Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

kwenye hii thread al-jin kahtaan naona bado hajafika
 
Last edited by a moderator:
Logic ni nini?
Kwanini unadhani ni muhimu tuitumie?
Imetoka wapi?
Kwanini logic yako na mbuzi iko tofauti?
Kwanini kuna logic?

Kama huna uwezo wa kujiuliza hufai kuishi..unatujazia dunia.. mambo yote inabidi yahojiwe uwepo na sababu hasa uwepo wake..na uthibitisho.. na miaka yote maendeleo yamekuja kwa kuhoji vitu..kwa kutumia akili tulizo nazo..
sasa wewe unashindwa kuja sababu za kuwepo kwa mungu..na uthibitisho wa uwepo wake.. unashindwa kuwaza unakua mvivu.. nazani umeshakaririshwa DOGMA unaogopa kuhoji.. bila kuhoji vitu maendeleo yote yasingekuwepo.. unazani imani tu bila logic ina mchango kisayansi na kimaendeleo..
 
Bado hujanijibu ndugu yng! Kwa mfano ukisema atukuzwe Mungu Wa Eliya! Au atukuzwe Mungu Wa Shadrack, Meshack na Abednego! Hapo kuna Maana gani?
hapo ni makosa kwasababu zamani watu wakijua kila jamii na mungu wake,ndo maana haikua ajabu mtu kusema mungu wa fulani,lakini sasa watu wako aware kuwa mungu aliyepo ni mmoja tu na ndo alimuumba clinton,akamuumba asad ama putin so haimake sense kusema eti,mimi namuabudu mungu wa yerico kana kwamba huyo mungu huyo yerico ndo alimfanya awepo.

No wonder kuna watu wanafikia kuabudu watu kama TB JOSHUA na kuwafanya kuwa wako exception kuliko wanadamu wengine.kwanini useme mungu wa isaka na yakobo wakati hao jamaa walikuwa wanakwenda kinyume na maagizo ya mungu.
Then mtu anakuja kusema eti mungu wa isaka na yakobo wakati hao jamaa walifanya maovu mengi.
 
mungu wa yakobo na isaka is a fool and a murderous crazy pagan god.

Elungata;
Pole nyingi sana kwako. Nataka nitumie maaneno alio yasema mtu mmoja mkuu sana katika biblia, mtu huyu akiitwa Agripa Mtukufu. Maneno yenyewe yapo katika kitabu kile cha matendo ya mitume 26 : 28.Agripa akamwambia Paulo, Kwa maneno machache wadhani kunifanya mimi kuwa Mkristo? Na mimi naomba nikuulize swali la kizushi tu; Kwa kiburi chako hicho cha kitoto tu wadhani waweza kumkasirisha Mungu?
Kama unaweza, nivumilie kidogo tu usome maneno yangu. Nilikuwa mahali fulani nikisikiliza Neno la Mungu; akapita mtu mmoja akaanza kukashifu yale maneno, alikuwa amesimama na baiskeli yake, ameikalia na mguu mmoja upo chini, weye wajua mtu anavyokalia baiskeli, yule mhubiri akamwambia kama unataka kukutana na huyu Yesu ninaye eleza maneno yake sema: YESU mara 3. Yule bwana kwa dhihaka zake akasema. Sasa hapa sio kwamba nakutisha, alipomaliza ile ya 3 tu nguvu flani zikamrusha juu na baiskeli yake, kama futi 5 juu, akaanguka chini, kichwa kikiwa kimetangulia. Akazirai. Baada ya kuamka alikimbia kuliko hata baiskeli. Bro; acha kechokoza usiye mwona. Ita hilo jina la YESU mara 7 hapo ulipo uone ishara. Nasema hivyo kwa jina lipitalo majina yoote. Yesu Kristo. Amen.
 
Mkuu iko hivi, mtu akisema atukuzwe Mungu Wa Eliya Maana yake Ni kwamba atukuzwe Mungu Yule ambae Eliya alikua akimuamini!

Kwa mfano nyakati za Mfale Ahabu watu walikua wakiabudu Baal Km Mungu! Eliya akawapa mtihani wakatengeneza sehemu mbili za kuteketezea sadaka! Na akawambia wale watu wamuombe Huyo Mungu wao Baal aje aiteketeze ile sadaka! Wakafanya kila aina ya sale na kuruka ruka na kulia lkn Yule Baal hakujibu kitu na wala hakuiteketeza ile sadaka!

