Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muonekano wa uso wako ni kijeba swali fikirishi je unakunywa bombe au migodi kwa sanaNimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Sijui ata pombe ina ladha gani.Muonekano wa uso wako ni kijeba swali fikirishi je unakunywa bombe au migodi kwa sana
Oya hapo sijaelewa, naona una kichwa kama cha kinyonga 😂Oya mm unanichekije kwenye profile hapo
Migodi je maana kuchimba migodi sana kunazeesha piaSijui ata pombe ina ladha gani.
Kuchimba migodi gani tena, madini au? Sipo machimboni mkuuMigodi je maana kuchimba migodi sana kunazeesha pia
Tumia akili mnemboKuchimba migodi gani tena, madini au? Sipo machimboni mkuu
Kweli hiyo yaweza kuwa sababuinategemea unajiwekaje kuanzia mavazi mpaka maongezi
Dah, kaka maneno yako magumu sana asa “mnembo"ndy nini tena 😂Tumia akili mnembo
Akili mnembo ni matumizi ya akili bandia ama kufungua jicho la tatu,(kufikiri nje ya sanduku)Dah, kaka maneno yako magumu sana asa “mnembo"ndy nini tena 😂
Hiyo ni picha tu kaka 😁 lakn mawazo ya kizee ndyo yanafanya naitwa babuUna mawazo ya Kizee zee wewe Bob Maxwell si unaona hata hiyo avatar yako tu 😃😃😃.
Sawa kaka, hapo nimeelewa vyemaAkili mnembo ni matumizi ya akili bandia ama kufungua jicho la tatu,(kufikiri nje ya sanduku)
😂 😂 😂Hiyo ni picha tu kaka 😁 lakn mawazo ya kizee ndyo yanafanya naitwa babu
Picha ni vigumu kuweka mkuu, ila sasa nimeanza kuelewa hii hali na hainikoseshi amani kama ilivyokuwa mwanzoMkuu ungeweka picha yako ingekuwa rahisi kukushauri, inawezekana kwenye ulimwengu wa roho umepewa muonekano mwingine, Usione aibu katika kutafuta solution ya hali inayo kukera na kukukosesha amani
Sijaona rudiaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hatariiii.We nawe utakuja kuuziwa mbuzi kwenye gunia mjini hapa.
Mwanaume mwenzio unamuita sister na umerelax 'kwerikweri'
Kumbe Una akili sanaa wee kijana. [emoji122][emoji122][emoji122]hatakama ni mwanaume sidhani kama nahusika kwa lolote hapo. Ni maamuzi yake kuweka picha anayotaka.
Kuhusu kujiunga JF, nipo tangu 2021