Watu waliobadili jinsia wanaweza kuwa wazazi wa ubatizo katika Kanisa Katoliki, mashahidi katika harusi za kidini na kubatizwa

Watu waliobadili jinsia wanaweza kuwa wazazi wa ubatizo katika Kanisa Katoliki, mashahidi katika harusi za kidini na kubatizwa

Pope Francis kwa kiasi kikubwa amekua sinema kueleweka vizuri baadhi ya misimamo yake haswa kwenye maswala tatanishi kama haya.
Hata baadhi ya mapadre na maaskofu na hata makadinali wana Masha sana na misimamo yake.

Papa mjesuit ambaye kanisa lililipuka kwa furaha kubwa siku ile alipotokeza mbele ya uma pale viwanja vya vatikani, kanisa likiwa na matumaini makubwa lakini sasa kanisa limeshika tama! Hata hivyo Mungu ni mwema, Mungu yupo jana leo kesho na daima.

Apumzike kwa amani papa Benedict wa 16.
 
Umehamia huku? Vipi kule Gaza kipigo kinaendeleaje?
Askofu Jose Negri wa Santo Amaro nchini Brazili alituma kwa ofisi ya mafundisho maswali sita mnamo Julai kuhusu watu wapenzi wa jinsia moja na waliobadili jinsia (LGBT ) na ushiriki wao katika sakramenti za ubatizo na ndoa.
 
Nilikua sijui kwanini Israel wanawachukia sana Christian wakati Christian wanasifia sana Israel kumbe wayahudi walishaona tatizo lilipo

Nadhani hujamuelewa papa,anyway magaidi ya hamas yanazidi kuuliwa huko gaza.
 
Nilijua unawasingizia wafuasi wa Brian Deacon.

Hao ndiyo mazezeta namba moja.

Unamuuliza swali biblia mbona inasema hivi na nyie mnafanya vile wanadai hauwezi kuelewa hadi roho mtakatifu.

Wewe mwenye roho mtakatifu fafanua anavuruga mambo.

Ulitaka watengwe wafungwe jera wauliwe ndio furaha yako?pole sana kristo alikula na kunywa na makahaba.
 
Huyu papa analiua kanisa, ingawa mashoga wapo katika Kila dini lakini wenzetu wameamua kukaa mbali na uchafu huo

Yesu alikula na kunywa na mashoga na makahaba na wezi,mbona hii approach inakua hasi ikifanywa na kanisa??
 
Kama we ni muumini mzuri katika dhehebu lako na unafuata misingi ya Mwenyezi Mungu huwezi kufurahia lolote baya linalokinzana na Mungu linalotokea katika dhehebu jingine. Ukijiona.unachekelea na kufurahia Kaa chini ujitafakari huenda na we ni mmojawapo wa kundi la waovu wa sirini.
 
😂 Usiamini wahuni wanaojificha kwenye kivuli Cha Ukristu.
FB_IMG_16970207207701307.jpg
 
Ndo hapo sasa, nani kaumba hayo mashoga? Na kama anachukizwa nayo kwanini anaruhusu yawepo?

Na kama anaruhusu yawepo ana sababu gani ya kufanya hivyo?

Dini badala iwe chombo cha kuunganisha watu inatenganisha

Ushoga ni swala mtambuka hautokaa uishe
Kwani biblia inasemaje kuhusu mashoga na Roma mnaongozwa na biblia au na msimamo wa Papa?

Usijizime data aisee.

Kuhusu yesu kukaa na mashoga hebu nipe reference kwenye biblia ni wapi hapo aliambatana na mashoga
 
Taratibu mnaandaliwa kisaikolojia mwisho wa siku wanapotisha kabisa ndoa za jinsia moja...poleni sana Waroma [emoji23][emoji23][emoji23] Kwenye uislamu upuuuzi kama huu uwezi kuusikia na amna Mtu wa kujarbu kufanya..

Uislmau upi maana na huko yalianza kitambo tu, au haya sio maandiko yenu

MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:

Muhammad aliikamilisha ndoa yao kwa tendo la unyumba wakati 'Aisha alipokuwa na umri wa miaka tisa."Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 43 na.236, uk.153.


View: https://youtu.be/j3PjJ6nhQGo

View: https://youtu.be/_JZwtSJl_mI
 
Back
Top Bottom