Mtu mweusi aseme mtu mweusi mwenzie anyongwe hiyo ipoje mkuu, waafrika kama wa afrika tuna mifumo yetu ya utawala ukiachana na democracy, ambayo ilikuwa imara na madhubuti katika kuijenga jamii kwaiyo tukijitawala tutaweza kulinda yale tunayoamini kwetu yana faida na kukataza yale yasio na faida
Sidhani kama muongoza familia utakuwa tayari wanao wawe mashoga au wajiuze wawe wavuta bangi kwakuwa eti ni uhuru wao
Hivyo hivyo tukijiongoza hakuna kiongozi mjinga mathalani chifu wa kabila fulani au mfalme atakuwa mjinga kuacha jamii yake iangamie kwa tabia mbovu kama hizo
Hii democracy munayoipamba imeletwa na wazungu ili kututawala kiutamaduni, kiuchumi na kisiasa