Watu wameendekeza tamaa kwa kisingizio cha usasa

Ukisema dunia unakosea mkuu sema kwa jumuia ya wazungu

Kuna nchi za asia na uarabuni watu hawafati philosophy ya democracy ya kujiamulia tu hata ukiwa shoga wanakuangalia eti ni haki yako haipo hivyo

Afrika tu ndo tumeshikwa akili na wazungu
Kwahio muamuzi ni nani na anaamua nini Kwamba unyongwe / Upondwe mawe au iweje ? Tatizo ya hio slippery slope unayotaka kusema kesho wanaweza kuamua kwamba vilema wote walimtendea Muumba mabaya ndio maana ni vilema hivyo tuwachinje..... Na hapo wala wasiamua wengi bali wachache...; Au wanaweza kuamua mtu mweusi ni inferior hivyo atufanyie kazi sisi wala watoto wetu haruhusiwi (Na hayo yalishatokea)
 
Demokrasia sio ya Wazungu ni mfumo ambao ingawa mara nyingi ni theoretical na unadangaya watu kwamba kweli kinachofanyika wanaamua wenyewe ila inaleta uhuru na Amani...; sababu at least wanaona kwamba aliyepo walimchagua... sababu Demokrasia inatokana na maneno yanayomaanisha nguvu ya watu / umma (kwahio watu wenyewe ndio wanongoza) tofauti na kutawaliwa (atleast hii notion hata theoretically inaleta ahueni)

Ubepari huo ni mfumo tu wa kiuchumi ambapo na wenyewe angalau theoretically unaonyesha kwamba ukipigana unaweza ukawa tajiri (ni nguvu zako na jasho lako) ingawa practically kuna ugumu na kuna faulo na technology inavyoendelea huenda hata mfumo huu wa ubepari wa leo usiwepo kesho.... Sababu umeleta matabaka makubwa ambayo huenda yalikuwepo enzi za Ukabaila na Ubwanyeye.....

Kwahio hii mifumo be it an illusion or not atleast inakupa hope kwamba hata ukizaliwa masikini legally unaweza ukawa mtu yoyote (tofauti na mifumo ya kifalme legally huenda hautaruhusiwa kutoka kwenye tabaka lako)
Mkuu tatizo unazunguuka sana ulisema wafalme walikuwa wanajitwalia national cake yakuwa democracy kila mtu anakula cake ya taifa swali unaamini democracy watu wanakula cake kweli?

Na ni kweli democracy na capitalism ni philosophy na doctrine za wazungu au na hili unabisha?

Hizo mmeletewa nyie under new form of colonialism na ndio maana hadi sasa mpo hapa kutetea western culture na mioyo yenu imekata tamaa kuhusu kurudisha mfumo wenu wa utawala wa kiafrika
 
Hawa watu wanakaa uchi kwa kigezo cha kushawishi wanaume kingono na sio kuwa wanafuata mila kama wangekuwa wanafuata mila tungeona kila kabila na mitindo ya uvaaji wao kuna wengine tungeona masegere, wengine lubega kama wabena na wahehe na kadhatika

Badala yake hatuoni hayo tunaona bikini za wazungu na kuongeza matako hizo ni mila za kabila gani?

Kwa usasa wenu kwa kigezo cha democracy mnatetea ufuska haya nambie mila na tamaduni za mwafrika zilitambua kitu kinaitwa democracy?
We aliekuambia Afrika mna mila ni nani?? Sema mila za kabila lako.

Movie za kinaijeria huwa unaangalia?? Huwa unaona mavazi ya wanawake??
Movie ya bushmen uliangalia??
Uliona mavazi ya wale watu??

Vipi mavazi ya asili ya lesotho unayajua??

Ninyi waafrika jamii nyingi hazina historia, yaani tumejijua baada ya mzungu kuja, kabla ya hapo hakuna kilichoandikwa.
Na hizo story za kina mkwawa zenyewe kaandika mzungu mwenyewe, unapata wapi ujasiri wa kusema sijui asili asili tamaduni wakati baadhi ya hizo tamaduni mmecopy kwa watawala wenu.
 
