Watu walioratibu na kutekeleza mashambulizi kama haya ili kuuwa wengine, wangalipo wakiwa huru na bila shaka wakilipwa kwa kodi zetu:
Your browser is not able to display this video.
Wanamtumikia au walikuwa wakimtumikia nani manyang'au hawa?
Kwamba maisha yanaendelea na mabazazi hao wangalipo mitaani wao pamoja na wawezeshaji wao? Kwa hakika ni kwenye zile nchi pendwa kama alivyoziita bwana Donald Trump peke yake.
Haya hayawezi kutokea kokote ambako utawala wa sheria au wa kidemokrasia una tamalaki.
Kwamba hao ndiyo wazalendo na kina Mh. Mbowe ni gaidi?!
Hivi ni kwa kutuona je?
Mambo kama haya ndiyo yanawafanya watu kama huyu kuonekana mashujaa kweri kweri:
Ama kwa hakika kumlaumu Col. Mamady Doumbouya ni sawa na kumlaumu dobi kaniki kutokutakata.
Watu walioratibu na kutekeleza mashambulizi kama haya ili kuuwa wengine, wangalipo wakiwa huru na bila shaka wakilipwa kwa kodi zetu:
Wanamtumikia au walikuwa wakimtumikia nani manyang'au hawa?
Kwamba maisha yanaendelea na mabazazi hao wangalipo mitaani wao pamoja na wawezeshaji wao? Kwa hakika ni kwenye zile nchi pendwa kama alivyo ziita bwana Donald Trump peke yake.
Hayawezi kuwapo kokote ambako utawala wa sheria au wa kidemokrasia una tamalaki.
Kwamba hao ndiyo wazalendo na kina Mh. Mbowe ni magaidi?!
Hivi ni kwa kutuona je?
Mambo kama haya ndiyo yanawafanya watu kama huyu kuonekana mashujaa kweri kweri:
Huyu daktari msabato bingwa wa MAGONJWA YA DHARURA NA NUSU KAPUTI(Emergency Medicine & Anaesthesia)....
Ni aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya afya Dr.Ulisubsya Mpoki Mwasumba (MMED) ambaye ALIVUA SUTI YAKE na kujitosa kwa haraka kule THEATRE(chumba Cha upasuaji)....yeye na wazalendo wengine waliyapigania maisha ya mh.Tundu Lissu ambaye alikuwa amepoteza 2/3 ya DAMU YAKE kupelekea hatari kubwa sana kimwili.........
Isingekuwa BARAKA ZA MWENYEZI MUNGU na jitihada kubwa mno za Wataalamu hao basi safari ya kwenda NAIROBI "ISINGEWEZEKANA"..........
Eee Mwenyezi Mungu umbariki mtumishi wako Dr.Mpoki na wenzake wale ,aaamin aaamin aaamin🙏
Tundu ndio anatukwamisha..... aje kila kitu kikae sehemu yake maana tulishaambiwa hakuna police wa Tanzania anaweza fanya kile kitendo akabaki salama kazini

Pamoja na kumpongeza Dr. Ulisubisya Mpoki Mwasumbi kwa yote aliyoyafanya kinyume cha matakwa ya waliokuwa wamepanga mazishi ndani ya masaa 3 baada ya Lissu kufa, hatuna hata maneno yoyote ya kuwafaa wauwaji baradhuli hao na mabwana zao waliokuwa wamewatuma?

I believed you were asked if possible to dwell onto a matter of actual sustance:
"... hatuna hata maneno yoyote ya kuwafaa wauwaji baradhuli hao na mabwana zao waliokuwa wamewatuma?"
Where do you fish that you're asked of anything that you could in any way qualify it as:
"..matters that is being reinforced by just mere and personal accusations without vivid proofs......"
Umeshakuwa na "negativity" mimi niseme lipi tena ?!!!
Kuna ugonjwa wa kisaikolojia unaitwa OBSESSIVE COMPULSIVE DISORDER....Wataalamu wanatuambia kuwa mwenye nao huwa HABADILISHI MSIMAMO WA MAWAZO YAKE......