Watu wanaenda Kanisani wamevaa vitu vya ajabu unategemea nini?

Watu wanaenda Kanisani wamevaa vitu vya ajabu unategemea nini?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
WATU WANAENDA KANISANI WAMEVAA VITU VYA AJABU UNATEGEMEA NINI?

Anaandika, Robert Heriel
Kuhani.

Angalizo, lugha itakayotumika inaweza kuwa Kali. Hivyo Kama sio mtu upendaye lugha Kali na Tata nakushauri uishie hapahapa. Kukaidi ni kiashiria utaendana na andiko hili na utaweza kukabiliana na matokeo.

Oooh! Mungu haangalii Mavazi, sijui Mungu haangalii mwili anaangalia roho. Wahuni wanawasikiliza wanacheeeka!
Sijui Kwa Yesu hakuna sheria, ni Neema tuu. Seriously! Come on!

Sisi kina Taikon utuvalie visketi havieleweki vimechora miraba ya chupi unategemea tukuchekee Sio? kisa ati umeokoa sijui kisa umsabato au sijui Mlutheri Come on!
Au kisa ni mtoto wa mchungaji au kisa ni Mke WA mchungaji Come on!
Utapasuka! NAMI nawaambia wahuni pasueni!
Shetani hajaribiwi Kama ilivyo Mungu.

Yaani umevaa nguo mipaja yote nje utegemee kina Taikon wakuachie ati kisa upo kanisani,

Sisi wanaume ni miungu kamwe HATUJARIBIWI!
Ukijipitisha na vinguo visivyoeleweka HATUTAKUACHA na HATUTANII!

Kuna watu wanaweza ona naongea vitu Kama mjinga, lakini watu wanamna hiyo hujifunza Kwa njia ngumu mpaka yawatokee... Yakuwatokea!

Sisi sio mahanithi.
Sisi ni wanaume shababi!
Sisi ni wanaume Rijali.

Tunaheshimu wanaojiheshimu, tunaruka na wanaotujaribu kwani hatujaribiwi.
Uki-beep Sisi tunapiga.
Tunachakata na tunapita kushoto.

Mwanaume kamili hawezi ruhusu binti zake wavae nguo zinazochora na kuonyesha umbo la binti yake. Ni Dalili kuwa Baba huyo Hana Akili na hakustahili kuitwa Baba.
Mwanaume kamili hawezi ruhusu mkewe Avae nguo zinachora miraba ya chupi na kuonyesha umbo lake alafu baadaye analalamika mkewe ati ni Malaya. Yaani kama Boya Fulani Hivi!

Wake zenu wakiparamiwa mnaanza kujifanya mnahasira, mara muue mara sijui mjiue😂😂😂 Kama kama mmelogwa hivi.

Mwanaume unaruhusuje Mkeo awe na mazoea na vijana wakiume au wanaume kama wewe sio Lofa. Labda uwe humpendi lakini kama unampenda huwezi ruhusu mazoea ya ajabu ajabu ya Vijana wa kiume na MKEO.

Vijana eleweni kuwa, Mwanamke ni mdhaifu Kwa mtu mwenye mazoea na ukaribu Naye.
Mkeo anataniwa taniwa unachekacheka kama boya.
Kikawaida wanawake huliwa kimasikhara😀😀 haohao wenye matani nao kiutani utani wanazama nyavuni.

Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa Wanawake wanaochepuka 90% ni Kwa sababu ya uzembe na makosa ya kiufundi ya Sisi wanaume. Hiyo 10% iliyobaki ni Wale wanaorudi Kwa ma-ex wao waliowapenda Kwa dhati, shida za kiuchumi au umalaya.

Uzembe WA Wanaume ni Kama ifuatavyo;
1. mwanaume kuacha kufanya wajibu wake.
Kumhudumia, kumtunza, kumuongoza, kumlinda na kumuadhibu pale anapokosea.

