Watu wanaamini kuna Mungu na shetani kwa sababu kuamini ni rahisi kuliko kufikiri

Kati ya:-
1. Kuishi Kwa njaa,.Na
2. Kufa kwa njaa

Utachagua nini?,..kipi ni hatari kuliko kingine?
None of them ni Bora,
Kwanza mpaka unakufa Kwa njaa maana yake umeishi na njaa. Why njaa uwepo?
Kwahy Kwa point yako watu wakiwa wanaishi na njaa maybe Kwa siku kadhaa wajiue Kwa sababu ni Bora kufa?
 
Mimi sikukuuliza hayo mambo ya dini gani ila nilitaka kuyajua bila kujali dini gani ila ajabu wewe unaniuliza dini mimi, nikikujibu sina dini nawe hutoniambia hayo mambo?

Mbona vitu simple unafanya kuwa vigumu? Hata wasioamini Mungu wana misimamo tofauti inajulikana hilo ila hatuwaulizi kama wewe ni atheist au agnostic.
 
Dini zingejikita zaidi kwenye mafundisho ya kweli yanayoisaidia na kuijenga jamii kuliko hadithi za kufikirika za kutia watu hofu au kuwapa watu matumaini ya uongo.

Vizazi vya karne hii sio vya kuviambia tena "Pokea Nyumba", "Pokea Gari" ilihali bado wapo kwenye viti na hilo Gari au Nyumba hawavioni vikitokea ili wavipokee.

Lazima tuwe realistic! Kuona ndio kuamini!
 
Kwa mfano kuamini kwamba yule fundi kapenta wa Galilaya ni Mungu

Kwamba Mungu aliumba dunia na vyote ikiwemo shetani na dhambi zake
Halafu Mungu huyu akajitoa muhanga na kuuwawa kwa ajili ya “dhambi” zetu alizo tuumbia
Halafu pamoja na kufa kwa ajili ya dhambi zetu bado dhambi zipo pale pale
Hii inakuingia akilini?
 
concept ya mungu na shetani imewapumbaza watu wengi na sasa wamekuwa tegemezi hawatumii akili zao hata kidogo.
 
Bro huhitaj maelezo marefu. Mfumo uliomba hii dunia ni wa kuwili. Yaan hasi na chanya kulia na kushoto. Hivyo hivyo Mungu na shetan. Inategemea ni yupi umempa nafasi. Ni kama vile mkono wa kulia ukiwa na nguvu wa kushoto unakosa. N wa kushoto ukiwa na nguvu kulia inaukosa. So ukimpa Mungu nguvu kwenye maisha yako shetan anakosa nguvu vivyo hivyo ukimpa shetan nguvu Mungu anapungua kwenye tabia na mienendo yako. Na akili zetu zimesetiwa muda ndio maana unakuwa kila unachosema lazima uwaze mwanzo na mwisho.
 
Kwanini wewe unahangaika na vitu ambavyo havipo? Tatizo lako nini? Akili huna?
 
None of them ni Bora,
Kwanza mpaka unakufa Kwa njaa maana yake umeishi na njaa. Why njaa uwepo?
Kwahy Kwa point yako watu wakiwa wanaishi na njaa maybe Kwa siku kadhaa wajiue Kwa sababu ni Bora kufa?
Hapana kimojawapo ni bora, Kwani aliyekufa ana suffer nini tena?

Kifo kinaondoa Tatizo Kwa kuwa mfumo mzima wa kusikia Raha&maumivu unakua umestop.Kufa ni mwisho wa maumivu yanayotokana na njaa na maumivu mengine mengi Tu.


kwanza nikukumbushe kwamba hoja yangu nilikua nasema kifo na uhai vyote vina faida na hasara....unakubali?

Nikijibu swali lako hili 👉🏼"Kwa point yako watu wakiwa wanaishi na njaa maybe Kwa siku kadhaa wajiue Kwa sababu ni Bora kufa?"

Kwangu mimi kujiua sio kitu sahihi,.Bali kitu sahihi Kwa upande wangu ni kuachia uhai na kifo vitokee kama ilivyo asili yake...ulivyozaliwa hukuamua basi subiri kifo nacho kije bila ya uamuzi wako.

Kwa mfano njaa ikikupiga kipindi ukiwa hai mpaka mwili ukashindwa kuhimili njaa na kupelekea kufariki,...basi chukulia kwàmba kifo kinakuja kuzima maumivu ya njaa...Death is a kind of a peaceful endeavour!
 
Mimi naamini mungu yupo yupo ndani ya kila mtu mungu ni wewe, mungu ni mimi, mungu ni viumbe vyote vilivo hai ila simuamini mungu wa kwenye dini wa kwenye biblia wala Quran.
 
Kwako wewe kwa uelewa wako kila jambo ambalo haliingii akilini huwa unalichukuliaje?
 
Mimi naamini mungu yupo yupo ndani ya kila mtu mungu ni wewe, mungu ni mimi, mungu ni viumbe vyote vilivo hai ila simuamini mungu wa kwenye dini wa kwenye biblia wala Quran.
Kwa nini utumie neno mungu hapo yani mungu ina maana gani?
 
Kwako wewe kwa uelewa wako kila jambo ambalo haliingii akilini huwa unalichukuliaje?

Shambulio la AKILI

Utakuta Dr wa uchumi na kapuku mwenzangu na mimi mzibua vyoo tunaambiwa na “Nabii” kanisani “pokea funguo ya gorofa na ya gari lako mwaka huu” na wanajibu tunapokeaaaaa

Ujinga wa kwenye dini ni kwamba KILA KITU KINAWEZEKANA
yaani Mungu akiamua Mlima kilimanjaro unakua kifaranga cha kuku in a blink of an eye

Haya ni matumizi mabaya ya Akili mkuu
 
Kwa uelewa wangu si kila jambo lisilo ingia akilini lina maana ya kwamba ni uongo au la kipuuzi, jambo laweza kuwa haliingii akilini kwa sababu ya kushindwa kwetu kuelewa tu au kwamba hilo jambo ni la ajabu kiasi cha kushindwa kukuingia akilini ila ni la kweli kabisa na hivyo ndio lilivyo.
 
Shetani ni sifa tu, siyo kiumbe. Hata wewe ukiwa shoga umeshakuwa shetani.

Ujkibariki mashoga wewe ndiyo kubwa la mashetani.
 
Na Mungu?
Inategeme Mungu wako ni yupi, maana watu qwana kila aina ya Miungu. Kuna wenye miungu watu, miungu ng'o,be, miungu vitu.

Sisi Waislam tunaamini hakuna mungu apasae kuabidiwa isipokuwa Allah.

Hazai wala hajazaliwa na hakuna anachofanana nacho.
 
Sawa.

Wewe huamini kama mungu yupo, mimi naamini, je, una uhakika umenizidi akili?? Una uhakika umenizidi uwezo wa kufikiria??

Kwa ulichoandika hata Isaac Newton(aliyekuwa anasoma sana bible) hana akili na ana uwezo mdogo wa kufikiria sio??
Kitendo tu chA kuamini upuuzi usiokuwa na facts na logic ni kiashirio kuwa wewe huna AKILI
 
Yani mtu anaamini Akiua kafir anaenda kupewa mabikira 72 ndio kutumia akili huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…