Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hah..ha.god wa Yackob,na Yesu anaitw GOD si god....acha obsessions....inaelekea kajiua mwenyewe.mungu wa yakobo na isaka is a fool and a murderous crazy pagan god.
Princes diana alining`ina sana na watu waliokuwa wamewekeza ktk kumchukua ili kudhalilisha Ukristu,mwishowe tunaujua...malcolm X alijidai sana na kwa dini na kufanya mambo yake ktk mitizamo ya kudhalilisha Ukristu..aliishia kuwawa vibaya na wenzio wakigombea dhambi, mike tyson leo ndio anaamka kwa kupigana na Evander kwa minajili ya Dini...akaishia kung`ata sikio baada ya kupigwa kote..akaishia kuwapa majinn damu kw akung`ata sikioNi kweli kabisa, fanya dhihaka zooote lakini usijaribu kabisa kumdhihaki MUNGU /MUUMBA (Don't be deceived GOD cannot be Mocked anyhow) SOMA HAPA: Huko Bazil katika mji wa Campinas katika mwaka 2005, Vijana kadhaa waliokuwa wamelewa chakali wakiwa na gari aina y saloon walienda kumpitia rafiki yao wa kike ili kwenda kwenye sherehe - Pikiniki ( Kujirusha.....) wakiwa wamebeba shehena za vinywaji na vyakula. Mama wa binti yule alipokuwa anamsindikiza mwanaye kwenye Gari aliogopeshwa kuona jinsi wale wenzake walivyokuwa wamelewa chakali, akamshika mkono binti yake akiwa ameshakaa kwenye ndani ya gari akamwambia "Mwanangu Mungu awe nawe katika safari yenu na akulinde' Yule binti akajibu kwa majivuno " Kama huyo Mungu ataweza kaa kwenye Buti ya gari sawa....Maana humu ndani ya gari tumesha tosha na hakuna nafasi".................. Baada ya saa chache kupita taharifa zikatolewa kwenye vyombo vya habari kuna ajali mbaya imetokea katika gari la saloon na abiria wooote waliokuwa ndani wamefariki na gari limeharibika vibaya na si rahisi kutambua ni gari gani. Kitu cha kushangaza ni kuwa buti ya Gari ilikuwa haija haribika. Trafiki waliofika kufanya ukaguzi wa ajali walishangazwa kuona ajali mbaya kama ile na buti ya gari ikiwa nzima kabisaaa Cha kuwashangaza zaidi ni pale walipokuta kuna tray ya mayai ndani ya buti na hakuna hata Yai lililo vunjika.....
Ni kweli kabisa, fanya dhihaka zooote lakini usijaribu kabisa kumdhihaki MUNGU /MUUMBA (Don't be deceived GOD cannot be Mocked anyhow)
SOMA HAPA:
Huko Bazil katika mji wa Campinas katika mwaka 2005, Vijana kadhaa waliokuwa wamelewa chakali wakiwa na gari aina y saloon walienda kumpitia rafiki yao wa kike ili kwenda kwenye sherehe - Pikiniki ( Kujirusha.....) wakiwa wamebeba shehena za vinywaji na vyakula.
Mama wa binti yule alipokuwa anamsindikiza mwanaye kwenye Gari aliogopeshwa kuona jinsi wale wenzake walivyokuwa wamelewa chakali, akamshika mkono binti yake akiwa ameshakaa kwenye ndani ya gari akamwambia "Mwanangu
Mungu awe nawe katika safari yenu na akulinde'
Yule binti akajibu kwa majivuno " Kama huyo Mungu ataweza kaa kwenye Buti ya gari sawa....Maana humu ndani ya gari tumesha tosha na hakuna nafasi"..................
Baada ya saa chache kupita taharifa zikatolewa kwenye vyombo vya habari kuna ajali mbaya imetokea katika gari la saloon na abiria wooote waliokuwa ndani wamefariki na gari limeharibika vibaya na si rahisi kutambua ni gari gani. Kitu cha kushangaza ni kuwa buti ya Gari ilikuwa haija haribika.
Trafiki waliofika kufanya ukaguzi wa ajali walishangazwa kuona ajali mbaya kama ile na buti ya gari ikiwa nzima kabisaaa
Cha kuwashangaza zaidi ni pale walipokuta kuna tray ya mayai ndani ya buti na hakuna hata Yai lililo vunjika.....
haha..wanaodai Yesu hana baba ,waje Tuthibitishia kuwa inawezekana vipi?Tena kwa kutumia kitabu chao wanachotaka tulazimisha kuwa kipo sahihi.