2. Show mbovu.
3. Kutokuwa na muda na mawasiliano mazuri naye
4. Kumpa uhuru uliopitiliza au Kuruhusu watu wamzoee Mkeo.
5. Kumfanya ajione huwezi kumuacha.
Kikawaida Wanawake husumbua na kuwa Malaya Kwa wanaume wasiojiamini na ambao wanaona hawawezi kuwaacha.
Mwanamke anatakiwa Ajue kuwa siku akichepuka ndio siku atakayoachwa bila kuweka kikao, hakuna cha wazazi, hakuna cha dini wala hakuna cha yeyote.
6. Kumwamini Mwanamke.
7. Kujifanya mtu wa dini Sana au msomi.
Watu wa dini hasa Wakristo ndio wanaonewa na Hawa kinadada lakini ukiwa Mhuni na Mwanaume WA shoka kamwe Mwanamke hawezi kukuletea upuuzi. Au kuleta mambo ya kisomi kwenye ndoa. NO Negotiations. Usiwe mtu wa kuweka mijadala pale unapotoa amri zako au Oda.

8. Kujifanya wote ni watawala ati wote mnatunga sheria 😂😂
Mwanaume ndiye anaweka sheria, masuala ya kujifanya wote ni watunzi wa sheria Hilo ni kosa kiufundi. Hivi unatupotunga Kwa pamoja sheria na Mkeo ni kwamba akili yako ni ndogo kiasi hicho. Mke ni Msaidizi tuu ni Kama makamu wa Rais. Anaweza kushauri lakini sio kutunga.

Mwanamke hautakiwi Kumwamini hata kidogo Ila unatakiwa umpende.

Endeleeni kumsingizia Yesu katika mambo ambayo hata yeye anashangaa, alafu mkichapiwa mnasema ni majaribu ati Shetani anawajaribu, hivi ninyi na Shetani Nani anamjaribu mwenzake,
Kwa mganga WA kienyeji mnaenda mmejistiri,
Mkienda Guest house mmejifunika msionekane lakini kanisani mnaenda miraba ya chupi imejichora utadhani ni makahaba kumbe ni waumini.

Tuacheni kumjaribu Shetani.
Nasisitiza yapo mambo makuu ambayo hayajaribiwi
1. Mungu
2. Shetani
3. Mwanaume
4. Mauti
5. Sumu

Nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Safarini, kuelekea Arusha
 
Siku hizi umekuwa too much. Soon you are becoming pointless.
Issue ya masanja waachie akina cashman na chupa ya maji waijadili. Wewe ni next level.....stop these cheap popularity. Safari njema

Wapi ametajwa huyo uliyemtaja?
Nashukuru MKUU.

Siku ukijua lengo langu utanielewa zaidi kuliko sasa
 
Wapi ametajwa huyo uliyemtaja?
Nashukuru MKUU.

Siku ukijua lengo langu utanielewa zaidi kuliko sasa
Naona siku hizi unatembea kama upepo unavyovuma. Ule ubunifu wako na maarifa vimeanza kukutoka. Sasa rangi yako halisi inaanza kuonekana.....kumbe na wewe uko kwenye lile kundi letu pendwa LA "vijana wa hovyo". Sitaki uipoteze brand yako mkuu. I do read your articles na najifunza mengi. Achana na udaku.
Ulichokiandika kinaashiria habari zinazotrend sasa.
 
