Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.

Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.

#BM
Ounguza kula hovyo.
 
Je, wewe ni mlevi wa mataptap, tuanzie hapa kwanza maana zile pombe umfanya mtu aonekane mże kuliko umri wake sahihi. Unaweza kuwa na maka 17, ukiwa mlevi wa mataptap umri kwenye sura yako unaonyesha una miaka 50 kumbe bado ni teenager.
 
Situmii pombe ya aina yoyote
 
Back
Top Bottom