Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Mungu hayupo umefurahi Sasa!
Haha chuki unatoa wapi? Ndo mlivyofundishwa kwenye dini yenu?
Watu wa dini hua mnaniacha hoi, mnasema mnafundishwa mema ila ndo wa kwanza kucharuka. Hayupo ndiyo na hakuna utakachosema awepo.
 
Coincidence tu hakuna lolote. Na story zenyewe za kutunga. Huyo mungu mlishawahi kumuona? Ni yupi kati ya miungu 4200?
Haya bhana, Mimi sisemi neno lkn ujiangaulie Sana, Mungu anakuona tu na hizo kufuru zako.
 
Ata urusi ikiw taifa kubwa walibweta kwa kufanya yoa kinyume na mungu yaliyowapaa yanajulikana
Sipingani na uwepo wa Mungu, ingawa kwangu ana tafasiri yangu ya kipekee. Ila kuhusu Urusi, kipi kilichowapata ambacho kimeletwa na Mungu? Nijuavyo ni mbinu tu za kijasusi ndizo zilizoiangusha, au ata Mungu huwatumia majasusi wa kimafia?
 
Mbona kama mnalazimisha watu wajue kuwa mungu yupo?


Kama yupo acheni kupiga kelele watu watajua wenyewe.

Mnawatisha watu kwa mawazo ya ajabu.

Hakuna kitu kinaitwa Mungu kiliumba dunia. Mungu wako wewe ni ubongo.

Usipokua na ubongo hata hilo jina mungu hutalikumbuka.

Shtuka, mungu ni mchezo wa kuwapumbaza watu wasifikirie vikubwa wabaki ndani ya box ili watawaliwe vizuri.

Mimi leo nasema hakuna kitu kinaitwa mungu nataka yanitokee hayo mabaya.

Jiongezeni acheni uvivu wa kufikiria

Bado upo hai?
 
Alinichekesha yule aliyekuwa ana sisitiza watu wa comment hahahahhaahhaha
Hizi mada za namna hii ni ngumu kukoment kwa sababu wasio amini wanataka waonyeshwe huyo mungu kitu ambacho ni kigumu, ndo maana watu wanaingia mitini
 
Back
Top Bottom