Watu waliobadili jinsia wanaweza kuwa wazazi wa ubatizo katika Kanisa Katoliki, mashahidi katika harusi za kidini na kubatizwa

Watu waliobadili jinsia wanaweza kuwa wazazi wa ubatizo katika Kanisa Katoliki, mashahidi katika harusi za kidini na kubatizwa

Nina maana yangu kukuuliza hivyo, kwani naona unakubali kuwabatiza waliokiuka amri kumi za Mungu (kuiba, kuua, kuzini, kusema uongo, kutamani mwanamke asiye mke wako, etc), halafu unashangaa kuwabatiza wanaofanya ushoga!
We jamaa hizo dhambi zote unazo sema mwanadamu anakua na sababu hata ya kijitetea hata kuomba msaada Kwa Mungu. Lakini shoga Hana sababu yoyote ya yeyekufanya ushoga Sasa mtu anafanya kitu ambacho kikoo nje ya mfumo utasema kweli huyo ni mtoto wa mungu.
 
Hizo dhambi nilizotaja (kutomuabudu Mungu pekee, kutowaheshimu wazazi, kuiba, kuzini, kusema uongo) zimetamkwa na kuandikwa kabisa katika Biblia kuwa zinatokana na kuvunja amri za Mungu. Iweje uhalalishe kwa kusema eti mtu akizitenda anakuwa na sababu ya kujitetea mbele ya Mungu! Basi kumbe hata shoga kama kwa kufanya ushoga amevunja amri ya Mungu (sijui ya ngapi), naye ana sababu ya kujitetea mbele ya Mungu!
 
1699647183288.png
 
Yesu alikuja duniani kutafuta watu waliopotea katika dhambi ili wamjue, kumpenda na kumtumikia Mungu na kuacha dhambi.

Sioni tatizo unataka watengwe?
Wacha wee ... kondoo mtiifu sauti ya Papa sauti ya Yesu sasa wakiwa mashahidi kwenye ndoa wanasimama kama??? Gender yao mpya au ile aliowaumbia Yesu??
 
Hiyo habari mngeomba mtafsiriwe kwa Kiswahili halafu ndio muanze kutoa maoni, vinginevyo mtaendelea kubeba tafsiri kila mmoja anavyojisikia. Mbona sijaona ukizungumzia suala la kubatizwa wakati habari yenyewe ya kiingereza imelitaja? Ni kama vile umerukia aya uliyoielewa bila kujali kuwa kuna aya nyingine zilitangulia
Binadamu ukimuwekea zuri lako na baya lako atapenda kulichambua na kulijua zaidi lile baya kuliko zuri hata kama halina manufaa kwake.

Nashangazwa na namna hizi habari zinavyoandikwa.
 
Wacha wee ... kondoo mtiifu sauti ya Papa sauti ya Yesu sasa wakiwa mashahidi kwenye ndoa wanasimama kama??? Gender yao mpya au ile aliowaumbia Yesu??
Nenda kanisani utapata majibu ya maswali yako.
 
Kwani Yesu Kristo alikuja Duniani kwaajili ya wenye afya na watakatifu au wadhambi na wahitaji?

Hivi mwenye afya anahitaji tabibu kweli? Na mgonjwa atamuhitaji nani sasa?

Ni Vizuri kujua lengo la kanisa hilo kama limeanzishwa kwajili ya wenye afya na watakatifu basi it's wrong kuwapokea wadhambi, wenye shida na wahitaji.

Lakini kama lilianzishwa kwaajili ya wenye dhambi,shida na wahitaji,then hapo ndipo penyewe, hao ni miongoni mwa wanaostahi huduma za kanisa hilio baraa baraaa...
Huo ni ushetani.

Yesu alihubiri MAKAHABA na wenye dhambi wakaacha dhambi,

Huyo Popee Badala ya kukemea waache dhambi, anabariki kabisa.

CHUKIZO LA UHARIBIFU LIMESHASIMAMA PATAKATIFU.

Yajayo yanasikitisha.
 
Ulitaka watengwe wafungwe jera wauliwe ndio furaha yako?pole sana kristo alikula na kunywa na makahaba.
Yesu aliwahubiri wakaacha ukahaba wakawa watumishi.

Kufungisha NDOA watu mashoga na waliobadili JINSIA madhabahuni ,hayo ni machukizo.

Tokeni kwenye Kanisa Hilo,

Ni la Kuzimu.
 
Huo ni ushetani.

Yesu alihubiri MAKAHABA na wenye dhambi wakaacha dhambi,

Huyo Popee Badala ya kukemea waache dhambi, anabariki kabisa.

CHUKIZO LA UHARIBIFU LIMESHASIMAMA PATAKATIFU.

Yajayo yanasikitisha.
acha kupotosha ulithibitishia wap waliacha dhambi?

nimeuliza huyo Yesu alikuja kwaajili ya watakatifu au wenye dhambi?

kama kusudi la hilo kanisa ni kudeal na wenye dhambi, basi huo ni wajibu wake na linafaa kutia bidii zaidi na litakosolewa na kuchukiwa na watu kama wewe unaejihesabia haki, utakatifu na hakimu wa kujaji fulani ana dhambi na fulani hana dhambi kama vile Yesu alivyo pingwa na kudhihakiwa na mafarisayo wenye hulka kama yako...
 
Ndo hapo sasa, nani kaumba hayo mashoga? Na kama anachukizwa nayo kwanini anaruhusu yawepo?

Na kama anaruhusu yawepo ana sababu gani ya kufanya hivyo?

Dini badala iwe chombo cha kuunganisha watu inatenganisha

Ushoga ni swala mtambuka hautokaa uishe
Jinga sana🤣🤣
 
Back
Top Bottom