Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
- Thread starter
- #21
😆😆😆Huyu Papito Mbala nilivyokua mdogo till now hasa kwenye nyimbo za WENGE BCBG nilikua najua anatamkwa PAPII TOMBANA!
😆😆😆Huyu Papito Mbala nilivyokua mdogo till now hasa kwenye nyimbo za WENGE BCBG nilikua najua anatamkwa PAPII TOMBANA!
Jose KongoloHamed Bakayoko, Bebe Ramazani, Jean François Ndenge, Jean-Dominique Okemba, Saki Sharufa, Pepe Akunji, Costa Omari, Didier Drogba, Manu Luvaka, Adam Bombole, Jean Marie Mulato, Samuel Etoo, Didier Kinwani, Kayembe Chezntemba, Loulou Iyolo, Adolphe Mwinda, Tumba Masikini, Patrick Bolognia, Papito Mbala, Mukubwa Shabani.
Jose Kongolo FBIJose Kongolo
Bila kumusahau papaa Green Rajab mutu ya kuwamwagilizia mbegu wake za watuCongo (zote mbili Kinshasa na Brazzaville) kumekuwa na utamaduni wa miaka mkngi kwa wanamuziki kupata support kutoka wahisani mbalimbali hasa wanabiashara wakubwa wanasiasa mashuhuri na watu wengine mbalimbali mashuhuri waliopo ndani na nje ya nchi hizo.
Watu hawa wamekuwa wakisupport bendi kwa michango yao ambayo aghalabu imekuwa ni fedha taslimu ambayo inatajwa kuanzia kima cha chini cha $1000.
Nipo hapa nakuletea majina ya baadhi ya watu ambao majina yao yamekuwa yakisikika mara kwa mara na kwa miaka mingi kwenye nyimbo za wanamuziki wa kongo zote mbili, Kinshasa na Brazzaville.
Hamed Bakayoko, Bebe Ramazani, Jean François Ndenge, Jean-Dominique Okemba, Saki Sharufa, Pepe Akunji, Costa Omari, Didier Drogba, Manu Luvaka, Adam Bombole, Jean Marie Mulato, Samuel Etoo, Didier Kinwani, Kayembe Chezntemba, Loulou Iyolo, Adolphe Mwinda, Tumba Masikini, Patrick Bolognia, Papito Mbala, Mukubwa Shabani.
Waweza kuongezea....
Karibu
Ndama Mutoto ya Ng'ombe!Congo (zote mbili Kinshasa na Brazzaville) kumekuwa na utamaduni wa miaka mkngi kwa wanamuziki kupata support kutoka wahisani mbalimbali hasa wanabiashara wakubwa wanasiasa mashuhuri na watu wengine mbalimbali mashuhuri waliopo ndani na nje ya nchi hizo.
Watu hawa wamekuwa wakisupport bendi kwa michango yao ambayo aghalabu imekuwa ni fedha taslimu ambayo inatajwa kuanzia kima cha chini cha $1000.
Nipo hapa nakuletea majina ya baadhi ya watu ambao majina yao yamekuwa yakisikika mara kwa mara na kwa miaka mingi kwenye nyimbo za wanamuziki wa kongo zote mbili, Kinshasa na Brazzaville.
Hamed Bakayoko, Bebe Ramazani, Jean François Ndenge, Jean-Dominique Okemba, Saki Sharufa, Pepe Akunji, Costa Omari, Didier Drogba, Manu Luvaka, Adam Bombole, Jean Marie Mulato, Samuel Etoo, Didier Kinwani, Kayembe Chezntemba, Loulou Iyolo, Adolphe Mwinda, Tumba Masikini, Patrick Bolognia, Papito Mbala, Mukubwa Shabani.
Waweza kuongezea....
Karibu
Tafsiri tafadhali PapaaLabda niseme tu kwa Kilingala kwamba "Bomoi ezali makuse, Topesa Nzambe ya Lola matondo mpo na bolamu na ye"
"Maisha tuliyonayo ni mafupi, Tumshukuru Mungu wa mbinguni kwa wema wake.."Tafsiri tafadhali Papaa
weka Google ayo maneno utapewa maanaTafsiri tafadhali Papaa