Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Oyaaaaaaaah 🤣🤣Upo Dar? Labda jua limekomaza uso
Au una uwalaza?
Bonge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyaaaaaaaah 🤣🤣Upo Dar? Labda jua limekomaza uso
Au una uwalaza?
Bonge?
🤣🤣🤣 wazi?Oyaaaaaaaah 🤣🤣
Vyema sana, ushauri mzuri nashukuru sana kakaKama hupendi, badirisha vitu hivi:
1. Style ya kunyoa nywele na ndevu.
2. Style ya kuvaa.
3. Style ya kuongea na kutembea.
4. Story zako
5. Watu unao hang now muda wa ziada
Nina undugu na remi ongala 😂😁Hapo labda niwajue kwanza ndugu zako ndo nitajua tatizo liko wapi je Una undugu na Mizengo Pinda?
Sivai bwanga, pia sivai kibishoo navaa nguo za heshima yaani sanasana shati mikono mirefu na viatu vya ngozi.Itakuwa unavaa masuruali ya vitambaa halaf yanakuwa mabwanga mno
Amini amini nawaambia yeyote yule aingiae madeni ya mitandaoni basi madeni ya mtaa yamemjaa mpaka hakopesheki.Sina madeni zaidi ya Branch na PesaX ndy wananidai 😆
Situmii kilevi aina yoyote kaka.Punguza pombe na uvutaji wa masigara
Akawa kama mvala yule wa Masandawana.Inawezekana ulitumia dawa fulani kwa ajili ya ngozi, chunus bila maelekezo ya Dr ikakukomaza uso au kukuletea makunyanzi usoni.
mvi mkuu dah zimekuwahi hatariNimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.

Kwaiyo hiyo ndyo sababu naonekana mkubwa sana?Amini amini nawaambia yeyote yule aingiae madeni ya mitandaoni basi madeni ya mtaa yamemjaa mpaka hakopesheki.
Dah, kwaiyo unamaanisha napaka Mkorogo au sio?Akawa kama mvala yule wa Masandawana.
Tupitie comment Kaka huenda tukapata jibu sahihi.Hata Mimi tatizo ni kama lako sema tofauti kidogooo.... Watu wanadhani umri wangu ni mdogo sijui sababu ni nini.
Situmii pombe kaka.Acha pombe kali fala wewe.