Watu wanamhurumia Tundu Lisu kwa sababu alifukuzwa ubunge baada ya kushambuliwa kwa risasi !

Watu wanamhurumia Tundu Lisu kwa sababu alifukuzwa ubunge baada ya kushambuliwa kwa risasi !

..Lissu hajamchochea mtu yeyote.

..IGP Sirro aache kumuandama, kumsimanga, na kumtisha.

..Pia aache kupendelea CCM, bali atende haki, na aheshimu vyama na viongozi wote.
Tume imemshindwa napna Wameshikumizwa polisi nao wajaribu tena.
 
Not at all! Wanamshangilia na kuahidi kumpa kura kwa vile atawakomboa na utumwa wa miaka 5! Wanategemea awakomboe kuliko wagombea wengine, siyo huruma ya risasi!

He is gathering followers in droves all over the country because of the substance in his speeches period! Hakuna cha huruma hapa; jamaa anagusa hisia za wananchi, sio huyo mwingine anaewatukana watu anaowaomba kura!!!
 
Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.

Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia kura kwa kumuhurumia tu hata kama hana uwezo wa kuongoza kwa nafasi anayogombea.

Kura za huruma hujilinda zenyewe hata kama ni chache.

Nimeisoma mahali fulani.

Maendeleo hayana vyama!
Wakati TAL akifutwa kazi bila huruma huku akiendelea na matibabu, mbunge mwenzake Bwana Mwambe alitangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge na kujiunga na Chama tawala, ajabu ni kwamba mheshimiwa huyo alirejeshwa katika nafasi yake na kupewa stahiki zake zote. Hii inapatikana Tanzania tu. Maendeleo hayana vyama.
 
He is gathering followers in droves all over the country because of the substance in his speeches period! Hakuna cha huruma hapa; jamaa anagusa hisia za wananchi, sio huyo mwingine anaewatukana watu anaowaomba kura!!!
Exactly
 
Naona TAL ndiye presidential material ukilinganisha na wagombea wenzake.
 
Je kusuasua kwa Jiwe kujibu hoja ya Kuwa na mdahalo wa wagombea URAIS hata kama watatu ni alama ya kutokujiamini hata kama mdahalo utakuwa kwa Kiswahili?
 
Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.

Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia kura kwa kumuhurumia tu hata kama hana uwezo wa kuongoza kwa nafasi anayogombea.

Kura za huruma hujilinda zenyewe hata kama ni chache.

Nimeisoma mahali fulani.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani aliyemshambulia Nani? Hao ndio waliojiwashia Moto unaowaunguza leo.
 
Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.

Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia kura kwa kumuhurumia tu hata kama hana uwezo wa kuongoza kwa nafasi anayogombea.

Kura za huruma hujilinda zenyewe hata kama ni chache.

Nimeisoma mahali fulani.

Maendeleo hayana vyama!
Ninyi ndio wale bashiru alisema mjibu hoja za Lissu au tusubirie wengine?
 
Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.

Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia kura kwa kumuhurumia tu hata kama hana uwezo wa kuongoza kwa nafasi anayogombea.

Kura za huruma hujilinda zenyewe hata kama ni chache.

Nimeisoma mahali fulani.

Maendeleo hayana vyama!

Tatizo kubwa ni kumbukumbu.

Waliosema hakuna kura za huruma ni hawa hawa leo wanaoongelea kura za huruma.

Kwamba waliotaka kumwua ni wa kutia adabu hata kwa kura hilo mbona halali?

Kingine sera baba sera. Nini kama haki, uhuru na maendeleo?
 
Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.

Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia kura kwa kumuhurumia tu hata kama hana uwezo wa kuongoza kwa nafasi anayogombea.

Kura za huruma hujilinda zenyewe hata kama ni chache.

Nimeisoma mahali fulani.

Maendeleo hayana vyama!
Hakuna cha huruma hapo CCM mmevuruga mambo Sana.Mmeua uchumi wa mtu mohamed mmoja 'we have suffered a lot from many uncertainties'
 
Ati nasikia unajiita Yohana Mbatizaji? 😁 😁 😁 ninachojua huyo jamaa hakuwa mnafki wala mchumia tumbo ndiyo maana akakatwa kichwa.Ukiiga majina ya watu jua na aina ya maisha waliyoishi na uyaakisi na hata kutenda mema zaid yao.
 
..Lissu hajamchochea mtu yeyote.