Kwahio muamuzi ni nani na anaamua nini Kwamba unyongwe / Upondwe mawe au iweje ? Tatizo ya hio slippery slope unayotaka kusema kesho wanaweza kuamua kwamba vilema wote walimtendea Muumba mabaya ndio maana ni vilema hivyo tuwachinje..... Na hapo wala wasiamua wengi bali wachache...; Au wanaweza kuamua mtu mweusi ni inferior hivyo atufanyie kazi sisi wala watoto wetu haruhusiwi (Na hayo yalishatokea)
Mtu mweusi aseme mtu mweusi mwenzie anyongwe hiyo ipoje mkuu, waafrika kama wa afrika tuna mifumo yetu ya utawala ukiachana na democracy, ambayo ilikuwa imara na madhubuti katika kuijenga jamii kwaiyo tukijitawala tutaweza kulinda yale tunayoamini kwetu yana faida na kukataza yale yasio na faida

Sidhani kama muongoza familia utakuwa tayari wanao wawe mashoga au wajiuze wawe wavuta bangi kwakuwa eti ni uhuru wao

Hivyo hivyo tukijiongoza hakuna kiongozi mjinga mathalani chifu wa kabila fulani au mfalme atakuwa mjinga kuacha jamii yake iangamie kwa tabia mbovu kama hizo

Hii democracy munayoipamba imeletwa na wazungu ili kututawala kiutamaduni, kiuchumi na kisiasa
 
Huo ndio usasa wenyewe ninaouzungumzia utandawazi kwa kivuli cha democracy nani kakwambia kukaa uchi ndio kupendeza hao waliovaa magome ya miti walipendeza?
Ukivaa magome ya miti ukafunika matiti na nyeti, tako wazi paja wazi hapo unakua hujatamanishwa??

Tamaa zako zisinyime watu uhuru.
 
Kwaiyo mkuu hawa wanaovaa nusu uchi wanafata mila gani za kimasai, kindengereko au kisukuma ili tujue kama kuna double standard au hamna

Na kwanini kama wanafuata mila wasivae hayo magome ya miti maana ndio utamaduni kama walivo wamasai badala yake wanavaa bikini za wazungu hiyo ni mila ya kabila gani
Alokwambia kila mtu anafata mila ni nani??

Mimi mawashangaa ninyi mnaotaka mtu afate tamaduni msiokua nayo, niambie vazi la kitanzani ni lipi??
 
Mkuu tatizo unazunguuka sana ulisema wafalme walikuwa wanajitwalia national cake yakuwa democracy kila mtu anakula cake ya taifa swali unaamini democracy watu wanakula cake kweli?
Legally wanaruhusiwa kula Keki; Legally kwenye ufalme hawana ruksa... Na kwanini ni hivyo ni kwamba demokrasia nyingi ulimwenguni ni an illusion watu kweli hawana nguvu ya kufanya maamuzi ingawa kuna direct democracy ambazo watu wanaweza waka-vote kwenye kila uamuzi
Na ni kweli democracy na capitalism ni philosophy na doctrine za wazungu au na hili unabisha?
Shida yako wewe unaangalia mambo kwa definition na sio uhalisia / outcome au kitu kinachofanywa / kinachofanyika....; Ukiongelea Football kwamba ni wachezaji 22 wanakimbiza mpira ili wauweke kwenye nyavu mwishoni hata mchezo huo ukiuita kandanda; ukauita soccer, ukauita kabumbu bado itakuwa ni jambo lilelile

A Rose by any other name Smells as Sweet
Hizo mmeletewa nyie under new form of colonialism na ndio maana hadi sasa mpo hapa kutetea western culture na mioyo yenu imekata tamaa kuhusu kurudisha mfumo wenu wa utawala wa kiafrika
Moja community haiwezi ikakaa kwenye vacuum lazima kutakuwepo na a form of power kuweka mambo sawa sawia kitu ambacho haujafahamu hii mifumo yote ya kifalme hata huko western ilikuwepo na ibabadilika kulingana na mazingira....;

Industrial revolution ilipelekea kuisha kwa uhitaji wa utumwa / watu kupelekwa ughaibuni kutumika kwenye mashamba........ Walamba asali wachache kujitwalia mali na kuwanyonya wengine kulileta mapinduzi ya watu kuwaondoa hao wachache na bahati mbaya sehemu kama Ufaransa ikapelekea hadi watu kukatwa vichwa na kusulubiwa kwahio hata huku leo hii atokee chizi mmoja aseme ni mfalme sababu babu yake alikuwa mfalme kwahio yeye na watoto wake hizi mali zote ni zake nadhani atajikuta kichwa chake kwenye mlingoti... (Bila kujali ulaya au china walifanya au wamefanya nini)
 
We aliekuambia Afrika mna mila ni nani?? Sema mila za kabila lako.

