Kabla ya mzungu kuja jamii za kiafrika na tanzania ikiwemo tulikuwa tumejiorganize inform of clan ank kingshipMlikua mnafanya nini kabla ya mzungu kuja?
Mna rekodi yoyote??
Mlikua mnavaa nini ili mwanaume asiwake tamaa kwa mwanamke?
Kwaiyo mtu kudanga na kuachwa single mother ni bora kuliko kuolewa? Kisa tu yeye mwenyew kapenda na ni uhuru wakeHata wamasai leo hii hawafanyi hivyo sababu hakuna ulazima wa kufanya hivyo... wewe ukiwa mmasai umekwenda safari ukarudi ukakuta mtu nyumbani kwako ukampiga ndugu zake wakakushitaki kwanini umefanya hivyo kutokana na mila zenu / babu zenu walikuwa wanafanya utasema nini ?
Kuna mila zilikuwa zinaoza binti akizaliwa tu anachaguliwa mchumba (je unaona hio ni haki kwa huyo mtoto); Mzee kukataa kumsomesha mwanae wa kike kwamba aende kuolewa (je hio ni sawa kwa huyu mtoto ambaye huenda anapenda kuongeza elimu yake ya kidunia)
Ukishasema kila mtu afanye lake sababu tu ni la kiafrika na sio kuangalia madhara yake nadhani utakuwa unapotoka
Kwahio tulazimishwe watu ambao ni wajane au walioachika waolewe ? Na hao watakaowaoa utawapa kiasi gani au nini kama hawataki ?Kwaiyo mtu kudanga na kuachwa single mother ni bora kuliko kuolewa? Kisa tu yeye mwenyew kapenda na ni uhuru wake
Mkuu wewe ni baba/ mama gani?
Mkuu watu walioolewa kwa kufuata mila za zamani kuachika ni ngumu kwanza walikuwa watiifu kwa waume zao sasa wataachikaje sio sawa na hawa feminist wa sasa wanaojipa role ya mwanaume wakati ni wanawakeKwahio tulazimishwe watu ambao ni wajane au walioachika waolewe ? Na hao watakaowaoa utawapa kiasi gani au nini kama hawataki ?
Hivi unajua ni bora kwa mtoto kukulia kwenye familia ya mzazi mmoja yenye amani kuliko ya wawili yenye mapigano mwanzo mwisho ?
Na hapo kabla mama alikuwa ni mama wa nyumbani bila kipato unadhani bila mtu wa kuleta mkate wa kila siku (bread winner) ambaye alikuwa ni Baba hii familia ingeishi vipi ? Ndicho nachojaribu kukwambia mambo yamebadilika zamani kina maam walikuwa hawana choice bila ya mwanaume kuwepo hata kazi walikuwa hawawezi kufanya kupewa zaidi ya mama wa majumbani sasa hivi wana choice na wengine ndio wanatunza familia kuliko hata wanaume kwahio usitegemee mambo yatakuwa sawa kama zamani.... (Kabla hata umpige mke wako kiasi gani hana pa kukimbilia leo hii hashindwi kukodi nyumba yake na maisha yakaenda) Sasa kama hili ni bora au baya na bora au baya kwa nani you decide..... (ila kwa mwanamke ambaye alikuwa anakuwa abused na hana pa kwenda nadhani hatapenda jibu lako)
Mkuu inaonekana hujawai kuisoma historia vizuri, kwa taarifa yako kabla ya ujio wa wakoloni Africa tulikuwa sawa au tumewazidiKwani mzungu ndo anagawa pumzi??
Mngeishi kama wamasai na wahadzabe, au labda ni kitu gani mlikigundua kabla ya mzungu kuja??
Tamaduni za chifu hawezi kuzikwa peke yake lazima azikwe na mtu akiwa hai??Kabla ya mzungu kuja jamii za kiafrika na tanzania ikiwemo tulikuwa tumejiorganize inform of clan ank kingship
Katika kila clan alikuwepo clan chief ambae alikuwa ndio kiongozi wa rituals and cult. Mfano chief wa wazigua alikuwa akiitwa bwana heri, wa wahehe mkwawa n.k
Kwenye inshu ya maadili jamii ilikuwa binded na miiko ya jamii husika na kulikuwa na matambiko na makafara yakifanyika kwa mwenye kuvunja miiko hiyo
Hiyo historia yenyewe unayoijua vizuri wamekuandikia hao wazungu.Mkuu inaonekana hujawai kuisoma historia vizuri, kwa taarifa yako kabla ya ujio wa wakoloni Africa tulikuwa sawa au tumewazidi
Kisiasa tulikuwa na mifumo ya kiutawala mizuri tu
Kiuchumi tulikuwa na namna ya uafanyaji biashara wetu
Kiteknolojia tulikuwa vizuri mambo za ufuaji vyuma tulianza kitambo
Kijamii tulikuwa na mila na desturi zetu nzuri na za kuigwa sio hizo za ushoga na usagaji
Acheni kuwaabudu wazungu hao ndio walioturudisha nyuma kabisa
Ushawai kusikia kitu kinaitwa resistance of colonialismHiyo historia yenyewe unayoijua vizuri wamekuandikia hao wazungu.
