johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Not at all! Wanamshangilia na kuahidi kumpa kura kwa vile atawakomboa na utumwa wa miaka 5! Wanategemea awakomboe kuliko wagombea wengine, siyo huruma ya risasi!Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.
Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia kura kwa kumuhurumia tu hata kama hana uwezo wa kuongoza kwa nafasi anayogombea.
Kura za huruma hujilinda zenyewe hata kama ni chache.
Nimeisoma mahali fulani.
Maendeleo hayana vyama!
Yeye mwenyewe amejikomboa?!Not at all! Wanamshangilia na kuahidi kumpa kura kwa vile atawakomboa na utumwa wa miaka 5! Wanategemea awakomboe kuliko wagombea wengine, siyo huruma ya risasi!
Bora Umepata akili, hiyo huruma ipo mpaka jeshini tukiacha kikundi cha Wahutu na Intarahamwe wachacheKinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.
Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia kura kwa kumuhurumia tu hata kama hana uwezo wa kuongoza kwa nafasi anayogombea.
Kura za huruma hujilinda zenyewe hata kama ni chache.
Nimeisoma mahali fulani.
Maendeleo hayana vyama!
Hawa ndio wamejikomboa.Yeye mwenyewe amejikomboa?!
SAFARI HII KURA YANGU MAGUFULI HAPATI,MZEE KATILI SANAKinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.
Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia kura kwa kumuhurumia tu hata kama hana uwezo wa kuongoza kwa nafasi anayogombea.
Kura za huruma hujilinda zenyewe hata kama ni chache.
Nimeisoma mahali fulani.
Maendeleo hayana vyama!
KUIPA KURA CCM YA MAGU NI NAJISIKumbukeni watanzania Ni wanafiki, wanajaa Ila Kura hawawapi.
Najua Magu anashinda
Ila wanaoenda kwa Mh Magufuli sio wanafiki, kazi kweli.Kumbukeni watanzania Ni wanafiki, wanajaa Ila Kura hawawapi.
Najua Magu anashinda
Hoja mbovu kabisa hii!Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.
Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia kura kwa kumuhurumia tu hata kama hana uwezo wa kuongoza kwa nafasi anayogombea.
Kura za huruma hujilinda zenyewe hata kama ni chache.
Nimeisoma mahali fulani.
Maendeleo hayana vyama!
huyu ni charismatic leader, inspirerYeye mwenyewe amejikomboa?!
Kura yako ni moja tu kati ya kura milioni 29!SAFARI HII KURA YANGU MAGUFULI HAPATI,MZEE KATILI SANA
HATA IKIWA 1 MAGUFULI KATILI SIMPIGII KURAKura yako ni moja tu kati ya kura milioni 29!
Kwahiyo mnampigia kura kwa sababu hamuogopi Magufuli?watu wanamfagilia Lissu kwa kuwa ndie mtu pekee nchini asiyemuogopa magufuli, hata baada ya kupigwa risasi hajabadili msimano
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app