Movie za kinaijeria huwa unaangalia?? Huwa unaona mavazi ya wanawake??
Movie ya bushmen uliangalia??
Uliona mavazi ya wale watu??

Vipi mavazi ya asili ya lesotho unayajua??

Ninyi waafrika jamii nyingi hazina historia, yaani tumejijua baada ya mzungu kuja, kabla ya hapo hakuna kilichoandikwa.
Na hizo story za kina mkwawa zenyewe kaandika mzungu mwenyewe, unapata wapi ujasiri wa kusema sijui asili asili tamaduni wakati baadhi ya hizo tamaduni mmecopy kwa watawala wenu.
Mkuu kwaiyo unamaanisha wasingekuja wazungu Afrika tungeshindwa kuishi
 
Ukivaa magome ya miti ukafunika matiti na nyeti, tako wazi paja wazi hapo unakua hujatamanishwa??

Tamaa zako zisinyime watu uhuru.
Mkuu wewe kabila lako walikuwa wanafunika mapaja tu basi?

Tatizo mnakaririshwa na walivyo record wazungu ambao info zao zilikuwa bias waafrika tulionesha progress kulingana na kabila na ukanda hao wazungu ndo walituvamia na kuuwa yale tuliokuwa tunayafanya
 
Mtu mweusi aseme mtu mweusi mwenzie anyongwe hiyo ipoje mkuu, waafrika kama wa afrika tuna mifumo yetu ya utawala ukiachana na democracy, ambayo ilikuwa imara na madhubuti katika kuijenga jamii kwaiyo tukijitawala tutaweza kulinda yale tunayoamini kwetu yana faida na kukataza yale yasio na faida

Sidhani kama muongoza familia utakuwa tayari wanao wawe mashoga au wajiuze wawe wavuta bangi kwakuwa eti ni uhuru wao

Hivyo hivyo tukijiongoza hakuna kiongozi mjinga mathalani chifu wa kabila fulani au mfalme atakuwa mjinga kuacha jamii yake iangamie kwa tabia mbovu kama hizo

Hii democracy munayoipamba imeletwa na wazungu ili kututawala kiutamaduni, kiuchumi na kisiasa
Kwamba kunyongwa kumekuja na demokrasia na machifu / wafalme walikuwa hawanyongi au ? Nani amekwambia wewe kama mzazi ushangilie watoto wako wakiwa mashoga au wavuta bangi na nani kasema ni uhuru wa mtu kuvuta bangi wakati sheria inakataza bangi (hususan kutokana na madhara ya kiafya ambayo yapo scientifically proven)

Unaongelea chifu / mfalme hatakubali kama hawa malaika watu ni corruptible (kwahio kuliko kumuachia chifu / mfalme au watu fulani wachache ) watupangie sheria na kutuamulia maisha yetu kuna ubaya gani sisi wenyewe kuchangia katika maamuzi.... Yaani hapa unachanganya madesa Sijui Ushoga , Demokrasia, Ubepari wakati moja sio necessarily uwepo wake au kutokuwepo kwake ni sababu ya kuwepo kingine....

Na kabla hatujafika kwenye extreme za ushoga mtu anaweza kukwambia hata mwanamke kuachia nywele zake zinaonekana sio maadili (sasa mtu kama huyo ndio tumpe wadhifa wa kukutungia sheria si wote tutatembea kwa kuangalia chini na sio kuangaliana machoni)
 
Legally wanaruhusiwa kula Keki; Legally kwenye ufalme hawana ruksa... Na kwanini ni hivyo ni kwamba demokrasia nyingi ulimwenguni ni an illusion watu kweli hawana nguvu ya kufanya maamuzi ingawa kuna direct democracy ambazo watu wanaweza waka-vote kwenye kila uamuzi

Shida yako wewe unaangalia mambo kwa definition na sio uhalisia / outcome au kitu kinachofanywa / kinachofanyika....; Ukiongelea Football kwamba ni wachezaji 22 wanakimbiza mpira ili wauweke kwenye nyavu mwishoni hata mchezo huo ukiuita kandanda; ukauita soccer, ukauita kabumbu bado itakuwa ni jambo lilelile

