Watu wanaamini kuna Mungu na shetani kwa sababu kuamini ni rahisi kuliko kufikiri

Imani sio story za sungura na fisi ambazo kila mtu anajua ni za kubuni tu, unajua mkuu acha hii tabia ya kulichukulia neno imani kama kitu ambacho kinahusu masuala ya dini na Mungu tu basi.
 
Imani sio story za sungura na fisi ambazo kila mtu anajua ni za kubuni tu, unajua mkuu acha hii tabia ya kulichukulia neno imani kama kitu ambacho kinahusu masuala ya dini na Mungu tu basi.
Funguka mkuu , kuna kitu kama unataka kueleza toka mwanzo ila unazunguka tu.
 
Hoja nyepesi ndio zinabadili dunia, fuatilia
 
Vinaweza vikawa vimeanzishwa kwa njia tofauti na Mungu,
 
When your Lord said to the angles indeed, I will make upon the earth a successive authority "the said " will you place upon it one who causes corruption therein and shelds blood, while we declare your praise and sanctify you?" Allah said indeed,
I know that which you do not know
Qur-an (2:30)

So kuto muabudu wewe na wenzio wala sio shida kwake
Akili mukichwa
 
Imani ni matokeo ya ujinga wetu! Kuna pengo katika ufahamu wetu. Tumeshindwa kupata majibu ya maswali yetu wenyewe. Tumeshindwa kujua ni nini kilitokea ikawa hivi na vile.Tukabuni majibu. Kila jamii ikabuni jibu lake. Lakini kama kuna jamii iliyobuni uwongo na ambao umedumu kwa muda mrefu mpaka sasa ni ile iliyodai eti watu wote baba na mama yao ni Adam na Hawa. Ni ujinga tu! kama jamii hiyo ingejua kwingineko kuna watu wasiofanana nao kamwe wasingekubali eti ngozi nyeusi ina undugu na Myahudi alivyo mmbaguzi! Imani na ukweli ni vitu viwli tofauti . Imani sio ukweli,na ndio maana kuna Imani mbalimbali. Ikiwa Imani ni ukweli kusingekuwa na tofauti. Sisi tunafhani muumbaji wa kila kitu anawaza kama sisi tumemtilia maneno yetu tukasema kasema yeye. Tunafhani tunaweza kumyumbisha tunavyotaka. Asubuhi tunaomba jua, mchana tunaomba upepo. Ni ujinga wetu tu! Muumbaji hawezi kuwa random,kazi imekamilika na hairudiwi tena!
 
Lakini pia sio kila kisicho cha imani ni ukweli, sijui kwa nini tunashambulia sana hili neno imani?
 
Kuamini ni kazi ngumu na yenye kutumia akili nyingi zaidi kuliko kufikiri maana kufikiri kuna ukomo kutegemea uwezo wa ubongo. Lakini kuamini kwa dhati ni kushughulika na kitu ambacho hakionekani kwa macho (invisible), hakigusiki (intangible), hakiingii akilini, hakisikiki (inaudible), yaani milango ya maarifa haiwezi ku-grasp, lakini imani inaelewa abstract phenomena kwa hakika beyond doubt, kwa mfano, kwamba Mungu yupo ingwa hakuna aliyemwona. Kwa hiyo thinking has its horizon but belief is infinity. Kufikiri kuna mpaka wake lakini imani ni more complex, kuamini kwamba kuna sayari nane wakati tumeiona hii moja tu dunia, maana hatufikirii kwamba kuna sayari nane tunaamini hivyo hata kama tumeambiwa tu na wachache walioziona na kuzihesabu.
 
Mkuu unapinga kuwepo kwa Mungu au unapinga mambo yenye kuhusishwa na Mungu? Sijaelewa.
Bila shaka hapingi uwepo wa Mungu ila ameshindwa kabisa kuelewa kama Mungu yupo yaani imemuwia vigumu kuweza kuelewa kitu ambacho hajakiona kwa macho. Anajua kwamba magari, majumba, nk, yapo kwa sababu ameyaona kwa macho.
 
Huwa naona kama kutokuamini Mungu kuna husishwa moja kwa moja na kuwa na akili sana, hivi kwa nini inakuwa hivyo japo kwenye maisha ya kawaida hakuna huo utofauti kuonyesha kuwa wasioamini Mungu ndio wenye akili kuliko wenye kuamini Mungu?
Kwa kawaida mtu mwenye akili ndogo hawezi kuelewa kitu ambacho hakakiona kwa macho, kuamini kwamba Mungu yupo ni kuiruhusu akili ione badala ya macho. Mtu mwenye akili ya kawaida husubiri macho yapige picha ya kitu yapeleke hiyo picha kwenye ubongo kwa ajili ya kukitambua. Lakini mtu mwenye akili nyingi ubongo wake hausubiri picha kutoka kwenye macho badala yake ubongo unatafakari na kuwa na uhakika na vitu ambavyo macho hayawezi kuviona kamwe. Macho hayawezi kumuona Mungu lakini ukiwa na akili nyingi ubongo unamuona Mungu waziwazi kwa hakika kabisa.
 
Tenavunaambiwa ukimuua kafir mbinguni utapewa zawadi ya mwanamke bikira chuchu saa 6.

Halafu anadhuru nafsi ya mwingine kwa ahadi hewa.

Dini ni falsafa fulani iliyoandaliwa kuwatisha watu ili watawalike kwa urahisi.

Hasa hii dini ya makanisani na misikitini.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Bila shaka hapingi uwepo wa Mungu ila ameshindwa kabisa kuelewa kama Mungu yupo yaani imemuwia vigumu kuweza kuelewa kitu ambacho hajakiona kwa macho. Anajua kwamba magari, majumba, nk, yapo kwa sababu ameyaona kwa macho.
Kwahiyo wenye kuabudu ng'ombe kama mungu wakimuonyesha huyo ng'ombe na akamuona atakubali kuwa kweli huyo ng'ombe ni mungu?
 
Bila shaka hapingi uwepo wa Mungu ila ameshindwa kabisa kuelewa kama Mungu yupo yaani imemuwia vigumu kuweza kuelewa kitu ambacho hajakiona kwa macho. Anajua kwamba magari, majumba, nk, yapo kwa sababu ameyaona kwa macho.

Hiyo dhana ya dini kuwatisha watu sijui iwatawale sijawahi kuielewa.
 
Soma biblia dogo, Ukimaliza uje na hoja zingine.
 
Umegonga msumari kwenye kichwa. Jinsi watu wanavyozidi kutumia akili kufikiri itabidi dunia ishikiliwe kimaadili na ubinadamu.
Ndio hao wenye akili ambao wao hawaamini kama muumba yupo, Sasa hivi wanahalalisha mutifuane mitaro kwa kuamini ni haki za binadamu..
 
Article ya jamaa nlikua nasubiri majibu yenu kwa hamu, Hatimae umejibu tofauti kabisa na maandishi yake yanachomaanisha,

Tuliza akili usome vizuri maandishi yake, Then jibu inavyotakiwa bila kuhama hama.
 
Wewe umewahi kwenda Mbinguni na hukuikuta ? Yani haipo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…