begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,833
- 2,878
Begi la pesa
Umetisha kiongozi 👏👏👏👏Ngoja na Mimi niweke mchango wangu hapa kama mmoja wa wadau wakubwa wa Congolese Music, mfuasi mtiifu kabsa wa Extra Musica (Hapa nilivutiwa sana na mwamba mwenyewe sauti ya Zege Herman Ngasaki, kwenye vibao kama Ndzima na Solitude ameua sana pale mwanzoni)na Wenge Musica BCBG chini ya JB Mpiana baadae Wenge Maison Merre ya Werrason Ngiama Makanda (hapa nilivutiwa sana na RAPA Bill Clinton Kalonji aliua sana kwenye kibao cha force D' intervention rapide na album nzima ya Kibuisampimpa "operation dragon" na mwingine ni Aldolphe Dominguez). Anyways hawa wamba walitajwa sana kwenye ngoma mbalimbali za Kikongo:
1. José Kongolo
2. Zakarida Babasu
3. Didi Kinuani
4. Adam Bombole
5. Kayembe Chez Ntemba
6. Hamed Bakayoko
7. Kiki Touré
8. Johnny Mayala
9. Tchatcho Mbala
10. Simon Kimbangu “Mwana Ntemba”
11. Moïse Katumbi
12. Simba Toyota
13. Jeannot Bombenga
14. Mzee Dindo Dika
15. Eric Mandala
Ni Hatari na nusu.Umetisha kiongozi 👏👏👏👏
Hapo kwa extra alikuwa huyo Herman Ngassaki na wamba wengine kama mzee baba Ebambi Okombi "Roga roga", Kila Mbongo, Oxy Oxygene, Abbilysi, Simbah, Espebass, Ramatoulaye.
Mmiliki wa kumbi za starehe nyingi zikiwa Central and Southern Africa pamoja na Paris and Brussel.kayemba tshetemba huyu ana umashughuri gani au ni nani ?
Alikuwa mpiga gitaa wa soukuss stars,yeye na lokasa ya mbongoHuyu ameimbwa sana
Kuna mtu pia alikuwa anatajwa Blaisse Bulla(sijui kama alikuwa muimbaji au nae ni papaa Mukullu)Ngoja na Mimi niweke mchango wangu hapa kama mmoja wa wadau wakubwa wa Congolese Music, mfuasi mtiifu kabsa wa Extra Musica (Hapa nilivutiwa sana na mwamba mwenyewe sauti ya Zege Herman Ngasaki, kwenye vibao kama Ndzima na Solitude ameua sana pale mwanzoni)na Wenge Musica BCBG chini ya JB Mpiana baadae Wenge Maison Merre ya Werrason Ngiama Makanda (hapa nilivutiwa sana na RAPA Bill Clinton Kalonji aliua sana kwenye kibao cha force D' intervention rapide na album nzima ya Kibuisampimpa "operation dragon" na mwingine ni Aldolphe Dominguez). Anyways hawa wamba walitajwa sana kwenye ngoma mbalimbali za Kikongo:
1. José Kongolo
2. Zakarida Babasu
3. Didi Kinuani
4. Adam Bombole
5. Kayembe Chez Ntemba
6. Hamed Bakayoko
7. Kiki Touré
8. Johnny Mayala
9. Tchatcho Mbala
10. Simon Kimbangu “Mwana Ntemba”
11. Moïse Katumbi
12. Simba Toyota
13. Jeannot Bombenga
14. Mzee Dindo Dika
15. Eric Mandala
blaise bula ni bonge moja la musicianKuna mtu pia alikuwa anatajwa Blaisse Bulla(sijui kama alikuwa muimbaji au nae ni papaa Mukullu)
Imagine hawa wote walikua kwenye ile Wenge 4x4 Original yenyewe kabsa, kama uliwahi kusikia inatajwa Burkina Faso basi ujue hapo alikua anatajwa mpiga Gitaa Mbokaliya:blaise bula ni bonge moja la musician
alikuwaga wenge bcbg ile ya moto sana ya kina Adolph domingez baadae akawa na bendi yake. ana song lake linaitwa pondarason
Umetisha kiongoziImagine hawa wote walikua kwenye ile Wenge 4x4 Original yenyewe kabsa, kama uliwahi kusikia inatajwa Burkina Faso basi ujue hapo alikua anatajwa mpiga Gitaa Mbokaliya:
1. JB Mpiana
2. Werrason
3. Blaise Bula
4. Adolphe Dominguez
5. Ricoco Bulambemba
6. Alain Mpela
7. Aimelia Lias
8. Alain Makaba
9. Djolina Mandudila
10. Blaise Kombo
11. Ficarré Mwamba
12. Burkina Faso Mbokaliya
13. Patient Kusangila
14. Titina Alcapone
15. Seguin Mignon
16. Théo Bidens
17. Tutu Callugi (Bill Clinton)
18. Roberto Ekokota
19. Kennedy Mbala