo kundi wanaweza kufahamiana na mimi zaidi, sio kwamba nawabagua bali wengi hushindwa kuendana na namna ninavyoishi sina maisha ya kuishi kubembeleza kuzoeana au kuishi kinafiki, kuna wajamaa niliishi nao miaka 4 sijawai kiongozana nao zaidi ya salamu na mimi kusepa hawa jamaa walikuwa wanajishitukia wakiwa na mimi wanavaa hovyo nikiwa nao wanaanza kukuita boss mara punguza kidogo kupendeza , mbona unashindia nguo za kanisani , nikasema moyoni nyinyi mbona mimi sioni aibu kwamba nyinyi mnaishi lafu lakini nyinyi mnapenda kufuatilia mambo yangu na kujishitukia nikawafungia vioo kabisa.
 
Sema nn sometime kujichanganya kunasaidia kukubadr japo sio kivile, bwana wee baada ya kwenda chuo moka mm , mwenyew nilijishangaa kumbe nina kipaj cha kuongea bwanaa maana sio kwa nyomii lile la wadau kila kona , kias kwamba kuna kipind ikafika nkawa sitembei mchna kukwepa kuonana na wadau, maan ikawa kila utakapopita wadau wanakuchangamkia,, na kam ujuavyo watu wa tabia hiz kuchange mood ni rahis mnoo kwaiyo mtu akinikuta nipo na mood harisi ya introv atajua labda naumwa ama nina stress kumbe ndio uharisia wangu,ikafika mahala mpka home wakawa wanadai nimeanza kulewa au navuta bangi maana sieleweki, leo niko hiv, kesho vilee,leo mpoleee, kesho naongea zaid ya waongeajii kuna mda namiliki jukwaa zima kwa storuu,lakn chaajabu chaji ikiisha lazma ukajifungie tu ndan urudi kweny factors reset ya uharisia,,hii kitu ya kujichanganya inasaidiaa saanaa kuleta cycle ya watu ambao unaweza kuja kuwatumia kwa faida.....wenye utu wa aina hii msijichukie wala kuwaza sana chamuhimh ni kujitambua tuu wew n nan, bas,,mm leo nyuma ya keyboard huwa mtata saana wa kuandika,,maelezo tu natililikaa,,hata uko FB,bbc swahil, na JF uko kwakina milard ayo kuna koment zang mpka sasa zinkimbiza kinomaa, so kwa mtu wa kawaida akisoma alafu akavuta picha bas anafikil sijui atakuwa mtu fulan hiv wa aina za watu waongeaji na wanyooshaj wa maelezo na point kama akina jakaya ama tundu lisu, kumbee[emoji41][emoji41][emoji41]..wadau wengi sana nimejuana nao kupitia facts zangu mitandaon lakn chaajabu mtu akiniona ni tofaut na alivyonizania kuwa atakutana na jamaa flan hiv mapepe wa kuongea, kumbe waap me ni maneno ma3 imetoka iyoo
Daah kuna mshkaji alikua na tabia hizo za kikuda kuda (Mood swings) mara aongee, kesho anune aisee nilimchana nikamwambia sitakagi mazoea kabisa na washkaji wenye Hizi tabia za kama vile demu aliyeko period.
 
Back
Top Bottom