Pole sana kwa kujielewa..mimi ndio nilikupa challenge ,wewe ukarudisha kwangu bila hata kuongeza kitu nikakuuliza kitabu chako kimeshindwa hadi urudishe swali kwangu..naona umeamua susa na malalamiko kibao. Safari njemaHivi hapa unanihoji au tunafanya mjadala kwa kadiri ya kila mtu anavyoelewa? Maana naona kila ninachokuuliza hujibu unakuja na swali. Kama ni hivyo niseme tu inatosha. Najua utakuja na kebehi kwamba nimekimbia mjadala, na iwe hivyo lakini siwezi kufanya mjadala wa upande mmoja tu. Kila la kheri katika imani yako.
Hapana!!!!!!!!!
it is offence in israel to preach christianity.Uko wapi ushahidi?
it is offence in israel to preach christianity.
Anti missionary law.
>anyone who preach with the purpose of causing another person to change his religion is liable to three years imprisonment or a fine of NIS 50,000(£9000).
See hiyo ndo sheria iliyopitishwa mwaka 2007.
Only satanism rival judaism's visious hatred for jesus christ.the Talmud even claim that jesus is being punished in hell by being boiled in hot semen.
Interestingly enough,islam is much closer to christianity than judaism.for istance judaism condemns the virgin mary as a prostitute and viciously condemn jesus as an evil sorcerer and a bastard.the Talmud even claim jesus was a sexual pervert who had intercource relation with his donkey.
While muslim claim jesus as a messenger of God.
Yet you still support jews?.
Wake the hellup.
hakuna makanisa mengi israel kwasababu hakuna wakristo wengi huko,na hata asilimia kubwa ya wakristo ni wapalestina na wahamiaji wachache wa kiyahudi.Nimemuambia Elungata anipe ushahidi wa madai yake maana wanapenda sana kudanganyana
Kuna kundi kubwa sana la watu wanakwenda kuhiji huko kila mwaka na kule kuna makanisa mengi sana,wanataka kuwafanya wasiojua au wajing.a kama wao waamini uongo huu!
kwa ushahidi upi kwamba litabaki kuwa taifa teule?And all the people answered and said, "His blood be on us and on our children". Matth 27:25
He came to His own, and His own did not receive Him. John 1:11
Sasa unachotaka kutwambia Ni kitu gani? Au ktk hayo unafikiri kuna jipya?
Andiko halikuacha kitu! Na ninapenda ufahamu Kua ktk Israel na duniani kote, kuna wanaompinga Yesu na kukumkubali! Huo ndio ukweli!
Hizo za punda Ni kufuru za hao wapinga kristo! Lkn usifikiri Km kuna jipya ktk hayo unayosema!
Na pia unatakiwa kufahamu Kua Israel litabaki Kua taifa teule ambalo Mungu alipanga kujidhihirisha kupitia kwalo! Pamoja na kuua manabii na mitume na kuwakataa na kumkataa Yesu, litabaki taifa teule na hakuna jingine!
kwa ushahidi upi kwamba litabaki kuwa taifa teule?
haiwezekani ukachagua aya za kuendelea kutumia katika agano la kale na zingine ukaziacha.Elungata Ebu soma tena unabii Wa kukataliwa Yesu ktk kitabu cha Isaya 53:3
Kwahiyo Yesu kukataliwa na waisrael na ukristo kukataliwa hicho Ni kitu cha kawaida na maandiko yako wazi kabisa!
Kwahiyo usifikiri Km kuna jipya! Na Mimi Km mkristo nayatambua haya!
liko sawa maadamu unakubali kuwa wayahudi hadi leo wanaukataa ukristo,atleast unakubali tofauti na kina nicholas wanaokataa katakata.takwimu ziko wazi wakristo israel hawafiki hata asilimia 5 ya wakazi wote wa israel,na nimetoa relible link za kuonyesha kuwa mahubiri kule israel ni marufuku.mkirsto anakaribisgwa kutembelea tu na si kufanya mihadhara ya kidini,ndo maana hata american evangelist wa marekani kama Graham hawawezi kufanya mikutano ya crusade nchini israel.Ok ktk Hilo la waisrael kumpinga Yesu na ukristo tumeshaliweka sawa?
Km liko sawa tuhamie Hilo swali lako!
haiwezekani ukachagua aya za kuendelea kutumia katika agano la kale na zingine ukaziacha.
Isaya ni agano la kale ambalo wengine wanadai lilikua haliwezi kutumika tena baada ya yesu kufa msalabani.
Soma 1 thesalonike 2:14-16.
14-maana ninyi ndugu mlikuwa wafuasi wa MAKANISA YA MUNGU yaliyo katika UYAHUDI na katika kristo yesu,kwakuwa mlipata mateso yaleyale kwa watu wa taifa lenu wenyewe,waliyoyapata nao kwa hao WAYAHUDI.
15-ambao WALIMWUA BWANA YESU,na hao manabii na KUTUUDHI sisi wala HAWAMPENDEZI MUNGU wala HAWAPATANI NA WATU WOWOTE.
16-huku wakituzuia tusiseme na mataifa wapate kuokolewa,ili watimize dhambi zao siku zote.LAKINI HASIRA IMEWAFIKIA HATA MWISHO.
Sasa swali,kama hasira ya mungu imewafikia wanaendelea vipi kuwa taifa teule?
liko sawa maadamu unakubali kuwa wayahudi hadi leo wanaukataa ukristo,atleast unakubali tofauti na kina nicholas wanaokataa katakata.takwimu ziko wazi wakristo israel hawafiki hata asilimia 5 ya wakazi wote wa israel,na nimetoa relible link za kuonyesha kuwa mahubiri kule israel ni marufuku.mkirsto anakaribisgwa kutembelea tu na si kufanya mihadhara ya kidini,ndo maana hata american evangelist wa marekani kama Graham hawawezi kufanya mikutano ya crusade nchini israel.
naona post yako umebase kuwa dunia iko kwa miaka 6000 tu,jambo ambalo si kweli.
Ukipiga mahesabu ya umri wa akina adam,metusela,ibrahim,noah na manabii wengi,then uje upige mahesabu ya kipindi cha waflume kina saul,daud,solomon,ahaz,ahazia,rehobam etc,miaka inazidi na kupitiliza hiyo hesabu ya 6000.
Akina nani?Kwa hiyo hao jamaa wako wanne siyo?
Kama una haja ya kujua miungu iliyoko duniani ni kwamba iko zaidi ya 20Mungu Yahweh, Mungu Yesu, Mungu Roho na Mungu Allah?
Mwanzoni uliuliza kama wako wanneIla hao watatu wa mwanzo pia ni mmoja?
Umeitoa wapi hii?Na nadhani Mungu Allah aliamua kujitegemea akaona ushkaji haulipi?