rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
BBC siwaamini, wanapenda kupotosha Sana kuhusu kanisa katoliki na papa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Askofu Jose Negri wa Santo Amaro nchini Brazili alituma kwa ofisi ya mafundisho maswali sita mnamo Julai kuhusu watu wapenzi wa jinsia moja na waliobadili jinsia (LGBT ) na ushiriki wao katika sakramenti za ubatizo na ndoa.Umehamia huku? Vipi kule Gaza kipigo kinaendeleaje?
Nilikua sijui kwanini Israel wanawachukia sana Christian wakati Christian wanasifia sana Israel kumbe wayahudi walishaona tatizo lilipo
Nilijua unawasingizia wafuasi wa Brian Deacon.
Hao ndiyo mazezeta namba moja.
Unamuuliza swali biblia mbona inasema hivi na nyie mnafanya vile wanadai hauwezi kuelewa hadi roho mtakatifu.
Wewe mwenye roho mtakatifu fafanua anavuruga mambo.
Kwahiyo huyo papa anayebatiza mashoga wawe wakatoliki baada ya kupotea ndiyo yesu wenu?
Huyu papa analiua kanisa, ingawa mashoga wapo katika Kila dini lakini wenzetu wameamua kukaa mbali na uchafu huo
unapotezea okUmehamia huku? Vipi kule Gaza kipigo kinaendeleaje?
Nipo nimejibanza sehemu nakunywa kahawa nasubiri majibu…
Yesu hajawahi kula na kunywa na mashoga.Yesu alikula na kunywa na mashoga na makahaba na wezi,mbona hii approach inakua hasi ikifanywa na kanisa??
Kwani biblia inasemaje kuhusu mashoga na Roma mnaongozwa na biblia au na msimamo wa Papa?Ndo hapo sasa, nani kaumba hayo mashoga? Na kama anachukizwa nayo kwanini anaruhusu yawepo?
Na kama anaruhusu yawepo ana sababu gani ya kufanya hivyo?
Dini badala iwe chombo cha kuunganisha watu inatenganisha
Ushoga ni swala mtambuka hautokaa uishe
Taratibu mnaandaliwa kisaikolojia mwisho wa siku wanapotisha kabisa ndoa za jinsia moja...poleni sana Waroma [emoji23][emoji23][emoji23] Kwenye uislamu upuuuzi kama huu uwezi kuusikia na amna Mtu wa kujarbu kufanya..