Wameandika wao walipofika walikuta nini, sasa kama mliwazidi mlitawaliwa vipi kwa kudanganywa kijinga kabisa??
Kama mlikua na tawala safi ikawaje mkawa watumwa wa mzungu kwanini ninyi msiende kuwatawala kule ulaya??
Waafrika hamjawahi kuwazidi wazungu, huko ni kudanganyana.
Baada ya wazungu kupiga propaganda mila zenu za kiafrika basi mkajiona nyie ni magorila na wazungu ni miunguTamaduni za chifu hawezi kuzikwa peke yake lazima azikwe na mtu akiwa hai??
ukeketaji, ndoa za utotoni nk
mkuu aliekuzidi kakuzidi, kitu gani kinakuamiaminisha kua wewe kipindi cha nyuma uliwazidi wazungu??Baada ya wazungu kupiga propaganda mila zenu za kiafrika basi mkajiona nyie ni magorila na wazungu ni miungu
1. Sio makabila yote yana huo utaratibu wa kukeketa
2. Hata hao waliokeketa wana sababu za msingi walizotumia ili kuwalinda watu wa jamii zao kimaadili nk
3. Huwezi kulinganisha ukeketaji wa mwafrika na ushoga, usagaji na transgender wa mzungu. Hebu nambie wewe hapo bora utamaduni upi wa mwafrika au wa mzungu?
NdioUshawai kusikia kitu kinaitwa resistance of colonialism
Sijui specificaly ila ndo taratibu zilizokuwepo hizo, fatiliaHuo ulikuwa utaratibu wa chifu wa kabila gani?
Kwaiyo unakubali kununuliwa kwa gharama ndogo kiasi icho! Kwa takrima ya misaada, ndio jamii yenu muletewe:mkuu aliekuzidi kakuzidi, kitu gani kinakuamiaminisha kua wewe kipindi cha nyuma uliwazidi wazungu??
Au labda hizo mila na desturi zenu tukufu zimewasaidiaje kutatua shida ya umeme, maji, chakula, mfumuko wa bei, makazi duni, elimu mbovu kubwa zaidi umasikini kwenye nchi nyingi za kiafrika.??
kuna mzungu yeyote aliemshikia bastola mtu awe shoga??Kwaiyo unakubali kununuliwa kwa gharama ndogo kiasi icho! Kwa takrima ya misaada, ndio jamii yenu muletewe:
Uasagaji
Ushoga
Transgender
Watoto wenu wakae uchi
Udangaji uongezeke kwa kigezo cha feminism
Mpolwe mamlaka ya watoto wenu mliowazaa
Mpolwe mamlaka ya wake zenu mliowaoa
Mpolwe mamlaka yenu ya kujisimamia na kuzisimamia familia zenu
Kisa eti mnaletewa misaada kwa kivuli cha kutawaliwa(neo colonialism)
Kwani wewe uliishi na Idd Amini??Sasa kumbe waongea kitu ambacho hukijui kama ulilishwa matango pori wewe hujawai sikia kuwa Idd amin wa uganda anakula nyama za watu kwani ilikuwa kweli?
Halafu jibu swali kuu hili 👇Kwaiyo unakubali kununuliwa kwa gharama ndogo kiasi icho! Kwa takrima ya misaada, ndio jamii yenu muletewe:
Uasagaji
Ushoga
Transgender
Watoto wenu wakae uchi
Udangaji uongezeke kwa kigezo cha feminism
Mpolwe mamlaka ya watoto wenu mliowazaa
Mpolwe mamlaka ya wake zenu mliowaoa
Mpolwe mamlaka yenu ya kujisimamia na kuzisimamia familia zenu
Kisa eti mnaletewa misaada kwa kivuli cha kutawaliwa(neo colonialism)
Mkuu unajua chanzo cha mifumo duni ya ivo vitu ulivyovitaja?Halafu jibu swali kuu hili [emoji116]
hizo mila na desturi zenu tukufu zimewasaidiaje kutatua shida ya umeme, maji, chakula, mfumuko wa bei, makazi duni, elimu mbovu kubwa zaidi umasikini kwenye nchi nyingi za kiafrika.??
Sijakuelewa na hujanijibuMkuu unajua chanzo cha mifumo duni ya ivo vitu ulivyovitaja?