A Rose by any other name Smells as Sweet

Moja community haiwezi ikakaa kwenye vacuum lazima kutakuwepo na a form of power kuweka mambo sawa sawia kitu ambacho haujafahamu hii mifumo yote ya kifalme hata huko western ilikuwepo na ibabadilika kulingana na mazingira....;

Industrial revolution ilipelekea kuisha kwa uhitaji wa utumwa / watu kupelekwa ughaibuni kutumika kwenye mashamba........ Walamba asali wachache kujitwalia mali na kuwanyonya wengine kulileta mapinduzi ya watu kuwaondoa hao wachache na bahati mbaya sehemu kama Ufaransa ikapelekea hadi watu kukatwa vichwa na kusulubiwa kwahio hata huku leo hii atokee chizi mmoja aseme ni mfalme sababu babu yake alikuwa mfalme kwahio yeye na watoto wake hizi mali zote ni zake nadhani atajikuta kichwa chake kwenye mlingoti... (Bila kujali ulaya au china walifanya au wamefanya nini)
Hapo umeongelea ufaransa mkuu mimi naongelea Afrika ambapo hiyo industrial revolution bado haijafanyika kwaiyo kubadili mfumo kunawezekana by [emoji817]
 
Kwamba kunyongwa kumekuja na demokrasia na machifu / wafalme walikuwa hawanyongi au ? Nani amekwambia wewe kama mzazi ushangilie watoto wako wakiwa mashoga au wavuta bangi na nani kasema ni uhuru wa mtu kuvuta bangi wakati sheria inakataza bangi (hususan kutokana na madhara ya kiafya ambayo yapo scientifically proven)

Unaongelea chifu / mfalme hatakubali kama hawa malaika watu ni corruptible (kwahio kuliko kumuachia chifu / mfalme au watu fulani wachache ) watupangie sheria na kutuamulia maisha yetu kuna ubaya gani sisi wenyewe kuchangia katika maamuzi.... Yaani hapa unachanganya madesa Sijui Ushoga , Demokrasia, Ubepari wakati moja sio necessarily uwepo wake au kutokuwepo kwake ni sababu ya kuwepo kingine....

Na kabla hatujafika kwenye extreme za ushoga mtu anaweza kukwambia hata mwanamke kuachia nywele zake zinaonekana sio maadili (sasa mtu kama huyo ndio tumpe wadhifa wa kukutungia sheria si wote tutatembea kwa kuangalia chini na sio kuangaliana machoni)
Mkuu waweza kunitofautishia European culture vs African culture
 
Mkuu kwaiyo unamaanisha wasingekuja wazungu Afrika tungeshindwa kuishi
Kuishi unahitaji nini ? Ofcourse tungeishi bila shida ila usitegemee kwamba kilichofanyika kipindi hicho ndio kingefanyika leo

Unaweza ukaishi ndio ila kwanini niishi kwa matakwa yako na sio yake ? Na hapa wala siongelei mzungu wala mtu wa nje wewe wa ndani hapa hapa kwanini nifuate matakwa yako na sio yangu...

Nimekwambia wamasai kulingana na tamaduni zao za kipindi kile na Baba mwenye mji kusafiri safari ndefu kutafuta malisho alikuwa akija mwanaume mwingine nyumba ipo tupu anaingia na kuendelea kama baba mwenye mji (hio iliwasaidia na ilikuwa necessary kulingana na uhitaji mazingira yao) Je utamaduni wao huu ulitaka pia ufanywe na wahaya na wachagga ?

Au utaratibu wa mdogo mtu kurithi mke wa kaka yake kama kaka akifa (huenda ulikuwa necessary kipindi kile) je ulitaka makabila mengine yafuate au yafuate nini ?
 
Hapo umeongelea ufaransa mkuu mimi naongelea Afrika ambapo hiyo industrial revolution bado haijafanyika kwaiyo kubadili mfumo kunawezekana by [emoji817]
Industrial revolution ilianzia huko ulaya ndio matokeo yake utumwa ukaisha..., matokeo yake ndio machinery za combustion engine na internal combustion; matokeo yake ndio uzalishaji kuongezeka; matokeo yake ndio ubepari na ulaya baadhi ya watu kutajirika zaidi na zaidi....

