Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Muonekano wa uso wako ni kijeba swali fikirishi je unakunywa bombe au migodi kwa sana
 
Mkuu ungeweka picha yako ingekuwa rahisi kukushauri, inawezekana kwenye ulimwengu wa roho umepewa muonekano mwingine, Usione aibu katika kutafuta solution ya hali inayo kukera na kukukosesha amani
 
Mkuu ungeweka picha yako ingekuwa rahisi kukushauri, inawezekana kwenye ulimwengu wa roho umepewa muonekano mwingine, Usione aibu katika kutafuta solution ya hali inayo kukera na kukukosesha amani
Picha ni vigumu kuweka mkuu, ila sasa nimeanza kuelewa hii hali na hainikoseshi amani kama ilivyokuwa mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…