johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.
Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia kura kwa kumuhurumia tu hata kama hana uwezo wa kuongoza kwa nafasi anayogombea.
Kura za huruma hujilinda zenyewe hata kama ni chache.
Nimeisoma mahali fulani.
Maendeleo hayana vyama!