..IGP Sirro aache kumuandama, kumsimanga, na kumtisha.

..Pia aache kupendelea CCM, bali atende haki, na aheshimu vyama na viongozi wote.

Lissu alipewa na anapewa tuhuma nyingi dhidi ya Uhuru na Amani ya Tanzania. Kuwa ananjama na watu wa ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania. Ingawa wa ndani ya Tanzania wanamtumia Lissu very systematically na wako very careful kutimiza agenda yao ya kumtikisa JPM na serikali yake ili wapoteze msimamo na kutokujiamini. Serikali na JPM na wanaomsaidia wakikosa misimamo na mambo kuvurugika, kwao wao wavurugaji ni neema imewatembelea.

Haya mambo anayofanya Lissu na wabia wake hayana tofauti na hujuma Tanzania iliyokuwa inafanyiwa na Makaburu, Wareno na wale ambao walikuwa na masilahi na makaburu enzi zile. Kwa nini njia zile zile zilizo tumika kwa Makaburu, Mreno na Iansmith wa Rhodesia zisitumike leo. Zikiwa zimeboreshwa na kwenda na wakati wasasa.

Lissu hujuma zake zina na mkono wa ndani na nje ya nchi. Ndani ya nchi ni mafisadi ambao maslahi yao yameguswa na wengine hawana uhakika kesho yao itakuwaje. Kumbuka tuliambiwa yuko mtu alikutana na Manji uarabuni. Msifikiri Manhi kalala na anafurahia huko aliko. Akikumbuka share ya asali yake iliyopunguzwa katika hili jungu la Tanzania, si rahisi akae asifanye kitu. Hakosi watu walio kwenye payroll yake wanaloeta figisu Tanzania. Huu ni mfano mmoja tu.

Ni rahisishe kwa hali ilivyo Lissu na cdm wamegeuka kuwa wajasiria ufisadi, watetea ushoga na mabeberuni. Hii ni biashara kamili isiyo rasmi Tanzania sasa kama ilivyo ya mihadarati. Robertisoni na wenzake ni wabia wa uwejezahi Tanzania kwa kupitia mbia wao Lissu na cdm. Bahati hawa ni vissible uwe na uhakika wako the invissible ndio wanao matamko ya balozi kana USA, etc.

IGP Sirro anafanya wajibu na kaziyake, hahitaji kupingwa kwa hizi propoganda. Wala si yeye tu wote wanaofanya kazi serikalini wanao wajibu huo na wabatakiwa wasaidiwe na Watanzania wazalendo, si kukatishwa tamaa. Unless mfanyakazi uwe umeahidiwa na Lissu na mafisadi kwamba Lissu akiwa Rais wewe ndio IGP wa serikali yake, hao hawakosi pia. Of which ni usaliti wa kioapo cha kazi yako and it ,amounts to fatal consequences. Ikijulikana.

Hii pia inawahusu wastaafu walio staafu kwa heshima, chochonde msidanganyike. Wako wanaopita huko na huko wakiwashawishi. Mfano, ni kwa mujibu wa JPM juzi hapo njombe alipokuwa anampongeza Waziri wa maji mtumbuliwa, ambaye yeye angalau eti kashinda vishawishi vya kufanya vitendo vya usaliti, hujuma, na uasi kwa serikali/Taifa

Si IGP, si Mwenyekiti wa NEC, Mkuregezi wa Takukuru na Wakuu wengine wote wa ngazi mbalimbali hata wafanyakazi wa idara za serikali. Kuweni macho na makini.

Some people are out there working tiredlessly day and night 24-7 making sure that you fail miserablly with your trusted noble duties to Tanzanians.

Utashangaa motives zao wengine ni husuda tu, wengine chuki kwa sababu JPM kasema ukweli kuwa wakati flani palitokea serekalini uzembe aeiou. Mwingine hakujua kwamba ipo siku wadhifa alikuwa nao serikalini atalazimika kuuacha. Suala la cheo/wadhifa ni dhamana lina kuendelea, kuongezeka, kushuka na hata kwisha. Yeye kwake ikitokea hayuko ni nongwa ni shonde. Kazi iliyo baki kwake ni kutafuta kuwakwamisha waliopo jszini ili washindwe, yaani hivyo. Yako mengi haya semwi "in The Bulldozzer tone.'
 
na kinachoendelea kwenye mikutano ya magufuli ni matamasha ya muziki tuu
 
Back
Top Bottom