Watu waliotajwa zaidi kwenye nyimbo za kikongo

Umetisha kiongozi 👏👏👏👏
Hapo kwa extra alikuwa huyo Herman Ngassaki na wamba wengine kama mzee baba Ebambi Okombi "Roga roga", Kila Mbongo, Oxy Oxygene, Abbilysi, Simbah, Espebass, Ramatoulaye.
 
Jipika Kitenge huyu katajwa kwa ukubwa sana kwenye album ya ultimatum ya koffii
 
Umetisha kiongozi 👏👏👏👏
Hapo kwa extra alikuwa huyo Herman Ngassaki na wamba wengine kama mzee baba Ebambi Okombi "Roga roga", Kila Mbongo, Oxy Oxygene, Abbilysi, Simbah, Espebass, Ramatoulaye.
Ni Hatari na nusu.
 
Mike mosisi
Jean François Ndenge
Saki Sharufa
Tumba Masikini
 
kayemba tshetemba huyu ana umashughuri gani au ni nani ?
Mmiliki wa kumbi za starehe nyingi zikiwa Central and Southern Africa pamoja na Paris and Brussel.
Augustin Kayembe AKA Kayembe Chez Ntemba ni raia wa DRC based in Belgium.
 
Kuna mtu pia alikuwa anatajwa Blaisse Bulla(sijui kama alikuwa muimbaji au nae ni papaa Mukullu)
 
Kuna mtu pia alikuwa anatajwa Blaisse Bulla(sijui kama alikuwa muimbaji au nae ni papaa Mukullu)
blaise bula ni bonge moja la musician
alikuwaga wenge bcbg ile ya moto sana ya kina Adolph domingez baadae akawa na bendi yake. ana song lake linaitwa pondarason
 
blaise bula ni bonge moja la musician
alikuwaga wenge bcbg ile ya moto sana ya kina Adolph domingez baadae akawa na bendi yake. ana song lake linaitwa pondarason
Imagine hawa wote walikua kwenye ile Wenge 4x4 Original yenyewe kabsa, kama uliwahi kusikia inatajwa Burkina Faso basi ujue hapo alikua anatajwa mpiga Gitaa Mbokaliya:
1. JB Mpiana
2. Werrason
3. Blaise Bula
4. Adolphe Dominguez
5. Ricoco Bulambemba
6. Alain Mpela
7. Aimelia Lias
8. Alain Makaba
9. Djolina Mandudila
10. Blaise Kombo
11. Ficarré Mwamba
12. Burkina Faso Mbokaliya
13. Patient Kusangila
14. Titina Alcapone
15. Seguin Mignon
16. Théo Bidens
17. Tutu Callugi (Bill Clinton)
18. Roberto Ekokota
19. Kennedy Mbala
 
Umetisha kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…