Watu walioratibu na kutekeleza kumpiga Risasi Tundu Lissu, ni Waovu kuliko hata Shetani Mwenyewe

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Watu walioratibu na kutekeleza mashambulizi kama haya ili kuuwa wengine, wangalipo wakiwa huru na bila shaka wakilipwa kwa kodi zetu:

Wanamtumikia au walikuwa wakimtumikia nani manyang'au hawa?

Kwamba maisha yanaendelea na mabazazi hao wangalipo mitaani wao pamoja na wawezeshaji wao? Kwa hakika ni kwenye zile nchi pendwa kama alivyoziita bwana Donald Trump peke yake.

Haya hayawezi kutokea kokote ambako utawala wa sheria au wa kidemokrasia una tamalaki.

Kwamba hao ndiyo wazalendo na kina Mh. Mbowe ni gaidi?!

Hivi ni kwa kutuona je?

Mambo kama haya ndiyo yanawafanya watu kama huyu kuonekana mashujaa kweri kweri:

IMG_20210908_150340_548.jpg

Ama kwa hakika kumlaumu Col. Mamady Doumbouya ni sawa na kumlaumu dobi kaniki kutokutakata.
 
Watu walioratibu na kutekeleza mashambulizi kama haya ili kuuwa wengine, wangalipo wakiwa huru na bila shaka wakilipwa kwa kodi zetu:

Wanamtumikia au walikuwa wakimtumikia nani manyang'au hawa?

Kwamba maisha yanaendelea na mabazazi hao wangalipo mitaani wao pamoja na wawezeshaji wao? Kwa hakika ni kwenye zile nchi pendwa kama alivyo ziita bwana Donald Trump peke yake.

Hayawezi kuwapo kokote ambako utawala wa sheria au wa kidemokrasia una tamalaki.

Kwamba hao ndiyo wazalendo na kina Mh. Mbowe ni magaidi?!

Hivi ni kwa kutuona je?

Mambo kama haya ndiyo yanawafanya watu kama huyu kuonekana mashujaa kweri kweri:

View attachment 1931053

Ama kwa hakika kumlaumu Col. Mamady Doumbouya ni sawa na kumlaumu dobi kaniki kutokutakata.

Mkuu Mungu ni waajabu sana alietaka kumfuta Lissu kafutika yye tumemzika na tushamsahau
 
Wanadamu wana roho zao buana

Usishanga hapa jf kuna wauaji wengi tuu ila wanaua watu wasio maarufu na wengine wanaua kwa siri na taratibu

Tundu aje aliamshe hili jambo, mashuhuda na ushahidi uwekwe mezani tujue mbivu mbichi
 
Wakati tunamsubiri Tundu Lissu kuja kuliamsha hili jambo, Sirro ataendelea kuwa ofisini akilipwa mshahara?
 
Huyu daktari msabato bingwa wa MAGONJWA YA DHARURA NA NUSU KAPUTI(Emergency Medicine & Anaesthesia)....

Ni aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya afya Dr.Ulisubsya Mpoki Mwasumba (MMED) ambaye ALIVUA SUTI YAKE na kujitosa kwa haraka kule THEATRE(chumba Cha upasuaji)....yeye na wazalendo wengine waliyapigania maisha ya mh.Tundu Lissu ambaye alikuwa amepoteza 2/3 ya DAMU YAKE kupelekea hatari kubwa sana kimwili.........

Isingekuwa BARAKA ZA MWENYEZI MUNGU na jitihada kubwa mno za Wataalamu hao basi safari ya kwenda NAIROBI "ISINGEWEZEKANA"..........

Eee Mwenyezi Mungu umbariki mtumishi wako Dr.Mpoki na wenzake wale ,aaamin aaamin aaamin🙏

YETZER-HA-TOV
 
Kwanini asilipwe ilihali hana makosa🤗

Tundu ndio anatukwamisha..... aje kila kitu kikae sehemu yake maana tulishaambiwa hakuna police wa Tanzania anaweza fanya kile kitendo akabaki salama kazini

Sirro nae ni askari
 
Pamoja na kumpongeza Dr. Ulisubisya Mpoki Mwasumbi kwa yote aliyoyafanya kinyume cha matakwa ya waliokuwa wamepanga mazishi ndani ya masaa 3 baada ya Lissu kufa, hatuna hata maneno yoyote ya kuwafaa wauwaji baradhuli hao na mabwana zao waliokuwa wamewatuma?
 
Hayo "masaa 3" usemayo umeyapata kwa nani zaidi ya mh.Tundu Lissu ?!!!!!!

Mh.Tundu Lissu ni "victim" na MWANASIASA.....lolote anaweza kuongea tu ....lolote tu.....hata lisilo na USHAHIDI.......

I don't want to dwell into matters that are being reinforced by just mere and personal accusations without vivid proofs......
 
Kwanini asilipwe ilihali hana makosa🤗

Tundu ndio anatukwamisha..... aje kila kitu kikae sehemu yake maana tulishaambiwa hakuna police wa Tanzania anaweza fanya kile kitendo akabaki salama kazini

Sirro nae ni askari

Nikadhani Sirro analipwa kwa kutulinda sisi na mali zetu?

Kwa kushindwa kuwajua waliopanga na kutekeleza ugaidi huu, hali akambaini Hamza kuwa alikuwa ni gaidi kirahisi tu wewe waiona iko sawa?

Huoni tulipo Sirro ni kwamba ametwambia mwenyewe kuwa hatusaidii na kimsingi hafai?
 
Unataka atoe majibu ya upelezi wa upande mmoja?

Hukuona Tundu alikuja kwa kampeni akaachwa afanye kampeni halafu akaondoka kabla ya siku ya kesi zake na hajarudi??
 
Hayo "masaa 3" usemayo umeyapata kwa nani zaidi ya mh.Tundu Lissu ?!!!!!!

Mh.Tundu Lissu ni "victim" na MWANASIASA.....lolote anaweza kuongea tu ....lolote tu.....hata lisilo na USHAHIDI.......

I don't want to dwell into matters that is being reinforced by just mere and personal accusations without vivid proofs......

I believed you were asked if possible to dwell onto a matter of actual sustance:

"... hatuna hata maneno yoyote ya kuwafaa wauwaji baradhuli hao na mabwana zao waliokuwa wamewatuma?"

Where do you fish that you're asked of anything that you could in any way qualify it as:

"..matters that is being reinforced by just mere and personal accusations without vivid proofs......"

Au yale yale ya kuruka ruka kama bisi?
 
Wanasema, "usoni kama watu."

Au nasema uongo ndugu zangu?
Umeshakuwa na "negativity" mimi niseme lipi tena ?!!!

Kuna ugonjwa wa kisaikolojia unaitwa OBSESSIVE COMPULSIVE DISORDER....Wataalamu wanatuambia kuwa mwenye nao huwa HABADILISHI MSIMAMO WA MAWAZO YAKE......

Karibu urojo na supu ya pweza bwashee......
 
Back
Top Bottom