Ngoja na Mimi niweke mchango wangu hapa kama mmoja wa wadau wakubwa wa Congolese Music, mfuasi mtiifu kabsa wa Extra Musica (Hapa nilivutiwa sana na mwamba mwenyewe sauti ya Zege Herman Ngasaki, kwenye vibao kama Ndzima na Solitude ameua sana pale mwanzoni)na Wenge Musica BCBG chini ya JB Mpiana baadae Wenge Maison Merre ya Werrason Ngiama Makanda (hapa nilivutiwa sana na RAPA Bill Clinton Kalonji aliua sana kwenye kibao cha force D' intervention rapide na album nzima ya Kibuisampimpa "operation dragon" na mwingine ni Aldolphe Dominguez). Anyways hawa wamba walitajwa sana kwenye ngoma mbalimbali za Kikongo:
1. José Kongolo
2. Zakarida Babasu
3. Didi Kinuani
4. Adam Bombole
5. Kayembe Chez Ntemba
6. Hamed Bakayoko
7. Kiki Touré
8. Johnny Mayala
9. Tchatcho Mbala
10. Simon Kimbangu “Mwana Ntemba”
11. Moïse Katumbi
12. Simba Toyota
13. Jeannot Bombenga
14. Mzee Dindo Dika
15. Eric Mandala