Kuna kosa moja kubwa tunalofanya wanaume ni kutokuwa na msimamo katika mapenzi kuwadekeza sana wapenzi wetu mwisho wa siku wanatupanda vichwani mm nimeshamwambia kabisa mchumba wangu nikikufumania either kwa kuona au kwa kuwa na ushahidi umechapuka jua kabisa nimekuacha hilo hata ashuke mungu mbinguni aseme nikusamehe sina msalimia mtume hapo sitasikia la mtu nakuacha hivyo anajua kabisa siku akichapuka tumeachana kwa maana hawa wanawake katika dunia hii hawajui wanataka nini ukimpa hela atakusumbua katika mapenzi ukikosa hela atakusumbua katika mapenzi ukimpenda sana atakuringia mpk utakoma kiufupi huna uwezo wa kumridhisha mtu anaeitwa mwanamke hivyo kanuni nzuri ni kuishi nae atakavyokuja kwa maana wanawake wote hawajui duniani wanataka nini
 
Taikon unakwenda sasa kutembea barabarani na bakora mkononi kama mzee kifimbo cheza wa Sank maana hasira zimekuzidi

Hutaki kupitwa na kitu sasa soon utakuwa kama mpwayungu village
 
Lakini napata mashaka na huyu Masanja mwenyewe,hizi safari za kwa Biden ni nyingi.Na mtu anayezunguka sana kule huwa sina imani na 'privates' zake(mwenye kusikia na asikie)
 
Wanawake hawana dini , full stop , hayo mengine ni mbwembwe ,mwanamke kuliwa ni kawaida tuu hata kama anashinda kanisan , ni mwanaume mwehu tuu anayeweza chukulia serious dini ya mwanamke , kama Adam alikuwa naye na anampa kila kitu lakini akarubuniwa na Shetani sembuse hawa
 
Mimi kuna demu mmoja kitambo nimeruka naye sana kibachela, yani namjuwa nje ndani alivyo na pepo la ngono, ila siku za karibuni post zake Facebook ni mtu wa church sana makanisa yetu haya haya kama ya kina Masanja.

Sasa kilichonishangaza na yeye Sasa hivi ni mchungaji na Leo alikuwa live kabisa kwenye moja ya redio station zetu hizi.

Sasa ndio nimepata akili ni kwa nini makanisa ulaya hayana watu yamebaki tupu, mzungu hayupo tayari kushiriki kwenye udanganyifu huku akijuwa wazi ukweli ni upi.

Hapa sina maana ya ukristo siyo dini sawa lakini ukweli ndani yake kuna mazonge mengi sana.
 
Mimi kuna demu mmoja kitambo nimeruka naye sana kibachela, yani namjuwa nje ndani alivyo na pepo la ngono, ila siku za karibuni post zake Facebook ni mtu wa church sana makanisa yetu haya haya kama ya kina Masanja.

Sasa kilichonishangaza na yeye Sasa hivi ni mchungaji na Leo alikuwa live kabisa kwenye moja ya redio station zetu hizi.

Sasa ndio nimepata akili ni kwa nini makanisa ulaya hawana watu yamebaki tupu, mzungu hayupo tayari kushiriki kwenye udanganyifu huku akijuwa wazi ukweli ni upi.

Hapa sina maana ya ukristo siyo dini sawa lakini ukweli ndani yake kuna mazonge mengi sana.
Hii comment akiona Maghayo atakuja kutoa povu humu..
 
Kuna kosa moja kubwa tunalofanya wanaume ni kutokuwa na msimamo katika mapenzi kuwadekeza sana wapenzi wetu mwisho wa siku wanatupanda vichwani mm nimeshamwambia kabisa mchumba wangu nikikufumania either kwa kuona au kwa kuwa na ushahidi umechapuka jua kabisa nimekuacha hilo hata ashuke mungu mbinguni aseme nikusamehe sina msalimia mtume hapo sitasikia la mtu nakuacha hivyo anajua kabisa siku akichapuka tumeachana kwa maana hawa wanawake katika dunia hii hawajui wanataka nini ukimpa hela atakusumbua katika mapenzi ukikosa hela atakusumbua katika mapenzi ukimpenda sana atakuringia mpk utakoma kiufupi huna uwezo wa kumridhisha mtu anaeitwa mwanamke hivyo kanuni nzuri ni kuishi nae atakavyokuja kwa maana wanawake wote hawajui duniani wanataka nini
Nagongelea misumari.
 
Back
Top Bottom