Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Hapo nimekuelewa kaka, umenifanya nitafakari sana. Kuanzia sasa itabidi niishi kwa kufurahia ukubwa hatakama watu ndy wananipa huo ukubwa.
Mtu kukusalimia si kwamba unamzidi umri tu. Kunavitu vingi vinafanya mtu akusalim hata kama umri wako haustaili kusalimiwa. Mfano wadhifa, ukwasi, kujiheshim n.k usichukie kusalimiwa mzee mwenzangu. Afu kitu kingine fanya mpango utoke kwenu.
 
Mimi Nina 33 ila ukiniangalia ni kama Nina 28...
 
It's true. Napenda kujifunza busara na hekima pia. Japo hekima ni Mungu ndiyo humpatia mtu lakini ni matamanio yangu kuwa nayo. Pia nasikiliza sana kuliko kuongea au kuchangia mada hususan ninapokuwa kwenye maongezi na watu zaidi ya mmoja.
Wewe inaonekana ni introvert MTU mwenye kupenda kukaa kimya?

Hii ni kweli na unapenda wisdom Hekima?

Is this true?
 
It's true. Napenda kujifunza busara na hekima pia. Japo hekima ni Mungu ndiyo humpatia mtu lakini ni matamanio yangu kuwa nayo. Pia nasikiliza sana kuliko kuongea au kuchangia mada hususan ninapokuwa kwenye maongezi na watu zaidi ya mmoja.

Basi hiyo hali ya kupewa shikamoo usiikatae.

Ipokee kwa mikono miwili.
Wewe ni old soul

MTU mwenye hekima

Nimejaribu kuoana , watu watakuwa wanakupa shikamoo , kwa uneokana upo na utu Uzi ma Fulani

Sio jambo baya ni zuri Sana. Hongera
 
Thanks Brother, this is the kind of advice I was looking for. Thank you Again.
 
Kumbe coca ni hatari eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…