Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Logic ni nini?
Kwanini unadhani ni muhimu tuitumie?
Imetoka wapi?
Kwanini logic yako na mbuzi iko tofauti?
Kwanini kuna logic?
hapo ni makosa kwasababu zamani watu wakijua kila jamii na mungu wake,ndo maana haikua ajabu mtu kusema mungu wa fulani,lakini sasa watu wako aware kuwa mungu aliyepo ni mmoja tu na ndo alimuumba clinton,akamuumba asad ama putin so haimake sense kusema eti,mimi namuabudu mungu wa yerico kana kwamba huyo mungu huyo yerico ndo alimfanya awepo.Bado hujanijibu ndugu yng! Kwa mfano ukisema atukuzwe Mungu Wa Eliya! Au atukuzwe Mungu Wa Shadrack, Meshack na Abednego! Hapo kuna Maana gani?
mungu wa yakobo na isaka is a fool and a murderous crazy pagan god.
hapo ni makosa kwasababu zamani watu wakijua kila jamii na mungu wake,ndo maana haikua ajabu mtu kusema mungu wa fulani,lakini sasa watu wako aware kuwa mungu aliyepo ni mmoja tu na ndo alimuumba clinton,akamuumba asad ama putin so haimake sense kusema eti,mimi namuabudu mungu wa yerico kana kwamba huyo mungu huyo yerico ndo alimfanya awepo.
No wonder kuna watu wanafikia kuabudu watu kama TB JOSHUA na kuwafanya kuwa wako exception kuliko wanadamu wengine.kwanini useme mungu wa isaka na yakobo wakati hao jamaa walikuwa wanakwenda kinyume na maagizo ya mungu.
Then mtu anakuja kusema eti mungu wa isaka na yakobo wakati hao jamaa walifanya maovu mengi.
hizo simulizi za eliya hazionyeshi wazi ni wapi eliya alimuabudu mungu,sanasana tunasoma ustadi wa eliya wa kuomba moto ushuke na kuteketeza watu wasio na hatia.mfano kulikua na haja gani elia kuua watu zaidi ya 200 waliotumwa na mfalme kumwambia tu kwamba eliya anaitwa kwa mfalme?.then muuaji kama huyu elia eti ndo tena anageuka kuwa mtu wa mungu.Mkuu iko hivi, mtu akisema atukuzwe Mungu Wa Eliya Maana yake Ni kwamba atukuzwe Mungu Yule ambae Eliya alikua akimuamini!
Kwa mfano nyakati za Mfale Ahabu watu walikua wakiabudu Baal Km Mungu! Eliya akawapa mtihani wakatengeneza sehemu mbili za kuteketezea sadaka! Na akawambia wale watu wamuombe Huyo Mungu wao Baal aje aiteketeze ile sadaka! Wakafanya kila aina ya sale na kuruka ruka na kulia lkn Yule Baal hakujibu kitu na wala hakuiteketeza ile sadaka!
Ikafika zamu ya Eliya! Akawambia wamwagie Maji zile kuni na ile sadaka mara 3 pakalowa chepechepe! Lkn Eliya alivyoomba Mungu wake basi moto ukashika na kuteketeza kila kitu! Na wale watu walimzunguka na kusujudu na kusema kwamba atukuzwe Mungu Wa Eliya!
hakuna mungu wa isaka wala yakobo,kuna mungu wa wanadamu wote.
hizo simulizi za eliya hazionyeshi wazi ni wapi eliya alimuabudu mungu,sanasana tunasoma ustadi wa eliya wa kuomba moto ushuke na kuteketeza watu wasio na hatia.mfano kulikua na haja gani elia kuua watu zaidi ya 200 waliotumwa na mfalme kumwambia tu kwamba eliya anaitwa kwa mfalme?.then muuaji kama huyu elia eti ndo tena anageuka kuwa mtu wa mungu.
Rafiki yake na eliya,yaani elisha nae was a murder.
Sikumoja elisha anatembea akawapita watoto wadogo wanacheza,sijui alikua na upara,watoto wakaanza kumcheka,duh!!elisha akawalaani na kuwaapiza punde akatokea dubu akawararua wote na kuua watoto karibu 50,huyu nae elisha alikua na mungu wake?
Kama huna uwezo wa kujiuliza hufai kuishi..unatujazia dunia.. mambo yote inabidi yahojiwe uwepo na sababu hasa uwepo wake..na uthibitisho.. na miaka yote maendeleo yamekuja kwa kuhoji vitu..kwa kutumia akili tulizo nazo..
sasa wewe unashindwa kuja sababu za kuwepo kwa mungu..na uthibitisho wa uwepo wake.. unashindwa kuwaza unakua mvivu.. nazani umeshakaririshwa DOGMA unaogopa kuhoji.. bila kuhoji vitu maendeleo yote yasingekuwepo.. unazani imani tu bila logic ina mchango kisayansi na kimaendeleo..
mkuu naishiwa charge so naeza toweka anytime.Nilichotaka Mkuu, uelewe Maana ya mtu akisema Mungu Wa Eliya au Wa Israel anakua anamaanisha nini! Maana hapo nyuma ulisema kila mmoja alikua na Mungu wake kitu ambacho sio kweli! Mungu Ni mmoja tu na alijidhirisha Mara nyingi tu kupitia watumishi wake dhidi ya miungu bandia!
You are the next if i am not mistaken.Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..
pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
Haya masuala ya kuhoji ni nani anahitajika aulizwe maana hapa mimi nimekuhoji wewe halafu hutaki kunipa majibu na badala yake unaleta maneno yasiyoeleweka
Jibu nilichokuuliza!
mkuu naishiwa charge so naeza toweka anytime.
Haya rejea amri ya,usiwe na Miungu mingine ila mimi..hiyo ni kwamjibu wa bible tena akasema yeye ni mungu mwenye wivu na akawataka wamuabudu yeye tu na sio miungu wengime.
Pia rejea zaburi 82:1-6.
Inaonyesha Mungu yuko kwenye mkutano na miungu wengine...ndo maana nikauliza ,ina maana enzi hizo walikuwepo miungu wengi?
Umeuliza logic..basi ni proper/reasonable way of thinking..
sasa naomba uje na ufafanuzi mzuri kuhusu huyu bwana mungu wako kwa logic kama nilivoeleza hapo juu
Umeishia kujibu moja tuLogic ni nini?
Kwanini unadhani ni muhimu tuitumie?
Imetoka wapi?
Kwanini logic yako na mbuzi iko tofauti?
Kwanini kuna logic?
You are the next if i am not mistaken.
Mungu bwana, Anampambanisha Shetani na mwanadamu a.k.a Kiumbe dhaifu ilihali anaujua uwezo wa shetani kiutendaji ni sawa na yeye tu.......