Watu waliotajwa zaidi kwenye nyimbo za kikongo

Kuna mwanamama mmoja anaitwa Jose kongolo FBI.
Huyu mama yupo ufaransa na ana hoteli kubwa Sana pamoja na apartments.
Huwa anawapatia homage na support zingine nyingi wasanii wa Congo haswa wanaoimba muziki wa rhumba
 
Bernadetha Masengu (BM) huyu anapendwa sana na Heritier Watanabe pia wimbo wa BM

Steve Loemba wimbo wa SL wake Fally Ipupa

David Mangaya wimbo wa CARTE ROSE na HÉRITIER DU TRÔNE za Ferre Golla ameimbiwa huyu jamaa

Jasmine Le Tanzaniane huyu anaimbwa sana na Fally Ipupa
 
Le Colonel Emmanuel Tshisekedi
Madamè Azizah Wenje
Jean-Paul Kilonga
Francòis Gomez
 
Congo (zote mbili Kinshasa na Brazzaville) kumekuwa na utamaduni wa miaka mkngi kwa wanamuziki kupata support kutoka wahisani mbalimbali hasa wanabiashara wakubwa wanasiasa mashuhuri na watu wengine mbalimbali mashuhuri waliopo ndani na nje ya nchi hizo.

Watu hawa wamekuwa wakisupport bendi kwa michango yao ambayo aghalabu imekuwa ni fedha taslimu ambayo inatajwa kuanzia kima cha chini cha $1000.

Nipo hapa nakuletea majina ya baadhi ya watu ambao majina yao yamekuwa yakisikika mara kwa mara na kwa miaka mingi kwenye nyimbo za wanamuziki wa kongo zote mbili, Kinshasa na Brazzaville.

Hamed Bakayoko, Bebe Ramazani, Jean François Ndenge, Jean-Dominique Okemba, Saki Sharufa, Pepe Akunji, Costa Omari, Didier Drogba, Manu Luvaka, Adam Bombole, Jean Marie Mulato, Samuel Etoo, Didier Kinwani, Kayembe Chezntemba, Loulou Iyolo, Adolphe Mwinda, Tumba Masikini, Patrick Bolognia, Papito Mbala, Mukubwa Shabani.

Waweza kuongezea....

Karibu
Unamsahau vipi Erick Mandala??
Tatizo wacongo wanapenda mno starehe, Kusifiwa na kujichubua.
 
Sadam Hussein
Asha Movoto😁😁😁
 
Back
Top Bottom