French revolution huenda ikarudi wakati wowote sehemu yoyote ni matokeo ya walamba asali kuwasahau wananchi wanahangaika wakati wao wanakula keki kwa mirija....,

Kwahio hata huu ubepari sio mwisho kuna mifumo mingine itakuja kulingana na teknolojia na mabadiliko ya wakati husika...
 
Umesema ukweli haswaa,ubaya hawa gen z hawapendi kuambiwa ukweli.
 
Mkuu wewe kabila lako walikuwa wanafunika mapaja tu basi?

Tatizo mnakaririshwa na walivyo record wazungu ambao info zao zilikuwa bias waafrika tulionesha progress kulingana na kabila na ukanda hao wazungu ndo walituvamia na kuuwa yale tuliokuwa tunayafanya
Mlikua mnafanya nini kabla ya mzungu kuja?
Mna rekodi yoyote??

Mlikua mnavaa nini ili mwanaume asiwake tamaa kwa mwanamke?
 
Mkuu waweza kunitofautishia European culture vs African culture
Culture / Utamaduni maana yake halisi ni nini : Utamaduni ni jumla ya mambo wanayofanya watu na wanavyoishi hata hii lugha tunazoongea na uongeaji wetu pia ni utamaduni wa muafrika sababu sisi ni subset ya Afrika...; ila ajabu ni kwamba wewe huenda katika imani zako ni tofauti kabisa na misingi / imani za kiafrika sababu kama ni muumini wa dini mojawapo wa hizi mbili kubwa ninaweza kukwambia huo sio utamaduni wa Muafrika per se... Hata ukizungumzia Egypt nitakwambia na huko Uislamu ulipelekwa haukuwepo kabla
 
Mkuu kwaiyo unamaanisha wasingekuja wazungu Afrika tungeshindwa kuishi
Kwani mzungu ndo anagawa pumzi??

Mngeishi kama wamasai na wahadzabe, au labda ni kitu gani mlikigundua kabla ya mzungu kuja??
 
Kuishi unahitaji nini ? Ofcourse tungeishi bila shida ila usitegemee kwamba kilichofanyika kipindi hicho ndio kingefanyika leo

Unaweza ukaishi ndio ila kwanini niishi kwa matakwa yako na sio yake ? Na hapa wala siongelei mzungu wala mtu wa nje wewe wa ndani hapa hapa kwanini nifuate matakwa yako na sio yangu...

Nimekwambia wamasai kulingana na tamaduni zao za kipindi kile na Baba mwenye mji kusafiri safari ndefu kutafuta malisho alikuwa akija mwanaume mwingine nyumba ipo tupu anaingia na kuendelea kama baba mwenye mji (hio iliwasaidia na ilikuwa necessary kulingana na uhitaji mazingira yao) Je utamaduni wao huu ulitaka pia ufanywe na wahaya na wachagga ?

Au utaratibu wa mdogo mtu kurithi mke wa kaka yake kama kaka akifa (huenda ulikuwa necessary kipindi kile) je ulitaka makabila mengine yafuate au yafuate nini ?
Mkuu hapo unachanganya, utaratibu wa wamasai utafanywa na wamasai na wachaga nao watafanya wakwao na wandengereko ivoivo kwani kuna shida!

Na off course wamaasai hadi sasa wanapractice mila zao kuna shida yoyote baina yao!

Unaonaje kila kabila na koo zikafanya yakwao kama wanavofanya wamaasai na kutoa huu utawala wa kipuuzi wa democracy kutakuwa na shida?
 
Hata wamasai leo hii hawafanyi hivyo sababu hakuna ulazima wa kufanya hivyo... wewe ukiwa mmasai umekwenda safari ukarudi ukakuta mtu nyumbani kwako ukampiga ndugu zake wakakushitaki kwanini umefanya hivyo kutokana na mila zenu / babu zenu walikuwa wanafanya utasema nini ?

Kuna mila zilikuwa zinaoza binti akizaliwa tu anachaguliwa mchumba (je unaona hio ni haki kwa huyo mtoto); Mzee kukataa kumsomesha mwanae wa kike kwamba aende kuolewa (je hio ni sawa kwa huyu mtoto ambaye huenda anapenda kuongeza elimu yake ya kidunia)

Ukishasema kila mtu afanye lake sababu tu ni la kiafrika na sio kuangalia madhara yake nadhani utakuwa unapotoka
 
Back
Top Bottom