Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

haha..wanaodai Yesu hana baba ,waje Tuthibitishia kuwa inawezekana vipi?Tena kwa kutumia kitabu chao wanachotaka tulazimisha kuwa kipo sahihi.
 
Ni kweli kabisa, fanya dhihaka zooote lakini usijaribu kabisa kumdhihaki MUNGU /MUUMBA (Don't be deceived GOD cannot be Mocked anyhow)
SOMA HAPA:
Huko Bazil katika mji wa Campinas katika mwaka 2005, Vijana kadhaa waliokuwa wamelewa chakali wakiwa na gari aina y saloon walienda kumpitia rafiki yao wa kike ili kwenda kwenye sherehe - Pikiniki ( Kujirusha.....) wakiwa wamebeba shehena za vinywaji na vyakula.

Mama wa binti yule alipokuwa anamsindikiza mwanaye kwenye Gari aliogopeshwa kuona jinsi wale wenzake walivyokuwa wamelewa chakali, akamshika mkono binti yake akiwa ameshakaa kwenye ndani ya gari akamwambia "Mwanangu
Mungu awe nawe katika safari yenu na akulinde'

Yule binti akajibu kwa majivuno " Kama huyo Mungu ataweza kaa kwenye Buti ya gari sawa....Maana humu ndani ya gari tumesha tosha na hakuna nafasi"..................

Baada ya saa chache kupita taharifa zikatolewa kwenye vyombo vya habari kuna ajali mbaya imetokea katika gari la saloon na abiria wooote waliokuwa ndani wamefariki na gari limeharibika vibaya na si rahisi kutambua ni gari gani. Kitu cha kushangaza ni kuwa buti ya Gari ilikuwa haija haribika.

Trafiki waliofika kufanya ukaguzi wa ajali walishangazwa kuona ajali mbaya kama ile na buti ya gari ikiwa nzima kabisaaa

Cha kuwashangaza zaidi ni pale walipokuta kuna tray ya mayai ndani ya buti na hakuna hata Yai lililo vunjika.....
 
Princes diana alining`ina sana na watu waliokuwa wamewekeza ktk kumchukua ili kudhalilisha Ukristu,mwishowe tunaujua...malcolm X alijidai sana na kwa dini na kufanya mambo yake ktk mitizamo ya kudhalilisha Ukristu..aliishia kuwawa vibaya na wenzio wakigombea dhambi, mike tyson leo ndio anaamka kwa kupigana na Evander kwa minajili ya Dini...akaishia kung`ata sikio baada ya kupigwa kote..akaishia kuwapa majinn damu kw akung`ata sikio
 
Me nafikiri ujadiliwe uwepo wa MUNGU na maajabu yake anayotenda kuwaonya ama kuwafunza wanadamu, hizi mada tulizoanza nazo tutajikuta tukiingia katka kundi lilelile wanaokufuru, am out.
 

Dah so touching story.
 
haha..wanaodai Yesu hana baba ,waje Tuthibitishia kuwa inawezekana vipi?Tena kwa kutumia kitabu chao wanachotaka tulazimisha kuwa kipo sahihi.

Kwa kutumia kitabu chako hebu thibitisha kuwa kuna ufufuo baada ya kifo.
 
Bwana Mungu atabakia kuitwa Mungu.
Alikuwepo, Yupo na Atakuwepo. Ni Alfa na Omega.
Bwana wa Mabwana, Mfalme wa Wafalme.
 
kwahiyo brazil wamegundua marco polo mabasi?na matrekta?

Eti kwakua iran wametengeneza ndege ndo inakua wamegundua?
Yani wewe bado sana akili yako bado teke sana kama ndo hivyo unavyofikiri.ni vile tu naishiwa moto ningekuelesha na uelewa bila shaka.
 
haha..wanaodai Yesu hana baba ,waje Tuthibitishia kuwa inawezekana vipi?Tena kwa kutumia kitabu chao wanachotaka tulazimisha kuwa kipo sahihi.
wayahudi wanadai yesu alikua mwanaharamu upo?.soma Talmud.
 
hah..ha.god wa Yackob,na Yesu anaitw GOD si god....acha obsessions....inaelekea kajiua mwenyewe.
soma hiyo link hapo juu,yaani hawa wayahudi,eti wanadai mary alikua raped na afisa wa kirumi ndo akapata ile mimba.

Wanakufuru mbaya sana.
 
wema sepetu naye ananing`inia ktk hayo maisha yasiyo na Mungu.hata kaiingia ktk ibada ni akiw ana shida na huingia kw atabia mbaya huku waliompeleka wakihitaji mkumbusha vitu km secretaries wake...
 
Nadhani hujui maana ya kwahiyo....kwanza marcopolo imevaaengine za benzi na scania ya scania.Kazi yako ni kujitengeneza fikra na logic zako za kiwendawazimu....huku ukichagua mengine mengine ukiacha....
 
Bwana Mungu atabakia kuitwa Mungu. Alikuwepo, Yupo na Atakuwepo. Ni Alfa na Omega. Bwana wa Mabwana, Mfalme wa Wafalme.
Watuw ataua wakidhani wanamwabudu watajiua wakidhani wanamtolea dhabihu..ila wanabaki kuw amachukizo kwake...Siku zote atashida bila nguvu..Sasa hivi Nchi za Kikristu wana mafuta mengi kuliko za kiislam.Na dunia inawekeza ktk nishati mbadala kwa kazi ambayao waarabu hawakuwhai iona.Si muda atakuja mzungu kichaa na ugunduzi utakaogeuza wafadhili wa ugaidi kuwa ombaomba..dubai na qatar wakesthukia wanahamisha hela kwenda ktk uwekezaji mwingine.
 
Nadhani hujui maana ya kwahiyo....kwanza marcopolo imevaaengine za benzi na scania ya scania.Kazi yako ni kujitengeneza fikra na logic zako za kiwendawazimu....huku ukichagua mengine mengine ukiacha....
wewe si unasema wabrazil wamegundua basi.

Ok soma link hiyo.
 
wayahudi wanadai yesu alikua mwanaharamu upo?.soma Talmud.
wewe na dini yako mnadai vipi kwa theory na vipi kwa vitendo..nyie ndezi huwa mna mistari miwili miwili..inawatosha kuwa na sura mbilimbili..maneno mengine na matendo mengine..mnasemaje eti kila copy ya mstari ina mahali pake.
 
wayahudi wana kashifa,eti huyo askari wa kirumi aliitwa julius tibelius panthera.

Joseph alikua kasafiri ile anarudi akamkuta mchumba wake mary ako mjamzito,pakatokea ugomvi joseph akimtuhumu kuwa amekua unfaithfull.
Sasa sijui nani anasema kweli hapa,agano la jipya ama kitabu cha talmud.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…