Ikafika zamu ya Eliya! Akawambia wamwagie Maji zile kuni na ile sadaka mara 3 pakalowa chepechepe! Lkn Eliya alivyoomba Mungu wake basi moto ukashika na kuteketeza kila kitu! Na wale watu walimzunguka na kusujudu na kusema kwamba atukuzwe Mungu Wa Eliya!

hapo ni makosa kwasababu zamani watu wakijua kila jamii na mungu wake,ndo maana haikua ajabu mtu kusema mungu wa fulani,lakini sasa watu wako aware kuwa mungu aliyepo ni mmoja tu na ndo alimuumba clinton,akamuumba asad ama putin so haimake sense kusema eti,mimi namuabudu mungu wa yerico kana kwamba huyo mungu huyo yerico ndo alimfanya awepo.

No wonder kuna watu wanafikia kuabudu watu kama TB JOSHUA na kuwafanya kuwa wako exception kuliko wanadamu wengine.kwanini useme mungu wa isaka na yakobo wakati hao jamaa walikuwa wanakwenda kinyume na maagizo ya mungu.
Then mtu anakuja kusema eti mungu wa isaka na yakobo wakati hao jamaa walifanya maovu mengi.
 
Mkuu iko hivi, mtu akisema atukuzwe Mungu Wa Eliya Maana yake Ni kwamba atukuzwe Mungu Yule ambae Eliya alikua akimuamini!

Kwa mfano nyakati za Mfale Ahabu watu walikua wakiabudu Baal Km Mungu! Eliya akawapa mtihani wakatengeneza sehemu mbili za kuteketezea sadaka! Na akawambia wale watu wamuombe Huyo Mungu wao Baal aje aiteketeze ile sadaka! Wakafanya kila aina ya sale na kuruka ruka na kulia lkn Yule Baal hakujibu kitu na wala hakuiteketeza ile sadaka!

Ikafika zamu ya Eliya! Akawambia wamwagie Maji zile kuni na ile sadaka mara 3 pakalowa chepechepe! Lkn Eliya alivyoomba Mungu wake basi moto ukashika na kuteketeza kila kitu! Na wale watu walimzunguka na kusujudu na kusema kwamba atukuzwe Mungu Wa Eliya!
hizo simulizi za eliya hazionyeshi wazi ni wapi eliya alimuabudu mungu,sanasana tunasoma ustadi wa eliya wa kuomba moto ushuke na kuteketeza watu wasio na hatia.mfano kulikua na haja gani elia kuua watu zaidi ya 200 waliotumwa na mfalme kumwambia tu kwamba eliya anaitwa kwa mfalme?.then muuaji kama huyu elia eti ndo tena anageuka kuwa mtu wa mungu.

Rafiki yake na eliya,yaani elisha nae was a murder.
Sikumoja elisha anatembea akawapita watoto wadogo wanacheza,sijui alikua na upara,watoto wakaanza kumcheka,duh!!elisha akawalaani na kuwaapiza punde akatokea dubu akawararua wote na kuua watoto karibu 50,huyu nae elisha alikua na mungu wake?
 
Nilichotaka Mkuu, uelewe Maana ya mtu akisema Mungu Wa Eliya au Wa Israel anakua anamaanisha nini! Maana hapo nyuma ulisema kila mmoja alikua na Mungu wake kitu ambacho sio kweli! Mungu Ni mmoja tu na alijidhirisha Mara nyingi tu kupitia watumishi wake dhidi ya miungu bandia!
 
Kama huna uwezo wa kujiuliza hufai kuishi..unatujazia dunia.. mambo yote inabidi yahojiwe uwepo na sababu hasa uwepo wake..na uthibitisho.. na miaka yote maendeleo yamekuja kwa kuhoji vitu..kwa kutumia akili tulizo nazo..
sasa wewe unashindwa kuja sababu za kuwepo kwa mungu..na uthibitisho wa uwepo wake.. unashindwa kuwaza unakua mvivu.. nazani umeshakaririshwa DOGMA unaogopa kuhoji.. bila kuhoji vitu maendeleo yote yasingekuwepo.. unazani imani tu bila logic ina mchango kisayansi na kimaendeleo..

Haya masuala ya kuhoji ni nani anahitajika aulizwe maana hapa mimi nimekuhoji wewe halafu hutaki kunipa majibu na badala yake unaleta maneno yasiyoeleweka

Jibu nilichokuuliza!
 
