Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
- Thread starter
- #121
Ukitaka kutatua tatizo angalia chanzo cha tatizo shughulika nacho kwanza ili uweze kutatua hilo tatizo kiurahisiSijakuelewa na hujanijibu
Chanzo cha matatizo ya kiuchumi na kijamii ya nchi za Afrika ni ubeberu yaani umepewa uhuru bandia uone upo huru ila ukizingua tu unaalikwa vatican kwa papa
Kwaiyo mkuu viongozi sio kuwa wote hawajielewi au kuwa Afrika nzima hatujielewi ila mifumo ya kiutawala wanatupangia wao ko inahitajika second revolution ili tuweze kujikomboa
Na revolution yenyewe ni kuanza na kizazi chetu tuwaambie uzungu sio usasa(civilization) ila ni ushamba wa kuacha mila zetu ambazo tungezifuata toka mwanzo asaiv tungekuwa mbali sana