Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Kama hupendi, badirisha vitu hivi:
1. Style ya kunyoa nywele na ndevu.
2. Style ya kuvaa.
3. Style ya kuongea na kutembea.
4. Story zako
5. Watu unao hang now muda wa ziada
 
Hata Mimi tatizo ni kama lako sema tofauti kidogooo.... Watu wanadhani umri wangu ni mdogo sijui sababu ni nini.
 
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.

Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
mvi mkuu dah zimekuwahi hatari :pedroP:
 
Back
Top Bottom