Nilichotaka Mkuu, uelewe Maana ya mtu akisema Mungu Wa Eliya au Wa Israel anakua anamaanisha nini! Maana hapo nyuma ulisema kila mmoja alikua na Mungu wake kitu ambacho sio kweli! Mungu Ni mmoja tu na alijidhirisha Mara nyingi tu kupitia watumishi wake dhidi ya miungu bandia!
mkuu naishiwa charge so naeza toweka anytime.

Haya rejea amri ya,usiwe na Miungu mingine ila mimi..hiyo ni kwamjibu wa bible tena akasema yeye ni mungu mwenye wivu na akawataka wamuabudu yeye tu na sio miungu wengime.
Pia rejea zaburi 82:1-6.
Inaonyesha Mungu yuko kwenye mkutano na miungu wengine...ndo maana nikauliza ,ina maana enzi hizo walikuwepo miungu wengi?
 
Na hao miungu bandia waliwezaje kuhudhuru mkutano na huyo mungu kwa mjibu wa zaburi 82,kama kweli walikua bandia?
 
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..
pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
You are the next if i am not mistaken.
 
Haya masuala ya kuhoji ni nani anahitajika aulizwe maana hapa mimi nimekuhoji wewe halafu hutaki kunipa majibu na badala yake unaleta maneno yasiyoeleweka

Jibu nilichokuuliza!

Umeuliza logic..basi ni proper/reasonable way of thinking..
sasa naomba uje na ufafanuzi mzuri kuhusu huyu bwana mungu wako kwa logic kama nilivoeleza hapo juu
 
mkuu naishiwa charge so naeza toweka anytime.

Haya rejea amri ya,usiwe na Miungu mingine ila mimi..hiyo ni kwamjibu wa bible tena akasema yeye ni mungu mwenye wivu na akawataka wamuabudu yeye tu na sio miungu wengime.
Pia rejea zaburi 82:1-6.
Inaonyesha Mungu yuko kwenye mkutano na miungu wengine...ndo maana nikauliza ,ina maana enzi hizo walikuwepo miungu wengi?

Usijali Mkuu ukipata chaji tunaweza kuendelea!

Tunakumbuka ktk hicho kitabu cha kutoka Mungu anawaambia wana waisrael wasiwe na miungu mingine kutokana na maisha Yao kule utumwani Misri! Kule Misri mfalmeFarao na wamisri walikua na ibada zao na miungu Yao na ndo Maana walipokua njiani Mungu anawaelekeza Kua wasiwe na miungu mingine na hii inatokana na kwamba baadhi ya wana Wa Israel walikua wakitamani mambo ya kule Misri!

Kwahiyo Mungu hapo alikua anakusidia kuabudiwa yeye na Si miungu Sanamu au Ng'ombe etc Km ilivyokua kule Misri!

Na sasa Ktk Ufunuo 14:7 Mungu anasema tumche yeye alieumba mbingu na nchi na chemichemi!
 
Umeuliza logic..basi ni proper/reasonable way of thinking..
sasa naomba uje na ufafanuzi mzuri kuhusu huyu bwana mungu wako kwa logic kama nilivoeleza hapo juu

Sikuuliza swali noja tu
Mengine haya hapa chini!

Logic ni nini?
Kwanini unadhani ni muhimu tuitumie?
Imetoka wapi?
Kwanini logic yako na mbuzi iko tofauti?
Kwanini kuna logic?
Umeishia kujibu moja tu
Jibu na mengine!
 
Wote tutakufa kwa hiyo suala zima ni irrelevant.

Ingekuwa kuna watu hawafi kwa sababu hawamkufuru mungu then mtoa mada angekuwa na point.

Like John Maynard Keynes said, in the long run we are all dead.
 
Niliwahi kusikia mwanamziki aliyesema yeye ni maarufu kuliko Yesu washabiki wake wakaanza kumshambulia kwa chupa za
maji na vitu mbalimbali walivyokuwa navyo mikononi.ila jina lake silikumbuki
 
Mungu bwana, Anampambanisha Shetani na mwanadamu a.k.a Kiumbe dhaifu ilihali anaujua uwezo wa shetani kiutendaji ni sawa na yeye tu.......

Acha Uzembe, nani kakudanganya utendaji wa Mungu ni sawa na wa shetani? Wewe Freemason nini?????
 
Back
Top Bottom