kwahiyo brazil wamegundua marco polo mabasi?na matrekta?Brazil unadhani ipo padogo...haha..Brazil ipo ktk brac..ipo ktk level ya china,India etc..Ni zaidi ya UK..ukiingia Rio lazima uone CHRIST THE REDEEMER.....hizo nchi nyingine zilirudishwa nyuma si na Ukristu ila na Ujamaa na ukomunist..ndio uliowaponza. Brazil ina ndio inaweletea marcopolo, brazil wanauza mashine bora kabisa za mashambani..pump, trackor, mgari ya kutumia pombe, brazil wamejaza kuku wa kisasa ktk supermrket kubwa duniani..kwa rahisi kabisa hadi nchi km south africa zinalia, brazil wana makampuni ya mafuta ambayo hata hapa kwetu ndio yalishikilia vitalu vingi kabisa vilivyogundua mafuta na gesi, brazil, wana utalii wa upasuaji wa urembo (kurekebsiha sura,) na upasuaji mzuri kuliko india na bei zao rahisi zaidi, brazil wanatengeneza ndege na helcopter, brazil wanafanya biashara za mitandao kwa kiasi kikubwa sana, na brazil wanatengeneza softwate nyingi sana za fani maalumu kuliko unavyoweza ota.....nchi za maerika kusini zilizama ktk ujamaa ,na kuingia ktk udictator ukapelekea watuw ao kuishi maisha mabaya na yenye uhalifu... Brazil wanajenga viwanja kwa naterial na technologia zao wenyewe...
wayahudi wanadai yesu alikua mwanaharamu upo?.soma Talmud.haha..wanaodai Yesu hana baba ,waje Tuthibitishia kuwa inawezekana vipi?Tena kwa kutumia kitabu chao wanachotaka tulazimisha kuwa kipo sahihi.
soma hiyo link hapo juu,yaani hawa wayahudi,eti wanadai mary alikua raped na afisa wa kirumi ndo akapata ile mimba.hah..ha.god wa Yackob,na Yesu anaitw GOD si god....acha obsessions....inaelekea kajiua mwenyewe.
Nadhani hujui maana ya kwahiyo....kwanza marcopolo imevaaengine za benzi na scania ya scania.Kazi yako ni kujitengeneza fikra na logic zako za kiwendawazimu....huku ukichagua mengine mengine ukiacha....kwahiyo brazil wamegundua marco polo mabasi?na matrekta? Eti kwakua iran wametengeneza ndege ndo inakua wamegundua? Yani wewe bado sana akili yako bado teke sana kama ndo hivyo unavyofikiri.ni vile tu naishiwa moto ningekuelesha na uelewa bila shaka.
Watuw ataua wakidhani wanamwabudu watajiua wakidhani wanamtolea dhabihu..ila wanabaki kuw amachukizo kwake...Siku zote atashida bila nguvu..Sasa hivi Nchi za Kikristu wana mafuta mengi kuliko za kiislam.Na dunia inawekeza ktk nishati mbadala kwa kazi ambayao waarabu hawakuwhai iona.Si muda atakuja mzungu kichaa na ugunduzi utakaogeuza wafadhili wa ugaidi kuwa ombaomba..dubai na qatar wakesthukia wanahamisha hela kwenda ktk uwekezaji mwingine.Bwana Mungu atabakia kuitwa Mungu. Alikuwepo, Yupo na Atakuwepo. Ni Alfa na Omega. Bwana wa Mabwana, Mfalme wa Wafalme.
wewe si unasema wabrazil wamegundua basi.Nadhani hujui maana ya kwahiyo....kwanza marcopolo imevaaengine za benzi na scania ya scania.Kazi yako ni kujitengeneza fikra na logic zako za kiwendawazimu....huku ukichagua mengine mengine ukiacha....
wewe na dini yako mnadai vipi kwa theory na vipi kwa vitendo..nyie ndezi huwa mna mistari miwili miwili..inawatosha kuwa na sura mbilimbili..maneno mengine na matendo mengine..mnasemaje eti kila copy ya mstari ina mahali pake.wayahudi wanadai yesu alikua mwanaharamu upo?.soma Talmud.
haha..chako kimekataaa...?Kwa kutumia kitabu chako hebu thibitisha kuwa kuna ufufuo baada ya kifo.
wayahudi wana kashifa,eti huyo askari wa kirumi aliitwa julius tibelius panthera.Watuw ataua wakidhani wanamwabudu watajiua wakidhani wanamtolea dhabihu..ila wanabaki kuw amachukizo kwake...Siku zote atashida bila nguvu..Sasa hivi Nchi za Kikristu wana mafuta mengi kuliko za kiislam.Na dunia inawekeza ktk nishati mbadala kwa kazi ambayao waarabu hawakuwhai iona.Si muda atakuja mzungu kichaa na ugunduzi utakaogeuza wafadhili wa ugaidi kuwa ombaomba..dubai na qatar wakesthukia wanahamisha hela kwenda ktk uwekezaji mwingine.