lufakale
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 321
- 566
Mtu kukusalimia si kwamba unamzidi umri tu. Kunavitu vingi vinafanya mtu akusalim hata kama umri wako haustaili kusalimiwa. Mfano wadhifa, ukwasi, kujiheshim n.k usichukie kusalimiwa mzee mwenzangu. Afu kitu kingine fanya mpango utoke kwenu.Hapo nimekuelewa kaka, umenifanya nitafakari sana. Kuanzia sasa itabidi niishi kwa kufurahia ukubwa hatakama watu ndy wananipa huo ukubwa.