Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Kaka chakula cha kuvuna shambani kwa hapa mjini ni changamoto, lakini situmii sana vyakula vyenye sumu kali.
 
Sura yako ni ya utu uzima zaid
Au umechakaza mwili na ushaanza kukimbilia utu uzima na uzeeni

Kunawatu wanasura za kitoto/ujana
Kunawatu wanasura za utu uzima
Kunawatu wanasura za uzee

Kuna wale wenye maumbo ya kitoto/ujana
Kunawale wenye maumbile ya utu uzima au uzee

Mkuu ukifika 45 utaitwa kikongweee
 
Sio lazima uvune wewe. Hata matunda pia yapo, shida yamejazwa sumu tupu.

Hamia kijijini. Ni heri uhai na afya kuliko kujidunga maCOCACORA na matunda yenye sumuKUVU.
Ni kweli kaka, lakni kwa upande wa muonekano sina shida. Au labda nahisi ni mavazi yangu na staili yangu ya kuishi au kuongea na watu.
 
Sidhani kama sura inaweza kuwa sababu, japo ndevu ninazo nyingi.
 
Kijana mambo yako mazuri. Ukiwa na pesa utaamkiwa hadi na wazee.
 
Ni kweli kaka, lakni kwa upande wa muonekano sina shida. Au labda nahisi ni mavazi yangu na staili yangu ya kuishi au kuongea na watu.
Mwonekano wako ni vile watu wanakuona na sio vile unavyojiona.

Pengine watu wanakuona mkubwa we hujui tu.

Au una upara unaong'aa kama KITENESI?

Na mandevu unayoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…