Graph
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 2,735
- 6,165
Haha chuki unatoa wapi? Ndo mlivyofundishwa kwenye dini yenu?Mungu hayupo umefurahi Sasa!
Watu wa dini hua mnaniacha hoi, mnasema mnafundishwa mema ila ndo wa kwanza kucharuka. Hayupo ndiyo na hakuna utakachosema awepo.