Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ounguza kula hovyo.Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
#BM
Nina kilo 52, Sili sana na mwili wangu sio mkubwa kabisaOunguza kula hovyo.
Sikuandika "kula sana", nimeandika "kula hovyo".Nina kilo 52, Sili sana na mwili wangu sio mkubwa kabisa
Hujapata bado?Unakumbuka ile link niliyokutumia ya app ya zamani?
Naomba unitumie pm
Kula hovyo kuna maana gani?Sikuandika "kula sana", nimeandika "kula hovyo".
Sijapata lakini app niliyoinstall naona haina tofauti na ile.Hujapata bado?
Usoni ni ndevu tu ndio zipo nyingi, sipendi ila kwa sasa nimezoea
Je, wewe ni mlevi wa mataptap, tuanzie hapa kwanza maana zile pombe umfanya mtu aonekane mże kuliko umri wake sahihi. Unaweza kuwa na maka 17, ukiwa mlevi wa mataptap umri kwenye sura yako unaonyesha una miaka 50 kumbe bado ni teenager.Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
#BM
Situmii pombe ya aina yoyoteJe, wewe ni mlevi wa mataptap, tuanzie hapa kwanza maana zile pombe umfanya mtu aonekane mże kuliko umri wake sahihi. Unaweza kuwa na maka 17, ukiwa mlevi wa mataptap umri kwenye sura yako unaonyesha una miaka 50 kumbe bado ni teenager.
Mhhhhh, basi labda wewe ni time traveller sema tu hujijuwi. Yanni unaweza ukawa umezaliwa in 1920 lakini bado unaonekana mtoto au Kijana kwa rika hili in 2024.Situmii pombe ya aina yoyote
Duh, Mkuu huenda wapo time Traveller lakini sio mimiMhhhhh, basi labda wewe ni time traveller sema tu hujijuwi. Yanni unaweza ukawa umezaliwa in 1920 lakini bado unaonekana mtoto au Kijana kwa rika hili in 2024.
Saivi Tayari naitwa Babu na nipo na 22yrsDuuh kama 25 watu wanajua Mzee basi ukifika 40 utaitwa BABU.
Huenda ikawa ni kweliLishe ndogo.