Watu walioratibu na kutekeleza mashambulizi kama haya ili kuuwa wengine, wangalipo wakiwa huru na bila shaka wakilipwa kwa kodi zetu:
Wanamtumikia au walikuwa wakimtumikia nani manyang'au hawa?
Kwamba maisha yanaendelea na mabazazi hao wangalipo mitaani wao pamoja na wawezeshaji wao? Kwa hakika ni kwenye zile nchi pendwa kama alivyoziita bwana Donald Trump peke yake.
Haya hayawezi kutokea kokote ambako utawala wa sheria au wa kidemokrasia una tamalaki.
Kwamba hao ndiyo wazalendo na kina Mh. Mbowe ni gaidi?!
Hivi ni kwa kutuona je?
Mambo kama haya ndiyo yanawafanya watu kama huyu kuonekana mashujaa kweri kweri:
Ama kwa hakika kumlaumu Col. Mamady Doumbouya ni sawa na kumlaumu dobi kaniki kutokutakata.