Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

if m not mistaken john lennon alisema yesu akirudi atashangaa mana amekuwa maarufu zaid yake

Sio wasanii wa kundi la Beetles ndo walisema kundi Lao ni Maarufu kuliko Mungu
 
Mkuu Eiyer ..Umenijibu Mungu ni Mmoja..

1.Mungu Yesu..
2.Mungu Baba
3.Mungu Roho mtakatifu

Hawa si Watatu??

Mungu Yesu alibatizwa..Nini maana ya ubatizo?

Mungu Yesu Alikuwa akimuomba nani kifo kimuepuke?

Kabla sijakujibu maswali yako haya naomba tuelewane kwenye suala mja kwanza

Je unaamini Mungu anaweza yote au huamini?

Ukinijibu nitakuja kukujibu maswali yako!
 
wewe na dini yako mnadai vipi kwa theory na vipi kwa vitendo..nyie ndezi huwa mna mistari miwili miwili..inawatosha kuwa na sura mbilimbili..maneno mengine na matendo mengine..mnasemaje eti kila copy ya mstari ina mahali pake.
nachoamini mi ni freestyle,i think outside the box sometimes.hebu jiulize,kama hizo tuhuma ni uongo,kwanini wayahudi mpaka leo hawamtambui yesu?.

Kwanini ukiristo ni marufuku kuhubiriwa israel na wakikumata ipo adhabu ya jela?
 
nachoamini mi ni freestyle,i think outside the box sometimes.hebu jiulize,kama hizo tuhuma ni uongo,kwanini wayahudi mpaka leo hawamtambui yesu?.
Yesu kutokutambuliwa na Wayahudi inajulikana hata wakati wa Yesu mwenyewe

Na alisema hilo mara nyingi
Kwanini ukiristo ni marufuku kuhubiriwa israel na wakikumata ipo adhabu ya jela?
Leta ushahidi wa hili!
 
wewe si unasema wabrazil wamegundua basi. Ok soma link hiyo.
wapi nimesema wamegundua hayo unayosema na si yale uliyoyaacha?nilikuvutia pumzi ili nihakikishe km umbea ni masiha yako ukina ukimya tuu unajua upo sahihi..
 
wayahudi wana kashifa,eti huyo askari wa kirumi aliitwa julius tibelius panthera. Joseph alikua kasafiri ile anarudi akamkuta mchumba wake mary ako mjamzito,pakatokea ugomvi joseph akimtuhumu kuwa amekua unfaithfull. Sasa sijui nani anasema kweli hapa,agano la jipya ama kitabu cha talmud.
Kufuru ni sehemu ya maisha yako mwehu wewe usiye na hakika na hata jinsia yako.Unachiandika nania hajui kuwa ni hasira na kukata tamaa .huna cha maana ktk huu mjadala..jiue km misukule na makafara mengine ya allah na majinn....juzi tuu tumempiga maombi mwenze ,makitu yale yalimpanda ...akanza chukua kisu kutafuta damu,huku meno yamemtoka km vampire...tukamshinda leo kamrudia Yesu..mwingine sheikh akamletea damu yang`ombe.Hizo ndizo siri zenu n amaisha yenu. Labda tuu nikuuambie kitu kasome vyema ..scandle la Aisha ktk Hadith..aisha aliliwa kabila,jizee kwa wivu linaua soo na kushusha ayati..ila ilikue scandle kubwa ktk jamii...
 
Yesu kutokutambuliwa na Wayahudi inajulikana hata wakati wa Yesu mwenyewe

Na alisema hilo mara nyingi

Leta ushahidi wa hili!
sasa kwanini hawafi kama wanamkashifu yesu mnaedai ni mungu?.

Ushahidi coming soon
 
nachoamini mi ni freestyle,i think outside the box sometimes.hebu jiulize,kama hizo tuhuma ni uongo,kwanini wayahudi mpaka leo hawamtambui yesu?. Kwanini ukiristo ni marufuku kuhubiriwa israel na wakikumata ipo adhabu ya jela?
Feesttyle ndio nini?hata mbwa hawana free style..hata samaki na hata ndege wanaotoka australia na kwenda zaa south africa hanaa style isiyo na kesho wala jana,wala life isiyo na destine..hat wale nyumbu wa serengeti wana patterns zianzojulikana na kufanyiwa utafiti kwa uzao wao kwa karne nyingi sana. usiatuambie hata hapa huji unataka achieve nini?..what a shame..unapotezea watu muda hapa..kumbe ni hopeless.....
 
Yesu kutokutambuliwa na Wayahudi inajulikana hata wakati wa Yesu mwenyewe

Na alisema hilo mara nyingi

Leta ushahidi wa hili!
kama ushahidi hautoshi sema,kuna source kama elfu moja juu ya suala hiri.ni marufuku kuhubiri injili nchini israel.
 
Back
Top Bottom