Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
We jamaa hizo dhambi zote unazo sema mwanadamu anakua na sababu hata ya kijitetea hata kuomba msaada Kwa Mungu. Lakini shoga Hana sababu yoyote ya yeyekufanya ushoga Sasa mtu anafanya kitu ambacho kikoo nje ya mfumo utasema kweli huyo ni mtoto wa mungu.Nina maana yangu kukuuliza hivyo, kwani naona unakubali kuwabatiza waliokiuka amri kumi za Mungu (kuiba, kuua, kuzini, kusema uongo, kutamani mwanamke asiye mke wako, etc), halafu unashangaa kuwabatiza wanaofanya ushoga!