Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Mungu hayupo umefurahi Sasa!
Haha chuki unatoa wapi? Ndo mlivyofundishwa kwenye dini yenu?
Watu wa dini hua mnaniacha hoi, mnasema mnafundishwa mema ila ndo wa kwanza kucharuka. Hayupo ndiyo na hakuna utakachosema awepo.
 
Coincidence tu hakuna lolote. Na story zenyewe za kutunga. Huyo mungu mlishawahi kumuona? Ni yupi kati ya miungu 4200?
Haya bhana, Mimi sisemi neno lkn ujiangaulie Sana, Mungu anakuona tu na hizo kufuru zako.
 
Kuna yule alisema ' ukiona nimekaa hapa basi ni [HASHTAG]#Mungu[/HASHTAG] amekaa hapa!
 
Ata urusi ikiw taifa kubwa walibweta kwa kufanya yoa kinyume na mungu yaliyowapaa yanajulikana
Sipingani na uwepo wa Mungu, ingawa kwangu ana tafasiri yangu ya kipekee. Ila kuhusu Urusi, kipi kilichowapata ambacho kimeletwa na Mungu? Nijuavyo ni mbinu tu za kijasusi ndizo zilizoiangusha, au ata Mungu huwatumia majasusi wa kimafia?
 
Hakika mungu ni the best, mungu hadhihakiwi.
 

Bado upo hai?
 
Alinichekesha yule aliyekuwa ana sisitiza watu wa comment hahahahhaahhaha
Hizi mada za namna hii ni ngumu kukoment kwa sababu wasio amini wanataka waonyeshwe huyo mungu kitu ambacho ni kigumu, ndo maana watu wanaingia mitini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…